Dunia hii ni holographic simulation (Were not human)

DGOMBUSI

Member
Sep 3, 2017
39
53
Habari wana jukwaa
mimi naitwa Dgombusi
Leo ntaenda kuzungumzia siri moja kubwa ambayo asilimia 1 au 2 ya watu wanifahamu vizuri kuhusu dunia yetu

Aslimia 99 yatu wengi hawa ifahamu siri hii kubwa kuhusu Dunia yetu hii

Nitaanza kwa kutoa mifano ya baadhi ya watu walio kuwepo wanafahamu vizuri Kuhusu ulimwengu wetu huu

NIKOLA TESLA

ALBERT EINSTEIN

HENRY FORD

THOMAS A. EDISON

LEONARDO DA VINCI


Nawengine ambao sijawa orodhesha hapa ila najua unawajua



Nitaenda kuzungumza vitu kwa mafungu 10 ili uweze kuelewa vizuri
  1. The secret nature of reality
  2. Dunia hii ni holographic simulation
  3. What is Reality
  4. Energy frequency and vibration
  5. Matter is energy
  6. How our brain decoding reality
  7. The Body
  8. Human is way of processing information
  9. Virtual reality Universe
  10. Were not human



1.The secret nature of the reality
Kuna sili moja kubwa ambayo secret society wanaifahamu kuhusu ulimwengu wetu huu

Na wanafanya agenda ya ku program mind na perception za watu kuhusu ukweli wa sisi ni wakinani na kwanini tupo hapa

Wanafanya kila kitu ili wewe toka unakua mpaka saivi usahau kuwa wewe ni nani na kwanini uko hapa



2.Dunia hii ni holographic simulation
Sasa twende taratibu taratibu tuta elewana mwishoni

Kila kitu unachokiona na kukigusa yaani kinashikika

Ni illusion of light and energetic information ambacho kina mtetemo (vibrate) katika frequency fulani

72zBtc-RW14hXeke1XAFtqbjZNJg1t8kkvAInxNHIQX56lLR-AAQw6Q7KjVd8gukrQoSclOJwKkvVvgJheFCYcOZtfHQSyVokl7tmP72ZVG3x7Hm7wksrN5O5UekI1v1CKU0duey



3. What is Reality
Kama unaikumbuka kuna movie moja inaitwa The matrix ya 1999

hiyo movie ni zaidi ya movie ni documentary

Kuna scene moja neo anamuuliza morpheus This is not real

Morpheus akamjibu
Kqg5gUqPaNcjQgTgwYzQcHvdp5Yu0jIZrWbq3dLx99f7zOIKpRnJpoptQN8ahMAGOtBxmWGExqtJJWBzcum1jZLKCqkdNtWfPCpBLnRngr9HGs0RpxPmBMk78B6oOq_dZk8BRlTQ



Kwaiyo kumbe kitu halisi ni taarifa zinzopelekwa kwenye ubongo wako na kufanyiwa utambuzi (electrical information interpreted in you brain)


SRqnTVA2AdtQwCimYLRdGJqi36XsyjUp3hb0VYL73U7-KMYzy2lLSpCJTgO7F0BbzeGjcXwrtrY7XsFwKIsvLxBg-MCPwaPsSbcOE5x9y2jMBddt6blnUPNyXtUAB_PmLDelTtRh


kwenye Electromagnetic spectrum

Ni 0.005% ndogo sana ya realty tunayo iona na ubongo wetu kufanya utambuzi
Kwaiyo kuna asilimia kubwa ya reality ambayo huioni kwa macho (unseen reality) ndiyo ambayo ni projection ya hii holographic word


Kwaiyo kila kitu unachokiona kina mtetemo (vibrate) katika frequency fulani
Lakin mtetemo wake unakuwa ni mdogo sana ndio maana unakiona kiko kigumu na ukikishika hata mtetemo wake huwezi kugundua

YnebHYgS54a5Wf0BdSKqEh03qT_zQ61FYRlaQTWTInzR8nmNuSJX9pbXErGAKovfPu2vE9B4uNl6y8_F9JRctQz8lOdPu2SBp9_s14OuAP_p4Xlanen_987HT8k7BHOzxxL0BVK_



4. Energy frequency and vibration
Kila kitu unachokiona ni energetic information ambayo ina vibrate katika frequency fulani

SEHjJDO3EpMRsBNXvcBdmzhm72Gk6iTfhKFZ5FhriRB7jdOjN-Bwq6yLi9cBx31LG9pHRgt7V6LkaKGEjoLWFuguSgcjuel-0gtwJYKf2OyoapyQKEhbrJbwCfm4-JIHiVluj3de

Kwaiiyo unaweza kuona kumbe ndio maana nikola tesla alituambia

Ukitaka kuelewa dunia hii fikiria kwa kuangalia frequency energetic and vibration

Sababu ndio asili ya kila kitu unachokiona

Kwaiyo ninachotaka kukuambia ni kuwa kila kitu ni energetic information field iwe ni
(meza. Gari. Nyumba. Milima. Maji nk…..)

Nakina mtetemo (vibrate) katika frequency yake



5. Matter is energy

Ngonja nianze na nukuu moja ya einstein kuhusu matter

JROrirTAFTshr8w8-xjBjmYyDVdG8B4Vimw0wL2akMYgj5wi57P89vR2dLEBBjty6T-7PIFQKWaV0Ep9mqXfFdnqMmQzqkyRbO5FKjXe7WiW_8zj7bFJzqaxCibftMs-jt9e82YO


Sasa hapa Twende Taratibu tutaelewana tu kama una swali usisite kuniuliza

matter ni energy ambayo ina mtetemo (vibrate) katika frequency fulani

Na kila kitu tuchakiona na kukishika ni illusion of light na Energy vibration

Kwaiyo kila kitu ni energy
dmMXWM0Ix3sVHSwqvdwlSTVQb9z3ydOQqmbTnoT7d7kz1WJIitjZxlqYALQ-qO5Mdt_7rxpIMhkEgNPe-g2Cd-kaJxPEckgu_SU9afFk9jjcKAiu0EACgtC9k-Vy_ZJcaWbQZNsj






6.How our brain decoding reality

Kwanzaa naomba nikumbushe kuwa wewe sio ubongo (brain)

Na wala wewe sio mwili (body)
Yani wewe uko nyuma ya vitu vyote hivyo viwili

Kwaiyo umeanza kukumbuka kuwa kumbe mimi siyo ubongo (brain) na siyo mwili (body)
Lakini nimevaa hivi vitu viwili kwa anjiri ya kuishi kwenye hii virtual reality word (Holographic)


Kwaiyo tumenza kuelewana kuwa kumbe ubongo (brain) ni kwa ajili ya kufanya utambuzi wa energetic information ambayo ndiyo tunaviita matter (physical thing)

Ngonja niende kwa mifano mpaka tuta elewana tu

Mfano Kutoka kwenye matrix movie

Picha hii ni Kabla ubongo wako ujafanya utambuzi wa data ambayo ni energetic information field
6OXnJgwEUzvCqCkExmDV63gEl_MRgKNOFSZATLAwLDgac8eRCAnp1LY8RRvgWZfp5xtmnAp0uCvaWpJdVWz_AXXC059HLZ_Ix1DThSGJVY3L5qn3nrUUVUocILY3tsQdQy_Rokgz


Baada ya ubongo wako kufanya utambuzi wa data hiyo ambayo ni energetic information field ndiyo hunaona rangi yaani unaona vizuri

OSfmzR8evD3DXYJbIpBkGTcSlQLZvLycml45NZtlwPFxkVu-dY4V9_3jMAz9IYB-e5jmqT4xMLcGtMZD-an7P17VCwE_NuPcpLa_YkF8Ayb7T29-XTd5eGFEIBHRNMtBN8vXYy_-


Kwaiyo kila kitu unachokiona ni energetic information
Iwe ni mti meza nyumba gari nk



Sasa una anzakuona kumbe ubongo na mwili ni vitu viwili ambavyo ni mevivaa kwa ajili ya kuishi kwenye hii holographic universe ambayo kila kitu kimetengenezwa kwa energy na tena kina mtetemo (vibrate) katika frequency fulani

Kwaiyo ninachotaka kukuambia ni kwamba hakuna kitu ambacho kina rangi
Ila rangi inatokana baada ya ubongo wako kufanya utambuzi wa energetic information



ubongo
Unafanya utambuzi wa illusion of light and energetic information field

Kwaiyo energetic information ndiyo hizo tunazo ziita matter mwanzoni tulikuwa tunazani ni vitu halisi ambavyo vinashikika na vina rangi

kumbe ni energetic information na tena zina mtetemo (vibrate) katika frequency fulani

Visible light in electromagnetic spectrum

Sasa ngonja niongelee visible light in electromagnetic spectrum
ambayo ubongo wetu hufanya utambuzi (deconding)



Rangi unazo ziona zina mtetemo (vibrate) katika frequency fulani

Rangi nyekundu huwa unawahii kuiona kwa sababu ina mtetemo(vibrate) katika frequency ya juu kuliko nyingine

kWj-_9Apb0TnqJI4HRcJfM-EkcN0dJkyHLcsgjBeT2VJH4G8m_IkM_5fInRihSv8ycFlZkNdFedt_HbaxThyLfV7vwAQraYWyN8wHlg09HV1OlOBcEHRfxaalAvWBb5s4UWV_y6R




7. The Body

Kwaiyo unaweza ukaanza kuona tumeshaongelea kuhusu ubongo na tuka sema ni kompyuta uliyo nayo kwa ajili ya kuchakata na kufanya utambuzi wa energetic information field kwenye hii Holographic universe

Sasa ngonja nizungumzie kuhusu mwili wako na milango 5 ya fahamu

Mwili wako ni kama motherboard inayopeleka taarifa kwenye cpu (central processing unit) ambayo ndiyo ubongo wako alafu ubongo unachakata hiyo input ndiyo unapata matokeo ya hiyo input

RXTkeA-A-kHSglc35W171TpUNhnOxrDkcgF3eIOHFvrJiTOmIeZLadIMqiaXHSL2skzuId0yUw_IHCS-CAVzzExMRNP9pcw-ErO0gqyaVNljqxdQQtHL5xdklTfsiy29yZbdYZPK



Eye
Kwaiyo ni hivi jicho lako huwa linapokea mawimbi ya mwanga (light huwa ina mawimbi yanaitwa photon)

Hayo ndiyo yanapeleka information kwenye ubongo wango

(hapa ngonja nitumie picha 2 ili uwezee kuelewa

Ya kwanza inayonekana vizuri na picha ya pili ni energetic information )


-oD9oViUksI08MU5mKh2p0Hcm1AsIhMbLQ5ErQFhnpMCPy4HqOyACrNmQijxlHb7Cn5s0y-zYHlXatGSmXBj2hUfiZBB8QwB92cu39Y0KQsk6nCOB5YM2xmvy3E20LeI6lsQyng-



Ubongo wako unafanya utambuzi wa hayo mawimbi ya Energetic information field ndiyo unaona picha


Y5-Vrj8CxaxWzpHmUO2zy9jjAvnkWwhPc4ldTTgG5Zea4tp8wLfrfMcyYgV1FL2W9IivMElCaXC7iGPoYcHyDmRVvRoYunC_PS3EAC0HBJrORnoT0_GvlcV3gCq5yTQdeeEbMb8a



Hearing
Na Kwenye kusikia ni hivyo ivyo unasikia ni mawimbi ya sauti ndiyo ubongo wako unafanya utambuzi wa hayo mawimbi ndiyo
unasikia maneno


Taste Touch Smell
Ngonja hizi nizielezee kwa ufupi tu ili nisije nikakuchanganyia madude mengi ukashindwa kuelewa

Kwaiyo unaona hii milango yote ya fahamu (sense) zote zinapeleka tarifa (electrical signal) kwenye ubongo alafu ubongo ndiyo unafanya utambuzi (processing)



8. Human is way of processing information

Kwaiyo utaanza kuuona kumbe binadamu ni kompyuta uliyoivaa kwa ajili ya kukuwezesha kuishi kwenye hii dunia ambayo ni holographic simulation
(human is the way of processing information from virtual reality universe)

Kwaiyo nadhani umesha anza kuelewa kumbe mmi nimevaa ubongo

Yaani kama ambavyo una vaa virtual reality box ili uchenze virtual reality game
M5Rlk2HBZuLPYm-uoP0LgJtiL_jaW0xtxI9rtiUjHKnw3u9emKOk2zifesTEhsbujLl8sOrJKo1gKf90XasAklXbAlCYDKvVAZ6DtSBUULqE1izB_ASc58wQicWjPUe9JOo6Z4Dw




Na kama ambavyo unavaa virtual reality suit
ili uweze kucheza virtual reality game
RzwU1-zcS6on-xZqR2z-RHBeY4HBD4pWhAXLqRAo6MBW3ZoILYh4x1iD2NWs5GSMAUvQMdnsGwFwzx0wl0CbXs55B-ND1SvZKMijMWyMU0nRjhjPmiJm-Bofl8aG1kiNnRHC4f0_


Kwaiyo kwa mifano hiyo utaweza kugundua kuwa kumbe sisi tumevaa huu mwili na huu ubongo
Kwa ajili ya kuishi na kufurahia utukufu wa mungu kwenye dunia ambayo ni holographic simulation




9. Virtual reality Universe

Kwaiyo nadhani mpaka kufikia hapa Tupo pamoja kama kuna mtu nimemwacha
Au nimechanganya sehemu uliza swali lako

Kwaiyo umeanza kuelewa kuwa tunaishi kwenye virtual reality universe
CxPBfE5Q5D8z1cLcA9KF313QTU6Vszt34JwUuSctBjXMnssC35meoCuoLEhkwKKJ9llm4NXTj6s44oEWFVEDeMSOO8G22hwnwpNtOscFjM0BiiEQ8dmDhZg3h0QTe4PEHIXIuaDJ


Na hii dunia yetu ni holographic ni illusion of light and energetic information

Na sisi sio ubongo na wala sio mwili

Ila tumevaa hivi kwa ajili ya kuishi kwenye hii illusion of reality
p4ZaeOjdCJ6ByPE2RPnMUCNDoVecEEKS9cmQ_HckmQblQO0C1QIFsOmBJtKlwni03qlhxDrErgwE27eS7J9DL5v3InX9rRuQiqHT0k0JT-x-6sFK8XbNaiUl_kR42qQ8QdAaNomz


Kwaiyo ukianza kufikiria hivyo utaanza kuuona kumbe hii dunia good simulation
Kwa ajili ya sisi kuishi kwa furaha na upendo na wala hakuna kitu kigumu

Ugumu unakuja pale unapofikiria kuwa wewe ni wa kwenye hii dunia
Kwaiyo unaona kuna watu wachache ambayo wanajua siri hii ya dunia
Na wanaitumia vibaya kuwa nyanyasa
Watu wengine

10.Were not human

Human is just experience we have in this holographic universe
W4naIQ8Pmy3FzcUxoTq1aR0jW_PhU7jBFD0aDJSHx44309EF04kOtNJqOuSDCQ9usTs5h-8EEFIXthUcdXRm1KpGVUM2tXKqDTNTCJLyYciIZJ6kixcu0w_E0-4tTqjNPL-UsfbV

Human is way of processing information
gqEdhfsSmjanqGOXrstvwv0_lJYtsM0dDW0oG3TkuWEfv7tTJgwBCYgRjcwrN12aKCHANLSke-b93_zMcR-lrqUw4OrL-KgYl9Iflh_TS4dF-dpt_F83DJApSmwlo5-gxSRt8eL0


We are consciousness
oInq2X-IuH5wY4dfkmQapuq_5jTeZqSfWpNjwyQpokafI18TdoEpMGXAGtRFLr3B_Qaq3HHikiehZGjS64cD6XzWe-UbF8Z2FQBoXgtd972X-Bh_FvhOdYTh81CD74sKVhNCy2Pg




Hitimisho

Nadhani leo utakuwa umepata kitu cha kujifunza

Chakukukumbuka sana sana wazungu wanasema key point

  • Ubongo wako ni kwa ajili ya kuchakata na kufanya utambuzi wa energetic information

  • mwili wako ni kwa ajili ya kuishi kwenye hii virtual reality word

  • Kila kitu unachokiona ni energetic information field na kina vibrate katika frequency fulani



Asanteni sana wana jukwaa



###REMEMBER WHO YOU ARE###
 
Kumbuka Kuna wimbo sisi wakatoliki huwa tunaimba. Nasadiki kwa Mungu mmoja, baba mwenyeji muumba wa mbingu na nchi, na vitu vinavyoonekana na visovyo onekana. Angalia hapo vitu vinavyo onekana na visivyo onekana. Vinavyoonekana ndivyo ambavyo vipo kwenye same frequence na vibration sawia na macho, masikio na pua zetu yaani zile 5 organ za senses. Hivyo tunaweza kuviona, kuvisikia na kuvigusa na hata kupata harufu yake.
Kuna viumbe vingine vinaishi kwenye dunia hii hi lkn hatu interact navyo sababu vipo kwenye frequence na vibration mode tofauti kabisa na sisi. Hapo ndo hao viumbe wasio onekana. Unaambiwa uona wa macho yetu upo kwenye frequence ndogo Mambo mengi yanatupita lkn hatuyaoni Wala kutuhusu hivyo hayaathiri maisha yetu. Masikio vile vile Kuna sauti kubwa Sana huwa zinatokea duniani ila hatuzisikii sababu ya utofauti wa frequence na vibration level tuliyonayo. Huko marekani Wana mtambo wa frequence level ya juu zaidi ya masikio yetu, huwa wanasikia sauti za ajabu Sana.
Hi sayansi Sasa ya kutoonekana hapa ndo wanga, walozi na wachawi wanatupiga bao! Hahahaa
 
Back
Top Bottom