dunia

  1. JamiiForums Tanzania Global Economy: Hali ya deni la dunia ilivyo mpaka sasa

    Dunia Inazama Kwenye Bahari ya Madeni Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa deni la dunia sasa limefikia takribani dola za Kimarekani trilioni 338 — kiwango kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya uchumi wa dunia. Deni hili linahusisha mikopo ya serikali, kampuni binafsi pamoja na...
  2. JamiiForums Tanzania Mitandao Yote Imejaa Picha za Iran Kuishambulia Israel Kwa Sababu Dunia Nzima Imechukia Uonezi wa Israel

    My Take Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
  3. JamiiForums Tanzania Vunja ukuta wa shikamoo! Uingie kwenye dunia yake kimkakati!

    Ili uweze kufanikiwa, hizi hapa ni mbinu za kitaalamu /Kimkakati na za kisaikolojia poti. 1. Vunja Ukuta wa "Shikamoo" Hili ni tatizo la kwanza kwa vijana wengi wa hapo Dar!. ... Ukimpa "Shikamoo" Mumama kila saa,.... anakuona kama mwanaye au mpwa wake, na hapo hisia za kimapenzi kwako...
  4. JamiiForums Tanzania Orodha ya raisi wafuatano wanaweza kuingiza dunia kwenye vita kwasababu wana tatizo la wenge

    Donald Trump Ni raisi mwenye chokochoko hana tofauti na kidawa mpenda kufunua Makaburi na vyungu vya sumu ambavyo havikutakiwa kufunuliwa, kesha funua vyungu vingi vipo wazi vinatema sumu na sasa dunia nzima inakohoa Kim Jong Un Ni raisi mwenye mikono inayowasha sana anapenda kuchezea moto...
  5. JamiiForums Tanzania Wimbo: Elimu Dunia by Daz Baba

    DAZ BABA - ELIMU DUNIA. VERSE.. ( AFANDE SELE) We ni mfungwa sasa 'si mtu huru/ Ukilalamika sana utakuwa kama unakufuru/ Tu..!! Lazima ujue sisi ni vifaranga na maisha ni kama mwewe/ Mama yetu ni elimu’ ulio mkataaga we mwenyewe/ zamani..!! Ulimkataa elimu ya duniani 'ukampiga hadi mwalimu...
  6. JamiiForums Tanzania Nitawasimulia wajukuu wangu tena kwa madaha ni namna gani nilibahatika kushuhudia vidume hawa wawili wakiikomboa dunia huru dhidi ya radicals

    LONG LIVE THE CRUSADE, LONG LIVE THE ZION Hawa ndio wanaohakikisha dunia huru isiwe chini ya radicals na extremists.
  7. JamiiForums Tanzania Wayahudi Waliohifadhiwa Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili Vya Dunia Wasiuliwe na Hitler

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya kiislamu ya Iran iliua waandamanaji 32,000 na dunia iko kimya!!!

    Utawala wa Iran unaongozwa na serikali ya kiislamu ya Ayatollah Ali Khamenei uliza zaidi ya waandamanaji 32,000 huko Iran. Umoja wa Mataifa mashirika ya kutetea haki za Binadamu na assailant za Serikali wote wako kimya hapo ndipo utaiona UNAFIKIRI wa walimwengu...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wawili Zanzibar watekwa kwenye gari aina ya IST

    Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii? Rais wa Zanzibari chukua hatua
  10. JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo afariki dunia akipatiwa matibabu

    Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu...
  11. JamiiForums Tanzania Tom Hagen wa kwenye The Godfather afariki dunia

    Tom Hagen alikua adopted, akasomeshwa sheria na kufanywa kuwa Consigliere wa familia. Hivyo Consigliere aliiuwa ndiye mshauri na mwanasheria wa familia na shughuli zao zote
  12. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa kutosha unaonyesha dini sio chanzo cha maadili ya dunia

    Japo watu wengi wa dini huwa wanaamini dini ndiyo chanzo kikuu cha maadili duniani na kwamba dunia bila dini itageuka kuwa uwanja wa fujo ukweli wa historia unaonyesha tofauti kabisa. Tukijikita katika dini kubwa tatu za Uyahudi, Ukristo na Uislamu zilizoanzia mashariki ya kati utagundua mambo...
  13. JamiiForums Tanzania Ikiwa Ujerumani ndo nchi ya watu wenye akili duniani na wana nguli imeshidwaje kuwa among super power dunia

    Albert Einstein – Nadharia ya Relativity Max Planck – Mwanzilishi wa Quantum Theory Werner Heisenberg – Uncertainty Principle Wilhelm Conrad Röntgen – Aligundua X-rays Hermann von Helmholtz – Fizikia na fiziolojia 🧪 Kemia Justus von Liebig – Baba wa modern chemistry Fritz Haber – Haber Process...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Tumuombe Mwenyezi Mungu Afunge Mageti ya Ikulu Dhidi ya Watu Wabaya, Wachonganishi

    Msikilize! Pascal Mayalla Naombeni muendelee kuombea taifa letu lakini pia muendelee kumuombea Rais wetu maana kuna watu hawajui umuhimu wa rais, rais akitikiswa nchi inatikisika, kwahiyo tumuombee afya njema na kupata macho ya tai ili atambue watu waongo, wahalifu Amesema Nchimbi Makamu wa Rais
  15. JamiiForums Tanzania Nilivyomuona Yesu nachanganyikiwa, nashindwa kuelezea, lakini leo ngoja niseme liwalo na liwe

    Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha na Sanamu za Mzungu flani hivi wa Ulaya au Marekani. Yesu hakuwa mzungu. Kihistoria na...
  16. JamiiForums Tanzania Nassor Hamdan Seif, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki Dunia

    Mfanyabiashara Nassor Hamdan Seif, Maarufu kama Mzee NBS, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwili wa Marehemu Mzee NBS utasafirishwa kuelekea Tabora kwa Mazishi yake. Apumzike kwa Amani
  17. JamiiForums Tanzania Dunia inaenda kasi sana: AI wameanzisha mtandao wao wa kijamii (MOLTBOOK)

    Mambo yanakuwa mengi sana aisee, leo katika zurura yangu mitandaoni nimekutana na habari ya AI kuanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya AI agents kukutana, yaani humo ndani AI tofauti tofauti zinakutana na kupiga soga tofauti tofauti. Bila kusahau kutujadili binadamu. Eeeeh bwana eeeeh, hivi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Padre Paul Nsekela Sabuni afariki dunia

    Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, anasikitika kuwatangazia kwamba leo tarehe 30/01/2026 saa 10.31 alfajiri mpendwa wetu Padre Paul Nsekela Mboje SABUNI, Paroko wa Parokia ya IPTL, ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele akiwa katika matibabu...
  19. JamiiForums Tanzania Aliyechomwa sindano kutibu tezi dume kisha kupooza, afariki dunia

    📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake. Kifo cha Mathias kinatokea siku chache baada ya Jambo TV kuchapisha habari akiomba msaada wa matibabu, akiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiangalia stori za dini zote hapa dunia zilifikishwa kwa watu kwa hiari ila kuna hio moja ilibidi watu wafanyiwe fujo ndio wengine wapokee kwa lazima

    Tena kwa mauaji na unyang'anyi. Nisengependa kuwataja ila mnawajua na watakuja kwenye comment kutisha watu maana wanajijua🤐
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…