Dunia imetufikisha hapa

Dunia imetufikisha hapa

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,583
Reaction score
17,737
Siku hizi mwanamke akienda sokoni akiwa ananunua matango akiyashika na kuchagua kubwa soko Zima macho kwake! 👀 👁️

Mtu ukienda kununua mafuta ya nazi unaenda kununua kwa kificho wakati unaenda kupaka tuu kwa matumizi ya ngozi Yako.

Ukinunua zako Nazi na mihogo ule vitu asili watu wote macho kwako 👁️ 👀

Akili ya mtu mweusi inawaza ujinga mda wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom