TANZIA Bariega amefariki dunia

Sina mood

Senior Member
Nov 15, 2018
197
1,310
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko Tabata huzuni imetawala

Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi, hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.

Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha

Screenshot_20220702-105847_1.jpg
 
Wanaume wa dar mna tatizo siwaelewi yaani kijana mdogo hivyo anawasumbua mpk anakuwa mashuhuri Ina maana ilikuwa hamna shujaa wa kujitolea kumkaanga.anyway RIP nimekaa tabata barakuda five years ila sikuwahi kumsikia sijajua matukio yake ilikuwa wapi mpk atue huzuni hivyo kwa tabata
 
Tobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.

Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.

afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.
 
Habari za kuyimuka wa kunyumba
 
Zabonga yupo jela.

Alianza kufa Kambale wa kutereza kafata pacha wake bariega kabaki huyo Zabonga.

Wanajiita expendable chama ni kundi la watu wengi sana
 
Tobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.

Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.

afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.
Coca bana..Umetiririka pointi vizuuuuri kabisa ila mwishoniii umekuja kumaliza vibaya,Kwa nini utaje mashoga????

Unapenda sn vita asee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom