Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

Status
Not open for further replies.

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao

Inasemekana jamaa kafariki dunia

Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu kuichezea brand ya machampion wa nchi kwamba huu mwaka siyo wa mchezo, team ni ya moto huku ikichagizwa na semaji lisilotaka mzaha mzaha katika kupigania maslahi ya team linaloipenda kwa dhati

fununu.JPG

weka video ya mortuary dogo mzima anakula kijiti acheni uzushi Kolo FC

shangilieni kiatu cha Mpole na hattrick ya Sopu mjipoze kabati la makombe kuwa tupu!@
 
Yule alikuwa anapasua nazo sehemu waliyosimama mashabiki wa yanga, kwani hakuona sehemu nyingine ya kufanyia huo uchawi wake..... ??

Hio mesej ya kutunga ni propaganda za makolo, yule dogo ni mzima wa afya, japo jana katiwa vikofi vya kumkumbusha aliwa sehemu waliyop Yanga huwa hatupendi uchawi kama wao walivyozoea kuwanga hadharani
 
Kwani hiyo nazi alipasulia kwenye ugoko wa shabiki wa Yanga?

Hoja ya msingi ni kuangia hiyo tuhuma kama ina ukweli kuwa huyo dogo kafariki au ni propaganda.

Na kama kafariki ni kweli alipigwa na mashabiki?

Utetezi wa kusema "alikuwa anavunja nazi kwenye sehemu walipo mashabiki wa Yanga" kwalengo la kufanya mashabiki walioshiriki hicho kitendo waonekane walifanya jambo sahihi unakuwa unajishushia credibility na hakuna mahakama inayowrza kusikiliza hicho kihoja kama utetezi.
 
kafariki mkuu lakini hawa jamaa wanshangilia kwa kifupi wana justify mauaji

Back
Top Bottom