Dunia imeharibika, ila watu wameharibika zaidi

Dunia imeharibika, ila watu wameharibika zaidi

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,418
Reaction score
4,113
Habari za jumapili,

Shikamooni wakubwa wote.

Kwanza nishangae ni jinsi gani mtu anaweza kukata tamaa au kukatisha tamaa wenzake Kwa kudhani jambo fulani haliwezekani kumbe ni yeye anaangukia pua.

Wanawake weeengi tunaonekana Malaya,hii ni kwasababu wapo wasichana au wanawake kadhaa ambao wao kwenye maisha wanaangalia pesa tu,hawajali kuhusu afya zao na heshima zao kikubwa wapate vilivyo kwenye ndoto zao.

Mimi sehemu napofanya kazi (Kwa boss wangu) ni mahali pananikutanisha na watu wengi Sana kwani ni mjini lakini pia aina ya vitu tunavyouza,natongozwa na wanaume wengi tofauti,maneno mbalimbali,ahadi kibao pamoja na watu wenye ushawishi.
Hilo ni kawaida.

Kinachonishangaza ni mwanamke mwenzangu ninayemuheshimu anaponitongoza kwaajili yake ,hapa nachoka kabisa,mwanzo nilikuwa sielewi nikidhani labda wanatumwa na wanaume kumbe ni wao wenyewe😭😭

Sasa najua wapo hapa jamiiforum kwani Nina uhakika wapo hapa kwani mmoja niliona akilog in ,sasa nipo tayari kukwaruzana nao,Mimi mwenyewe nimezaliwa Pwani na najua hekaheka za hili jiji,kijora nishachomekea kwenye chupi ,hamna haya nyinyi, mwanamke mwenzako umfanye nini?
 
Back
Top Bottom