Dunia sasa imebakisha aslimia fulani kuingia kwenye Apocalypse

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,418
Apocalypse ni neno la asili ya Kigiriki (apokalypsis) lenye maana ya ufunuo, kufunuliwa au kuwekwa wazi kwa jambo lililofichika.

Mfano leo uwezi kufanya uwovu alafu ukasema ule sio uwovu na wala sikufanya ukaona hakuna mwenye kumbukumbu.

Mifumo yote ambayo dunia imeifanya na kuifanya dunia kuwa na uzibiti wa mamlaka au utawala ,sasa kwa dunia ya sasa tumeshuudia mambo mengi na mabadiliko makubwa.

Kama dunia watu wake wakifikia hiyo steji basi zile sinema mnazo ziona zikionesha mfano dunia ishaaribika,sheria zimeshafutika na n.k ndio dunia itakuwa hivyo.
 
Asilimia ngap zimebaki?.
 
Siku hizi kufanya jambo la hovyo ndio new normal, ukisimamia ukweli unaonekana una wazimu.
 
Back
Top Bottom