𝗟𝗜𝗩𝗘: 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗡𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 (𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁) 𝟮𝟳-𝟮𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶, 𝟮𝟬𝟮𝟱
Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)
Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 – 28 Januari, 2025.
Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya...
Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa.
Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio usikute mambo ya upinde ndio jadi kwako either wewe ni bwana wa mtu au wewe ni bibie wa mtu, so...
Noam Chomsky ana mtazamo wa kina na wa kukosoa kuhusu demokrasia, hasa jinsi inavyotekelezwa na kuathiri nchi zinazoendelea. Kwa Chomsky, demokrasia mara nyingi haina maana halisi ya kuwa sauti ya watu, lakini badala yake inakuwa chombo cha kudhibiti tabaka la chini kwa masilahi ya tabaka...
Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni...
Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk...
Mshambuliaji wa zamani wa Scotland, Manchester United, na Manchester City, Denis Law, ambaye ndiye mchezaji pekee wa Scotland kuwahi kushinda tuzo ya Ballon d'Or, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.
Mwanasoka huyo aliyepewa majina ya utani kama "The King" na "The Lawman", alicheza kwa...
Leo nimekaa nikawaza kama Dinosaurs waliweza kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia ikikaridiwa namba yao ilikuwa 2.5 billion, miaka milioni 65 iliyopita basi kuna uwezekano mkubwa wa binadamu nao kutoweka kabla Yesu hajarudi.
Dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5 na katika miaka yote...
Heri ya mwaka mpya! Mnapongezwa tena kwa kazi yenu njema ya kufahamisha na kuelimisha kote duniani. Ujumbe unaofuata (umewasilishwa kama shairi lenye unabii wa mambo yanayoenda kutokea 2025). Ujumbe unaweza kuchapishwa n.k. Shukrani.
NDANI YA ROHO WA UNABII 2025! Kenya +254729011324, Tanzania...
Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM.
Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu.
Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni...
Umezaliwa humfahamu baba yako mzazi. Mama yako anakwambia babaako alishakufa. Anakutajia jina ambalo silo unalotumia shuleni. Unaanza kujiita ubin kwa hilo jina.
Baada ya miaka kadhaa,
mama yako anakutambulisha kwa mtu mwingine kuwa ndiye baba yako. Tena yuko hai. Na jina sio lile alilokutajia...
MwanaJF wenzangu,
Tunashukuru tumeanza wiki 1 ya mwaka 2025. Tuweke malengo ya kuhakikisha vizazi na vizazi vinaikuta sayari yetu salama.
Mimi nitafanya yafuatayo;
1. Kupanda angalau miti 5 ya matunda tofauti tofauti.
2. Kuendelea kutotumia vifungashio vya plastiki
3. Kwenda sokoni na mifuko...
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.
Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache...
Kwenye dunia ya sasa, shetani anapambana sana kuwaweka watu mbali na Mungu. Na anatumia mbinu na mitindo ya maisha ya dunia ya sasa kufanikisha hilo:
1. Kuvutia watu kwa maisha ya kidunia na mali: Shetani hutumia tamaa za ulimwengu, kama utajiri, umaarufu, furaha za nje, na starehe za mwili...
Binadamu ni kiumbe anaeishi Kwa Sheria na moja wapo ya Sheria zake ni pamoja na kuwa na kiongozi, popote penye mkuasnyiko wa binadamu lazima wapate kiongozi wao
Hata kusanyiko dogo zaidi la watu wawili lazima mmoja awe anamwongoza au kumzidi angalau kidogo mwenzie hapo ndo kusanyiko litadumu...
Eti wakuu
Jaribu ku-imagine dunia ambayo blacks na Arabs au mmoja kati yao ndio angekuwa super power, maisha yangekuwaje wakuu?
Unahisi hali ya uchumi, siasa, usalama wa nchi mojamoja na dunia kwa ujumla ingekuwaje?
Hizi ni fikra tu wakuu
Karibuni
Aliyekuwa Mfalme wa Zanzibar Sayyid Jamshid amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo nchini Oman zikiwa zimebaki siku chache kufikia miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomuondoa madarakani na anatarajiwa kuzikwa katika makaburi ya familia ya kifalme huko Muscat.
Vyanzo vya habari vimethibitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.