Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,960
Hiv ushawai jiukiza sku1 hawa walemavu tunaowapita barabarani kila siku wanaish maisha gani? Kula, kunywa, mavazi, afya nakadhalika.
Unakuta mtu barabaran anaomba hana mikono, miguu; anaendeshwa kwenye wheelchair.
Wapo walemavu wa aina nying ila kuna wale extreme yani. Hiv kweli serikali, well ngoja nitupe lawama kwa serikal maana sote tunachanga pesa zinaingia huko.
Hiv kwel serikal inashindwa kusanya hawa walemavu ambao ni extreme yaan hawajiwez kabisa wale. Wawajengee nyumba waish huko. Kama kuna pesa za tasaf tena zingne zinapigwa. Hivi hawa watu ukihesab idad yao. Sidhan kama wanafika lak1 nchi nzima. Hivi serikal kwel imashindwa weka fungu fulan kwa ajili ya kuwahudumia hawa watu.
Hivi kweli, mbona mapesa meng sana yanapigwa jamani.
Okay, tuachane na serikali. Hivi mbona watu tunafanya masherehe makubwa tunachanga mapesa tunafanya kufuru Kidimbwi nin na nin. Hiiv ushawai waza kilema asie na mikono miguu hana ndugu anaishije
Kijana tu mzima mwenye afya yake anamaliza chuo hana ajira ana haha mpaka wengne wanajiua yaan anakosa had pesa ya kula. Imagine hawa jamaa walemavu wanaishije.
Dah! Naamin kama dunia tungeamua kuwahudumia hawa na kwel kama tungekua na iman hiz tulizonazo tunazonafkiana nazo, makanisan miskitin etc awa watu wasingeish kwa shida
Wanadam tuna roho mbaya sanaaaaaa
Uzi tayar.