Hellow wakuu
Tunaishi kwenye dunia ya kibepari, daktari anategemea wagonjwa wamlipe ili aishi watu wasipo umwa anakufa njaa, mchungaji anategemea waumini watoe sadaka ili apereke watoto shule nzuri ale na kusaza, mganga anategemea biashara za watu ziyumbe ili waende kwake wamlipe ndio...
Mdau ahoji imekuwaje watu wamefanikiwa kutafsiri vitabu vya dini kuja kwenye lugha mbalimbali hili kila mtu allowe, lakini vitabu vya maarifa ya dunia kama Vya kijeshi, kiuchumi, kimatibabu, kisayansi na viinginevyo vyenye kumsaidia mwanadamu kuishi na mazingira havijatafsiriwa, yani vimebaki...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
by Prof Shivji
Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions of higher education.
HUU HAPA NDIO UTARATIBU WA DUNIA NZIMA .
1. Awadees msitumie hizo titles before...
Japo tunawadharau, wanyama ni viumbe bora kitabia kuliko wanadamu.
Hawafanyi uchafu hasa chuki na uroho, roho mbaya, tabia mbaya, fitina, majivuno, kunyonyana, kunyongana, wala kuawana kama binadamu. Nadhani ndiyo maana hawatishwi na hekaya za peponi na motoni.
Wanaaminika kuliko binadamu...
Mabingwa wa soka wa dunia, timu ya taifa ya Argentina, leo alfajiri imefuzu mashindano ya kombe la dunia ya mwakani kwa kuibamiza Brazil mabao 4-1. Mashindano hayo ya mwakani yatapigwa kwenye nchi tatu za Marekani, Canada na Mexico.
Baada ya ushindi wake huo, Argentina amefikisha alama 31...
Salaam JamiiForums
Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza.
Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana.
Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo.
Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
"Dunia inazunguka, na wewe unazungukwa"
Muda huu rafiki yako wa shida na raha yupo kumsisitiza mpenzi wako kuwa jambo lao liwe siri wewe usijue.
Kwasababu kama wewe utagundua..
✓ Urafiki wenu utavunjika (wewe na rafiki yako wa shida na raha),
✓ Uhusiano wenu utavunjika (wewe na mpenzi wako wa...
Mkurugenzi Mtendaji Samsung Electronics Han Jong-Hee aAmefariki kutokana na mshtuko wa moyo siku ya Jumanne,hiini kulingana na msemaji wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Korea Kusini. Han alikuwa na umri wa miaka 63.
Alizaliwa mwaka wa 1962, Han alikuwa amesimamia biashara za kampuni hiyo za...
Najua umeshtuka sio achana na ile Rolls Royce ya Diamond platinum toka Tanzania au bughatti ya Davido toka Nigeria 😁 Kuna mbwa ana gharama kubwa kuliko hayo magari.
Kuna mbwa mmoja jamii ya Wolf Dog mbwa adimu sana Ulimwenguni kwa jina lingine anaitwa Cadabomb Okami ndo amekua mbwa ghali zaidi...
Katika moja ya campaign yake huko Afghanistan, Genghis Khan alipewa taarifa kuwa mjukuu wake pendwa ameuliwa akiwa vitani, jamaa alichoamuru ni kuua kile chochote chenye uhai katika jamii hio alipofia. Kuna wakati waliuua watu wakatengeneza pyarmid ya miili yao kwa kutofautisha wanaume, wanawake...
Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?
Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
Watanzania wengi wamezubaa sana,ni waoga hata wa kujaribu,wamejaa roho ya chuki,na ubaguzi,kazi kuwalaumu tu wanaojiongeza!
Hivi mnajua watanzania wanaoenda ulaya, Marekani na Asia kila siku wanaenda kufanya kazi gani? Vipi mnaolalamika,mmewahi kusikia watu wa huko wakilalamika kuwa watanzania...
Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.
Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika...
Baada ya takribani kama miaka 50 hivi ijayo teknolojia itakapokuwa juu sana. Mfumo wa Artificial Intelligence (AI) utakuwa umeimarika kiasi kwamba maroboti yataweza kuwasiliana na kufanya uamuzi unao fanana. Mifumo hiyo itayawezesha maroboti hayo kufanya maamuzi ya hatari kwa kumwasi aliye...
Mwigizaji Simon Fisher-Becker, anayejulikana zaidi kwa kushiriki filamu za "Harry Potter" na "Doctor Who," amefariki akiwa na umri wa miaka 63.
Kifo cha Fisher-Becker kilithibitishwa na meneja wake, Kim Barry. "Leo nimepoteza sio tu mteja katika Simon Fisher-Becker, lakini rafiki wa karibu wa...
Naona majibishano ya maneno makali yaliyokosa staha ya kidiplomasia na makabiliano halisi ya kijeshi barani Ulaya na Amerika (migogoro ya Russia vs Ukraine, Trump kutaka kuzichukua Canada na kuinyang'anya Greenland kutoka Denmark, mfereji wa Panama).
Mashariki ya kati (migogoro inayomuunganisha...
Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo.
Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu.
Mama Siwale ni kati ya mawaziri wanawake wachache waliotumikia nchi bila mawaa!
Juzi ilikuwa Prof Sarungi, passing of times
Mama Thabita Siwale, mwanasiasa mkongwe ameifariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Ocean Road alipokuwa amelazwa kwa wiki mbili akipatiwa matibabu.
Msiba uko nyumbani kwake Mikocheni Dar es Salaam.
Taarifa rasmi itafuata mara tu baada ya kikao cha wanafamilia.
Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.