dunia

  1. M

    SoC02 Jinsi Tanzania inavyoweza kujikwamua kiuchumi licha ya kuwepo kwa changamoto za uchumi zilizosababishwa na UVIKO -19 na vita kati ya Urusi na Ukraine

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoathiriwa na janga la UVIKO-19 pamoja na vita kati ya Urusi na Ukraine katika Nyanja ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa kwa ujumla. Majanga haya yamesababisha kuwepo kwa mfumuko wa bei za vyakula ,ongezeko katika bei ya mafuta na gesi pia kupungua...
  2. M

    SoC02 Changamoto za kiusalama zinavyoisumbua dunia ya leo

    Kwenye maisha yetu ya kila siku usalama na haki ya kuishi ni jambo muhimu sana kuliko mahitaji yote lakin kwa dunia ya Leo swala la usalama wa maisha linazidi kuwa changamoto kila kukicha. Ni wazi utakubaliana na mimi kwamba dunia ya Leo kiujumla na kwa nchi moja moja zinakabiliana na matishio...
  3. E

    Ni kigezo gani kinatumika kuwaita waliopigana vita kuu ya dunia mashujaa?

    Hatuwezi kuwaita waliotumika chini ya mkoloni mashujaa bila kuwaita wakoloni wenyewe mashujaa. Mnatuchanganya? Yapo mambo mengi mmeyaficha katika historia, hamuwaambii wananchi kuwa wapo ndugu zetu walihusika katika biashara ya watumwa kwa kuwakata ndugu zao na kuwauza kwa wageni. Wakati...
  4. Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye umri wa miaka 102, akiwa anadunda kwa ukakamavu wa hali ya juu tena kwa kujiamini. Mzee huyu...
  5. Kushika Nafasi ya 7 Mashindano ya Dunia ni Ushindi Kwetu.

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay Ametutoa kimasomasokwa kushika nafasi ya 7 kwa muda wa saa mbili dakika Saba na Sekunde thelathini na moja (2:07:31) katika Mashindano ya Dunia ya Riadha, yaliyofanyika Oregon nchini Marekani tarehe 17 Julai 2022 Jumapili iliyopita. Kwa upande wa Mwanariadha...
  6. Kwa dunia ya leo na ijayo, malezi ya babu na bibi hayana tija kwa future ya mtoto

    Ni ukweli usiosemwa! Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia. Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache...
  7. SoC02 Tumejipanga kiasi gani na mdororo wa uchumi unaofuata ulimwenguni

    Kwa wafatiliaji wengi wa Habari za ulimwenguni swala la mporomoko wa kiuchumi wa dunia utakua haujakupita. Unaweza usiwe mfatiliaji wa Habari hizo lakini mathwahibu yake ukayasikia hata unapokunywa kikombe cha chai asubuhi. Chanzo chake Kwa kawaida uchumi unakua na mzunguko, ambao tunasema...
  8. Mashindano ya Dunia ya Riadha yanayofanyikan Oregon Marekani na uhusika wa Tv za bongo

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha Tv za bongo kutokuonyesha mashandano ya riadha ya kimataifa yanayofanyika nchini marekani , ambapo kwenye mashindano hayo baada ya kutafuta channel zote za Tanzania nilikosa nikafanikiwa kuyaona live kwenye channel ya Kenya iitwayo KBC Nilishangaa kumwona...
  9. Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

    "TUTAANZA KWA KUZIFUTA JAPAN NA KOREA KUSINI KWENYE USO WA DUNIA", Kim Jong Un Akihutubia Kongamano la Chama cha wafanyakazi Jijini Pyongyang, Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un, Amewatahadharisha NATO na Mkuu wa US wasijaribu kueneza chokochoko Karibu na Jamhuri yake kwa Kufanya Mazoezi...
  10. M

    KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  11. TANZIA Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump afariki dunia nchini Marekani

    Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump amefariki dunia nyumbani kwake huko New York City Ivana alikuwa ni mke wa kwanza wa Donald Trump, amefariki akiwa na umri wa miaka 73 Marehemu alizaa watoto watatu na Donald Trump, watoto hao ni Donald Jr, Ivanka na Eric Taarifa za kifo chake...
  12. Dunia yetu ndivyo ilivyo?

    Ni kweli kuwa Dunia yetu Ina umbo la yai, hii inapelekea baadhi ya maeneo Duniani kuwa na Usiku mrefu kuliko mchana au Mchana kuwa mrefu kuliko Usiku, na sehemu nyingine kwa kipindi fulani kuwa mchana tu (Hakuna Giza) na sehemu zingine kuwa Usiku tu (Jua halionekani) Je hizi sehemu...
  13. TANZIA Mbunge na Mkurugenzi wa Fedha wa zamani, Khadija Makontena afariki dunia

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amemtumia salaam za pole Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF ) Profesa Ibrahim Lipumba, familia, ndugu na jamaa kufuatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Chama Cha Wananchi (CUF) na Mkurugenzi...
  14. Mafuta yameanza kushuka bei kwenye soko la Dunia

    Week hii bei ya mafuta ghafi imeshuka kwa 11% mpaka kufika chini ya $100 kwa pipa. Sababu kubwa inachangiwa na kushuka Kwa demand ambayo imesababishwa na kuanguka kwa uchumi za nchi nyingi hasa dunia ya kwanza. Na nyingine, nchi zinachimba mafuta zimekubaliana kuongeza uzalishaji wa mafuta...
  15. TANZIA Pacha waliotenganishwa, mmoja afariki dunia

    Mtoto mmoja kati ya waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Neema amefariki dunia wakati akiendelea na matibabu Jumapili Julai 10, 2022. Taarifa ya Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa MNH, Aminiel Aligaesha imeeleza kuwa hali ya Neema...
  16. L

    China kujenga rada ya ubora wa juu duniani ili kulinda vizuri sayari ya Dunia

    China imeanza ujenzi wa mfumo mpya wa rada utakaokuwa na uwezo wa kufuatilia kwa kina masuala ya anga za juu kwa lengo la kulinda vizuri Dunia. Mfumo huo mpya pia utaongeza uwezo wa ulinzi wa nchi hiyo dhidi ya sayari ndogo zilizo karibu na Dunia, na uwezo wake wa kutathmini mfumo wa Dunia na...
  17. Mwanaume usipokuwa na msimamo utaendeshwa na mwanamke mpaka dunia utaiona chungu

    Ukiona mwanaume yeyote analalamika kuhusu mwanamke hamuelewi, mara ohoo nipo sipewi unyumba, mara ohoo mwanamke wangu kabadilika Nasema ivi mwanaume mwenzangu unapokuwa na mahusiano na binti yeyote jifunze kuwa na msimamo lakini ukijifanya lava lava boy kila kitu sawa babe utaendeshwa mwanamke...
  18. Putin asaidiwe kuikomboa dunia dhidi ya nchi chache za Magharibi

    Hakuna ubishi kuwa nchi za Magharibi zimejengwa kwa rasilimali kutoka mataifa mengine na watumwa. Mahitaji yaliyosababisha nchi za magharibi kutafuta makoloni na watumwa hayajakwisha hata kidogo, ile kiu ya kuzitawala nchi nyingine bado wanayo, na iko siku moja (sio mbali) watatumia NATO...
  19. N

    Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

    Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao Inasemekana jamaa kafariki dunia Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu...
  20. S

    TANZIA Bariega amefariki dunia

    Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko Tabata huzuni imetawala Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi, hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe. Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…