dunia

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

    Wakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini. . Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani. . Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia ameanza kufaulu kuirejesha Tanzania kwenye ramani ya dunia

    Mlikua mumetumbukizwa pabaya...kisa uongozi uliojaa maamuzi ya kijuha na chuki. ======= Samia is a master political player Tanzanian Opposition deputy leader Tundu Lissu and President Samia Suluhu in Belgium on February 16, 2022. PHOTO | COURTESY Tanzania’s President Samia Suluhu is...
  3. JamiiForums Tanzania Nukuu za Katibu Mwenezi CCM Taifa akiongea baada Rais Samia kuwasili akitokea ziara nje ya nchi, Jumapili 20 Februari 2022

    NUKUU ZA KATIBU MWENEZI TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKIONGEA BAADA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWASILI AKITOKEA ZIARA, JUMAPILI 20 FEBRUARI 2022 " CCM inaridhishwa na juhudi za kisera zitokanazo na upeo, uthubutu na juhudi zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika medani za Kimataifa"...
  4. JamiiForums Tanzania Pesa/coin za zamani na matumizi yake katika dunia ya sasa hasa za mgermany

    Habari ndugu zangu hiv karibuni kumejitokeza wimbi LA watu wanao kuwa wanatafuta pesa za zamani hasa kijerumani je hawa watu wanafanyia nn na ukizingatia zishapita mda wake...? Msaada tafadhari
  5. JamiiForums Tanzania Dunia hii chagua upande, aidha Urusi au Amerika, kamwe usiwe katikati, utalipa gharama kubwa siku moja !

    Kama Kiongozi kamwe usiwe katikati, chagua upande ambao utaona unakufaa na uende mazima siyo nusu nusu, nusu nusu itakufaa tu kama kila kitu kiko sawa, lkn kikinuka hauna msaada wowote na wanakushukia kama mwewe. Mfano Erdogan wa Uturuki mwaka 2016 kama asingekuwa rafiki wa kweli wa Putin...
  6. JamiiForums Tanzania Watu 13 wafariki dunia kwa kuanguka kisimani wakiwa harusini

    Watu 13 akiwemo mtoto mmoja wamefariki dunia baada ya kuangukia ndani ya kisima wakati wa sherehe ya harusi Kaskazini mwa India, juzi Februari 16, 2022. Waliopoteza maisha asilimia kubwa ni wanawake na mtoto huyo ambapo walikuwa wamekaa juu ya kisima kilichokuwa kimezibwa kwa muda. Taarifa ya...
  7. JamiiForums Tanzania Dunia ya kwanza(USA) F shuleni Finaanzia 59 kushuka chini, sisi F inaanzia 29 kushuka chini

    kwakweli hili suala linafikirisha sana. Marekani high school alama F inaanzia 59 kushuka ambayo huku ni C ya kibabe sana. Huku F inaanzia 29, yaani mtu akipata 30 kafaulu. hata logic inakataa, mtu aliyepata chini ya nusu anakuwaje kapata!!? Nafikiri ubora wa wasomi wetu unaanzia hapa.
  8. JamiiForums Tanzania BoT mnisikilize ili kwendana na wakati dunia inataka nini

    Kitu kilichonileta na kushtuka kama mnakumbuka miaka ya nyuma china ilihodhi sana dola ya Kimarekani nchini mwao ambapo malipo mengi walikuwa wanataka dola na kufikia mzunguko wa dola ukawa upo China. Hapo ndipo Marekani akashtuka kuwa pesa yake yote ipo China!.baada kutangaza hatachapisha pesa...
  9. JamiiForums Tanzania Chelsea wabeba ubingwa wa klabu bingwa dunia

    Chelsea imefanikiwa kubeba ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia baada ya kuifunga Palmeiras kwa mabao 2-1 katika fainali iliyochezwa Abu Dhabi, leo Jumamosi. Mabao ya Romelu Lukaku na Kai Havertz yameipa Chelsea ubingwa huo wa kwanza kwao katika historia ya michuano hiyo. Bao la Palmeiras lilifungwa...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

    Beki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu. Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli, Kagera Sugar na Ruvu Shooting.
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi Emmanuel Chacha wa ITV afariki dunia. Amefariki ghafla akiwa jijini Mwanza

    Aliyekuwa mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio One, Emmanuel Chacha amefariki dunia jioni ya leo Februari 10, 2022 akiwa jijini Mwanza. Chacha alianguka ghafla ambapo amefariki akiwa njiani akipelekwa hospitali.
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Shabiki aliyeandika mabao yote ya Messi katika makaratasi afariki dunia

    Hernan Mastrangelo ambaye alijulikana zaidi kwa jina la Don Hernandied amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 101, huyu anasifika kuwa shabiki wa Lionel Messi ambaye aliandika katika makaratasi mabao yote ambayo yalifungwa na mchezaji huyo. Mjukuu wa mzee huyo, Julián ndiye ambaye alianza...
  13. JamiiForums Tanzania Neymar afikisha miaka 30 leo. Dunia ya soka bado inamdai huku muda ukiwa unamuacha

    Neymar Jr mchezaji wa PSG na timu ya taifa ya Brazil, leo ametimiza miaka 30. Wakati Neymar akisheherekea kutimiza miaka 30 ya kuzaliwa kwake, Dunia ya soka bado ina deni kwake. Tuliaminishwa na gwiji wa soka wa Brazil Pele kuwa Neymar atakuja kufuta ufalme wa Messi na Ronaldo na atatwaa...
  14. JamiiForums Tanzania Nikiifikiria dunia, naona bora hata nisingekuwepo tu

    Yaani ukifikiria jinsi mtu unavyo hangaika mpaka jasho la meno Ili upate chappa uishi vizuri. Halafu ufikirie kufa unaona yani kama unapoteza wakati vile maana utavitafuta weee alafu hata hauenjoy yan paaap umedanja wanafaidi wengine jasho lako Huwa inanikata moto yani nikifikiria kufa naona...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Kimasai, Ole Pakuo afariki dunia.

    Kwa masikitiko makubwa, muimbaji maarufu na mkongwe wa nyimbo za injili kwa lugha ya Kimaasai, Ole Pakuo amefariki dunia. Ole Pakuo amefariki dunia leo mchana wa Tar 28-01-2022 katika hospital ya Rufaa ya kaunti ya Kajiado nchini Kenya. Alifikishwa hapo baada ya kuugua kwa muda mfupi na baadae...
  16. JamiiForums Tanzania Siri kumi(10) za dunia hizi hapa

    Kwa jinsi unavyozidi kuficha jambo ndivyo ivyo linavyo zidi tamanisha watu lifwatilia,,,wengi wetu tupo radhi kuficha siri kubaki nayo moyoni mpaka siku ya kufa,,,,, maana ikitokea imevuja tuu majanga yake huwa makubwa sana (nimekosa mimi...) yani kwa mfano coca cola ingetoa ingredients zake...
  17. JamiiForums Tanzania Uchumi wa dunia utakua kwa 4.4% mwaka 2022

    Benki ya Dunia imeripoti kuwa Uchumi wa Dunia utakua kwa 4.4% kwa mwaka 2022 ikiwa na tofauti ya 0.5% iliyokadiliwa awali. Mwaka 2023 ukuaji wa uchumi utapungua hadi kufikia 3.8% Nchi zinazoendelea zitakuwa na ukuaji mdogo ukilinganisha na nchi zilizoendelea. Aidha 60% ya nchi maskini zimeanza...
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Staa wa tamthilia ya Ertugrul, Artuk Bey afariki dunia

    Muigizaji wa tamthilia pendwa zaidi kwa sasa ya Uturuki ya Ertugrul, bwana Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51. Ayberk ambaye amecheza kama, Artuk Bey kwenye tamthilia hiyo ya Ertugrul, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa miezi kadhaa. Familia ya...
  19. JamiiForums Tanzania BBC Swahili wadai umbali kati ya dunia na jua ni Kilomita 150

    Assalamualaikum WanaJf. Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto. Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150). Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kumwambia mke wako sasa hivi umenenepa bila kuanzisha Vita ya Tatu ya Dunia nyumbani?

    Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao. Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…