dunia

  1. JamiiForums Tanzania Ogopa sana Dunia ikiamua kukufunza bila ada, unachokidharau kina Uhai wa Watu

    Yule uliemuua ili uchukue pesa zake pale benki.. Ndugu zake walimzika kwa vilio, na Dunia nzima ililaani kitendo kile.. Yule bondia mwenzio ulingoni, uliempiga mpaka akazimia.. Mkewe alipiga kelele akiwa nje, na kusema bado yupo pamoja na mumewe.. Yule rafiki yako mwanfunzi mburula...
  2. JamiiForums Tanzania Mungu wangu dunia inaenda wapi?

    Kuzaa kuna mengi 🤔🤔 https://www.facebook.com/share/16QrnEtdUo/?mibextid=xfxF2i Mtoto anapigana na mzazi wake? Hii ni zaidi ya laana na mikosi kwenye familia.. Lakini pia kuna shida kubwa kwa mzazi kwakuwa mtoto umeavyo ndivyo akuavyo Hii video imeniumiza sana...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa

    Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X. Ojwang alikamatwa Jumamosi mchana na polisi katika eneo la Kakot, Kaunti ya Homa Bay...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natamani dunia ipasuke na watu wote wabaki kuwa historia

    Ninaelewa unachotaka kufanya — kuwasilisha hoja yenye mtazamo mkali kuhusu kuangamia kwa wanadamu duniani. Kutamani kufutika kwa wanadamu au kuangamia kwa dunia kunaweza kuashiria maumivu ya ndani au kukata tamaa. Kama unaandika haya kwa sababu ya hasira, huzuni au hisia za kukosa maana ya...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki ya dunia yarejesha mikopo Uganda, baada ya miaka miwili iliyopita nchi hiyo ilipopitisha sheria dhidi ya watu wa LGBTQ

    Benki ya Dunia imesema inaondoa marufuku ya mikopo kwa Uganda ambayo ilikuwa imeweka miaka miwili iliyopita wakati nchi hiyo ilipopitisha sheria mpya dhidi ya watu wa LGBTQ. Mnamo 2023, Uganda ilipiga kura na kuidhinisha moja ya sheria kali zaidi za kupinga mapenzi ya jinsi moja duniani...
  6. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Katika kikao...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini umri wa dunia unatofautiana sana na wa binadamu wa kwanza

    Kwa mujibu wa wanasayansi dunia toka kuumbwa kwake hadi sasa ni takribani miaka billion 4.5 iliyopita,(huo ndo umri halisi wa dunia). Mwaka 1935 ndani ya mamlaka ya hifadhi ya NGORONGORO katika eneo la olduvai george mwanasayansi Louis leakey na mkewe Mary leakey waligundua fuvu la...
  8. JamiiForums Tanzania Talaka ya Zuchu imevunja rekodi ya Dunia

    Talaka 3 ndani ya siku 28 hizo zinafaa kuingia kwenye Guinness Worlds' Record.
  9. JamiiForums Tanzania Dunia imeharibika, ila watu wameharibika zaidi

    Habari za jumapili, Shikamooni wakubwa wote. Kwanza nishangae ni jinsi gani mtu anaweza kukata tamaa au kukatisha tamaa wenzake Kwa kudhani jambo fulani haliwezekani kumbe ni yeye anaangukia pua. Wanawake weeengi tunaonekana Malaya,hii ni kwasababu wapo wasichana au wanawake kadhaa ambao wao...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Mustafa Songambele (mwanasiasa mkongwe) afariki dunia

    Alhaj Mustafa Songambele(aliyelala) akiwa na Waziri Simbachawene Mwanasiasa mkongwe na miongoni mwa wapigania uhuru wa Tanganyika, Alhaj Mustafa Mohamed Songambele, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam. Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na binti yake Dorah Songambele...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  12. JamiiForums Tanzania Eminem alimchana sana Mama yake kwenye hii ngoma ya 'Cleanin Out My Closet' akionesha Dunia chuki ya wazi kwa Bi Mkubwa ambaye alikuwa mzinguaji enzi

    Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida. Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tuiombe Dunia Imfukuze Tulia Kwenye Nafasi ya Spika wa Umoja wa Mabunge Duniani.

    Tulia, spika wa Bunge la JMT, amekuwa mstari wa mbele katika kutetea na kulinda utekaji na mauaji ya wakosoaji. Mara mbili, wabunge waliomba Bunge lijadili utekaji na mauaji ya wakosoaji, lakini Tulia, kama spika wa Bunge la JMT, alizizima hoja za wabunge hao, na kuzuia kabisa zisijadiliwe...
  14. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum

    Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum Ref: No Retreat, No Surrender! Maria Sarungi Speaks Out on Tanzania’s Repression at the Oslo Freedom Forum - Mwanzo TV https://youtu.be/EiV1P-sOvHU?si=0xNqnamQJihTXFnh
  15. JamiiForums Tanzania MWAMUZI DEHANE ALIECHEZESHA FINA L YA SIMBA VS BERKANE ACHAGULIWA KUCHEZESHA KOMBE la DUNIA la VILABU MAREKANI....CONGS MWAMBA

    Mwamba dehane N MMOJA WA WAAMUZI WALIOCHAGULIWA KUCHEZESHA MECHI ZA MAREKANI KOMBE la DUNIA LA VILABU Mwambaaaa nyotaaa inazidi kungaaa
  16. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mfanyabiashara una taasisi yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaani raman ya dunia nichek

    Kama wewe ni mfanyabiashara una biashara yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaaani mtu ata aki request a Afike hadi dukani kwako yaani duka linaonekana kwenye raman Ya dunia kama unataka iyo nicheki 0743 257 669 nikusaidie
  17. H

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Dunia iongeze nguvu kuwasaidia Watanzania kupambana dhidi ya dhuluma ya Haki za msingi za binadamu

    Suala ya udhulumaji haki kwa wananchi wa Tanzania linalofanywa na watawala, lina uhalali na haki ya kupata msaada mkubwa kutoka jumuia ya kimataifa. Ni mwendawazimu pekee ndiye anaweza kutamka kuwa eti udhulumaji wa haki, ikiwa ni pamoja na utekaji na mauaji ya wakosoaji, ni suala la ndani ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke Katika Jamii yenye "Nafasi Sawa" - Katika Dunia ya Ubepari

    Katika nusu ya pili ya karne ya ishirini huko Marekani na nchi nyingine za magharibi kulichomoza mwendo wa neofeminism, yaani "nafasi sawa". Kwa leo hali sawa za wanawake na wanaume zimetangazwa rasmi katika nchi nyingi duniani. Mwishoni mwa karne iliyopita ilisisitizwa na wanaelimujamii...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Dunia kimya kimya

    JINA RASMI LA SIMULIZI: Mwisho wa Dunia Kimya Kimya --- MUHTASARI WA SIMULIZI Najim Kifu, mwanaume kutoka Kigoma, mtaalamu wa historia na mjasusi wa zamani aliyejificha kwenye kivuli cha kawaida, anavutwa tena kwenye dunia aliyojaribu kuisahau. Ujumbe wa siri kutoka kwa mtu aliyedhaniwa...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

    Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo, Wilaya ya Iringa. Akizungumza na Mwananchi leo Mei 24, 2025, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Iringa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…