dua

  1. JamiiForums Tanzania Yanga ihusishe Dini mbalimbali kwenye Dua yao ya Ijumaa

    Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu. Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali...
  2. JamiiForums Tanzania Dua zenu wakuu mwenzenu nishalogwa huku sio bure wallah ila Tanga duh!

    Habari ndugu zangu Kama mnavo ona
  3. JamiiForums Tanzania Dua yenye nuru, itikia amiin

    👉ALLAH Akujalie Kheri Katika Dunia na Akhera 👉ALLAH Akuifadhi Katika Kila Hatua 👉 ALLAH Akusitiri Katika Aibu Zako 👉 ALLÀH Akupe Wepesi Katika Maisha Ya Dunia 👉 ALLAH Akurudhuku Moyo wa Ukarimu 👉ALLAH Akupe Marafiki wenye Kheri na Wewe 👉 ALLAH Akuepushe na Shari na Kila Aina ya Shari 👉 ALLAH...
  4. JamiiForums Tanzania Dua ya Kura Tatu Mnyanyani Dua ya Mwisho Iliyoleta Uhuru wa Tanganyika

    Jumla ya dua ambazo TANU ilisoma kuomba msaada wa Allah ni tano. Kila dua ilikuwa na sababu na chanzo chake. Dua nne zilikuwa kuwaombea watu makhsusi wasiangamizwe na njama na hila za Waingereza: Dua ya Ali Rashid Meli, Dua ya Abdulwahid Kleist Sykes na Dua mbili za kumuombea Julius Kambarage...
  5. JamiiForums Tanzania Dua ya Kura Tatu Mnyanjani Tanga 1958

    Historia ya uhuru wa Tanganyika imetawaliwa na dua zilizokuwa zikifanywa kuomba salama na ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mtu wa kwanza kulieleza hili alikuwa Mwalimu Nyerere Ukumbi wa Diamond alipokuwa anaagana na Wazee wa Dar es Salaam mwaka wa 1985. Katika utafiti wangu nimekuta kuwa dua...
  6. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu

    Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili. 📅 7 Aprili, 2024. 📍 Ikulu Zanzibar.
  7. JamiiForums Tanzania Dua ya kuku haimpati mwewe ila naombea mabaya Mamelodi

    Eeh Mungu ikikupendeza, Mamelodi awe wamwisho, awe namba nne. Afungwe mechi zote. Amen
  8. JamiiForums Tanzania Wana Ludewa Washiriki Dua ya Kumuombea Rais Samia, DC Aandaa Futari ya Pamoja

    WANA LUDEWA WASHIRIKI DUA YA KUMUOMBEA RAIS SAMIA,DC AANDAA FUTARI YA PAMOJA Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva,ameungana na wananchi wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe katika Dua Maalumu ya Kumuombea Kheri na Baraka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Kavamia Futari kaambiwa asome Dua

  10. JamiiForums Tanzania Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

    Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi. Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi. Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁
  11. JamiiForums Tanzania Yanga elekezeni dua zenu kwenye mechi za Medeama

    Wengi mmejikuta mnaangalia hatma ya Yanga kwa kuangalia tu mechi mbili za Yanga dhidi ya CRB na ile ya mwisho dhidi ya Al Ahly. Hakuna ambaye amewaza ni jinsi gani Medeama anaweza kuwa msaada mkubwa kwa Yanga. Ukweli ni kuwa Yanga ni ngumu sana kuvuka kwa kucheza mechi zake pekee maana kama...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mufti afungua rasmi dua kubwa ya kimataifa

    Hatimaye siku adhimu na tukio muhimu, nyeti na lenye kupendeza kwa Allah na mtume wake, Muda wa kuanza dua kubwa umewadia. Samaha Mufti wa Tanzania, Mujaddidul Asri, amefungua Dua Kubwa ya Kimataifa leo Alhamisi Alfajiri kwenye msikiti mkuu Bakwata makao makuu, msikiti wa Mfalme Mohammed...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ukijamba kwa bahati mbaya au kwa kulazimika uwapo Kanisani au Msikitini Dua yako inapokelewa na aliyeketi Juu Mbinguni?

    Najiandaa kusoma Comments zenu.
  14. JamiiForums Tanzania Scars haaamini kwenye uwepo wa Mungu lakini anaomba dua na kufanya maombi

    Huyu jamaa ni mtu wa dua na maombi lakini anasema hakuna Mungu. Ninaamini alipitia changamoto za kimaisha hadi akamchukia Mungu lakini deep down anafahamu uwepo wake. Scars
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wasiamrishe waumini kuombea Wanasiasa. Ifahamike wanasiasa hawahitaji Dua

    Wakati shujaa wa Tanganyika, Chuma Cha Mjerumani akiwa Hoi Bin Taaban[POMBE] 2015-21 watanganyika waliohoji walitishiwa kufunguliwa kesi, kipindi kilikuwa zama za giza, watu waliogpa hata watsup calls. Walihoji na wengine walisema pace maker imekata moto, walijitokeza akina Waziri namba moja na...
  16. JamiiForums Tanzania Mufti Watanzania Dkt. Abubakari Zuberi Ally amfanyia dua maalum Paul Makonda

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa dhati kabisa tuwakumbuke wafuatao kwenye sala na dua zetu

    Tuwaombee; 1. Watu wote wanaopambana na magonjwa mbalimbali au majeraha ya ajali. Mungu awape nafuu na warudi kwenye hali zao kawaida. 2. Watu wote wanaohudumia wagonjwa. Wasikate tamaa na waweze kumudu gharama za matibabu ya wapendwa wao. 3. Watu wote wanaopambana na madeni. Mungu awatie...
  18. JamiiForums Tanzania Niipi nafasi ya Dua na maombezi katika uponyaji wa maradhi ?

    Wanajamvi kuna hili swala la watu wenye changamoto mbalimbali za kiafya namaanisha waogonjwa kupelekwa kusomewa Dua au kwenye maombi ili kutatua changamoto zao za kiafya. Swali ninalojiuliza moja kama kweli Dua na Maombezi vinaponya Maradhi kwanini wasoma Dua na waombeaji hawendi kwenye vituo...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

    Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM. Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe...
  20. JamiiForums Tanzania Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

    Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua. Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…