dp world

DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.

View More On Wikipedia.org
  1. Chief Wingia

    Ipo siku tutakuja kujutia mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP World

    Habari zenu wakuu, niende direct kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu. Bila kupepesa macho, hili suala la mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP World lilijawa mihemko ya kimaslahi binafsi na Kicmm sana. Yaani karibia CCM wote wanakubali mkataba bila kujali maslahi mapana ya taifa...
  2. N

    Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika suala DP World na Bandari zetu

    Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika issue DP world na Bandari zetu. Ukweli ni mchungu, huo ndio ukweli, hakuna lolote litakalobadilika. bunge limesharidhia, Mkuu wa Nchi ameshaweka sahihi yake, hivyo chochote kinachoendelea ni janja janja...
  3. H

    Mkataba wa Bandari umeonesha rangi zao

    Mkataba wa Bandari umeonesha rangi zao Na Ahmed Rajab KUMEKUWA na mijadala ya kushangaza nchini Tanzania tangu ibainike kwamba serikali yake inawasilisha bungeni Azimio la kujadili mkataba unaotarajiwa kutiwa saini baina yake na kampuni ya kimataifa ya DP World inayomilikiwa na serikali ya...
  4. JanguKamaJangu

    Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

    Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World. Soma hapa hotuba nzima ======= Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe...
  5. Dr Restart

    Kuhusu Mkataba na DP World: Serikali sasa ikutane na viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Wasalaam Wakuu. Baada ya Bunge kuunga Mkono azimio la Serikali kuingia Mkataba na Kampuni ya DP World, mengi yamekuwa yakisemwa. Leo tar 12 Juni 2023, Waziri Prof Mbarawa alikutana na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu juu ya mkataba wenyewe. Na kuondoa sintofahamu na hofu...
  6. K

    Serikali yataja vipengele 8 muhimu mkataba wa Bandari

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na...
  7. T

    Naishauri serikali iwape tena DP world umiliki wa SGR yetu milele

    Kwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu. Tukiwapa reli yetu DP World tutapata mafanikio zaidi ya hayo tunayotarajia kuyapata kwa kuwapa bandari...
  8. benzemah

    Zitto Kabwe: Iundwe Kampuni ya Uendeshaji wa Bandari, TPA na DP World ziwe na Umiliki Sawa (50/50), Azimio sio Mkataba wa Uendeshaji

    Ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe "Azimio sio Mkataba wa uendeshaji (concession agreement) wala sio Mkataba wa Uwekezaji (HGA). Azimio la Bunge ni ruhusa tu ya kuanza kujadiliana hiyo mikataba mingine. Azimio hili litakufa kibudu pasipokuwa...
  9. Roving Journalist

    Uchambuzi wa mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi Bandari Tanzania na DP WORLD

    Utangulizi Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa...
  10. T

    Kwa hili la DP world! Niko tayari kuingia kwenye ulingo wa siasa za upinzani!

    Sasa, ni rasimi na niko tayari kutumikia siasa za upinzani kwa nguvu zangu zote na kwa mali zangu zote, huku nikiwaelimisha watanzania jinsi wanavyouzwa na kurudishwa utumwani kwa tamaa za viongozi walafi na wasiotosheka na kile walichonacho kutoka CCM. Chama kinachoitwa ccm ali maarufu kama...
  11. R

    Nilichojifunza baada ya kupitia mikataba ya makubaliano mbalimbali ya DP World

    Haya nimejifunza baada ya kupitia vyombo vya habari na mitandao mbali mbali kuhusu mikataba ya makubaliano ambayo Dp World waliingia sehemu mbali mbali; 1. DP World ni kampuni kubwa duniani hasa kwenye masuala ya uendeshaji Bandari. 2. Makubaliano maeneo ya uwekezaji na matokeo ya uwekezaji ...
  12. Baba jayaron

    Sakata la DP WORLD na bandari la mvua nguo aliyekua kamanda Chadema

    Wasalaam watanganyika, Leo pita pita zangu u twitani nikakutana na trend ya huyu aliyekua kamanda (ME) chadema akasaliti chama akajiunga na ccm, Tangu aingie ccm amekua akipamgiwa/akiamua kushiriki vikao na shuhuli za kina mama ccm zaidi ya shughuli nyingine. Hatukuelewa ni kwann ana attend...
  13. sky soldier

    Imeshindikana vipi kuwapa tenda DP world au shirika lingine kuwa train kwa vitendo watanzania kusimamia bandari kwa miaka miwili kisha wao kuondoka?

    Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hiyo knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu? Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao. Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga...
  14. A

    DOKEZO Viongozi wa Dini kuunguruma kesho kuhusu suala la Bandari na DP World

    Ikiwa ni siku moja baada ya Bunge la Tanzania kupitisha Azimio la Serikali kuingia Makubaliano na Kampuni ya DP World kuendesha bandari za Tanzania, inadaiwa kuwa Viongozi wa Dini wamejiandaa kutoa tamko zito kuhusu suala hilo hapo kesho. Je, tutarajie nini kutoka kwa Viongozi hao? ====...
  15. T

    Haya ndio niliyogundua kuhusu makubaliano Kati ya Tanzania na DP World

    Katika suala hili la makubaliano ya uendeshaji ya bandari Kati ya Serikali ya Tanzania, nimegundua kuna makundi kinzani yanayokinzana juu ya Jambo hilo. Na haya ndio makundi: Kundi la wasiojua kabisa: Kundi hili ni la bendera fuata upepo, lenyewe lipo pande zote mbili linaokoteza ya mtaani...
  16. D

    Hizi hapa dalili chache kwamba DP world na mengine si madili mazuri

    Hizi hapa Dalili za kwamba DP world na mengine ni madili haramu 1. Hakuna ufafanuzi wowote unaojibu hoja kwanini Magufuli aliikataa DP world baada ya kifo chake sasa inapokelewa 2. Enzi za Magufuli aliwahi kusema, wazee wastaafu waache viherehere vya kuishauri ikulu je waliacha? 3. DP world...
  17. Pascal Mayalla

    Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" kuhusu jambo lolote lenye maslahi makubwa kwa taifa letu liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii. Mada ya leo ni kuhusu makubaliano ya kiserikali, IGA ambapo Bunge letu tukufu, limeridhia...
  18. Mpwayungu Village

    Kenya, Pakistan, Peru, Djibouti, Ethiopia, USA, Somaliland waliwafukuza DP World kama mbwa

    Hizo nchi ziliwakataa hawa waarabu wa Dubai katakata na moja ya sababu kuu ni ulinzi wa nchi Yao kuwa hatarini na kuzuia ugaidi Mikataba ya DP World niyaukandamizaji ila sisi tumewachukua, ivi hii mikataba ingekuwa ni mizuri Why hizi nchi walikataa kuingia nao mikataba wengine walivunja kabisa...
  19. Stephano Mgendanyi

    Kamati yashauri Mikataba DP World itakayosainiwa Itaje Muda wa Utekelezaji

    Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeshauri mikataba ya utekelezaji itakayosainiwa itaje muda maalumu wa utekelezaji wa miradi ambao utazingatia maslahi mapana ya nchi ya Tanzania. Ushauri huo umetolewa leo Jumamosi Juni 10, 2023 bungeni Dodoma na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Selemani Kakoso...
  20. Kipenzi Changu

    Kwanini DP World ililetwa badala ya zabuni kutangazwa?

    Moja kwa moja kwenye hoja Mchakato wa kumleta DP World amezingatia sheria gani? Kwa Sheria ya Manunuzi imeweka takwa la mchakato wa manunuzi kuwa na ushindani wa wazi. Vipo vipengere vinavyoruhusu kufanya bila ushindani lakini lazima kuwe na sababu za msingi kama dharura na sababu za...
Back
Top Bottom