dume

Dume is a former freguesia ("civil parish") and former bishopric in the municipality of Braga, northern Portugal, which remains a Catholic titular see.
In 2013, the parish merged into the new parish Real, Dume e Semelhe. It has a population of 3 081 inhabitants and a total area of 4.34 km2.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia amewanyima hoja wapinzani wake ndio maana wamekimbilia kwenye mfumo dume"Wapuuzeni"

  2. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Tuliambiwa kuwa Idi Amini alikuwa dikteta wa hatari

    Nashindwa kujizuia hili jamaa kuliita Dume na Mwamba wa Afrika Tuliambiwa kuwa Idi Amini alikuwa dicteta wa hatari, anakula watu, anakula damu za watu na mambo mengi yanayofanana na hayo lakini siku zinavyozidi kwenda inakuwa tofauti sana. Baba zetu na mama zetu walimuimba sana mashuleni...
  3. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja jinsi ya kujiunga na bando la LAMBA DUME kutoka Tigo. 6GB kila baada ya wiki 2.

    wazee kwema? tupeane maujanja tupunguze ukali wa maisha ya mtandaoni.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huenda Wabunge wengi wa CCM wakashindwa kurudi 2025 na upinzani ukalamba dume

    2020 Kulikuwa na upepo wa ajabu kwa wabunge wengi wa CCM kwani walibebwa kama watoto wachanga na JPM na Livingston Lusinde ni shahidi kwani yeye alisema kuwa kunawabunge hata kwa kuzikiri bila nguo wasinge rudi ila Magufuli aliwabeba na mbeleko. Taarifa nilizo zipata kutoka chanzo cha uhakika...
  5. Mseminary Robert

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi dhana ya mfumo dume inavyowatafuna Wanaume

    JINSI DHANA YA MFUMO DUME INAVYOWATAFUNA WANAUME Wahenga walipata kusema kikulacho kinguoni mwako na hivi ndivyo ninavyoweza kuamua na kuhawilisha tafakuri yangu katika maisha ya mfumo tunaoutamania kuishi kwa kuzingatia kuwa binadamu wote ni sawa na tunapoutafuta usawa wa kijinsia ni kwamba...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hofu imenitanda nahisi nina tezi dume

    Amani iwe kwenu . Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa muda mrefu nilikuwa nahisi hali yangu ya mfumo wa mkojo haiko sawa. Lakini kubwa ni kushindwa kujiziwia nikibanwa na haja ndogo. Mara nyingi nilikuwa nikienda hospitali niliambiwa nina mkojo mchafu( u.t.i) napewa dawa natumia napata nafuu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tiba ya tezi dume bila upasuaji inawezekana?

    Wakuu naomba kuelewa kwa yeyote anayejua au kushudia matibabu ya Tezi dume bila upasuaji na mgongwa kupona kabisa na hayo matibabu yanapatikana wapi? Nitafurahi zaidi kupata taarifa za matibabu ya kisayansi kwa maana ya yanaweza kuwa wanatumia aidha dawa za asili...
Back
Top Bottom