dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola viendelea kuwachukulia hatua wanaovaa mavazi ya kijeshi

    Wewe sio Askari kwanini uvae mavazi yasiyokuhusu? Mbona hamvai sare za wafungwa, madaktari, mapadre, nk? Kwanini ya jeshi wakati we si Askari? Kila mtu huvaa vazi kulingana na aina ya kazi yake. Wengine huyatumia vibaya kwenye uhalifu mavazi hayo. Pitia huu ushuhuda binafsi; Mimi anko wangu...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Dola sio hela yetu kwani hatuizalishi wala Hatuprint. Tuna akiba ya Dola Bilioni 5.2

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amezungumzia kuhusu Mjadala wa Dola kuadimika unaoendelea Nchi. Amesema watu inabidi watambue kwamba Dola sio hela yetu bali tunaipata pale tunapopata Mkopo, Msaada, tunapouza bidhaa ama Huduma nje ya Nchi ndo tunapata Dola. Sera za kifedha za Marekani...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina Alia na Uhaba wa Dola

    Serikali ilete majibu ya pesa Tilioni 280 zimeibwa na nani? My Take Tukiwa na wabunge wadadisi kama Mpina Nchi itanyooka tuu. --- MBUNGE LUHAGA MPINA ALIA NA UHABA WA DOLA "Sekta ya fedha hapa nchini na kwa ukanda wa SADC tunategemea dola, dola hakuna na zimeadimika. Wafanyabiashara hawapati...
  4. JamiiForums Tanzania Balozi Kairuki asema biashara ya China na Tanzania imepanda thamani kutoka Dola za Kimarekani Milioni 200 hadi 600

    Balozi anayemaliza muda wake Nchini China, Mbelwa Kairuki ambaye kwa sasa amepangiwa Kituo kipya cha kazi Nchini Uingereza, amefanya Mahojiano Maalum na Kituo cha TV Mjini Beijing yenye lengo la kupata ufafanuzi wa yale aliyofanya ndani ya miaka sita ya Ubalozi Nchini humo. Balozi Kairuki...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu ndio Balozi Dola Soul

    Umuofia… Miaka ya mwanzoni mwa 2000 moja ya wasanii waliotoa hit song ni msanii Balozi Dola Soul. Wimbo wake uliompatia umaarufu na mpaka leo unatamba ni ule “Balozi bado nipo” Ni wimbo ambao hata upigwe leo, lazma utatikisa kichwa kuusikiliza kwa namana kuanzia beat mpaka mashairi...
  6. JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dola kutaongeza Deni la Taifa kwa karibu Tsh. Trilioni 2

    Tanzania huenda ikatumia gharama kubwa kugharimia deni la Taifa, ikiwa ni miongoni mwa athari zinazosababishwa na kuongezeka kwa thamani ya Dola ya Marekani dhidi ya Shilingi. Hali hiyo ina athari hasi katika uchumi wa nchi kwa sababu hivi sasa inahitajika shilingi nyingi zaidi ili kupata Dola...
  7. JamiiForums Tanzania Dangote watangaza ongezeko la bei Ya cement uhaba wa dola watajwa.

    Kampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement ilipanda julai mosi kwa ongezeko la shilingi 2000 baada ya serikali kuongeza kodi katika bajeti ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu: Akiba ya fedha za kigeni inatosha kwa miezi minne

    Jumanne, Agosti 22, 2023 Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27. Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Akiba ya dola za Kimarekani yakauka Benki Kuu ya Tanzania

    Hili sakata la dola linanivuruga sana, ukifuatia kulikuwa na taarifa mtandaoni kuwa Tanzania kuna uhaba wa dola Za kimarekani. Sasa naona tena kuna taarifa inazagaa mtandaoni kuwa BoT akiba hiyo imekauka kabisa, na si dola pekee sasa hadi shilingi ya Tanzania nayo imekauka. Kuna ukweli hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka Thamani dhidi ya Dola

    Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka thamani dhidi ya Dola Watanzania sasa wanalazimika kuingia zaidi mifukoni mwao ili kulipia zaidi katika uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi huku kukiwa na hali ya kutia wasiwasi juu ya kuendelea kuporomoka kwa shilingi...
  11. JamiiForums Tanzania Idadi ya waanzilishi wazaliwa wa kigeni ambao walianzisha makampuni ya Marekani yenye thamani ya dola bilioni

    🇮🇳 India - 66 🇮🇱 Israel - 54 🇬🇧 United Kingdon - 27 🇨🇦 Canada - 22 🇨🇳 China - 21 🇫🇷 France - 18 🇩🇪 Germany - 15 🇷🇺 Russia - 11 🇺🇦 Ukraine - 10 🇮🇷 Iran - 8 🇦🇺 Australia - 7 🇮🇹 Italy - 6 🇳🇬 Nigeria - 6 🇵🇱 Poland - 6 🇷🇴 Romania - 6 🇦🇷 Argentina - 5 🇧🇷 Brazil - 5 🇳🇿 New Zealand - 5 🇵🇰 Pakistan - 5...
  12. JamiiForums Tanzania Nimesoma nimerudia kusoma na kusoma ila nimeshindwa kuielewa hii habari ya US Dola na mafuta

    Dola 747 milioni zahitajika ununuzi wa mafuta Dar es Salaam. Mjadala wa kunusuru mkwamo wa waagizaji wa mafuta huenda ukafikia ukomo endapo Serikali itawezesha upatikanaji wa Dola 747 milioni (Sh1.9 trilioni) kwa ajili ya kufuta malipo ya bidhaa za petroli zilizoingizwa nchini kati ya Machi na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kukamata na kuteka watu kuna namna ina faida kubwa sana kwa vyombo vya dola; watu wanaojitajirisha kwa mbinu hizi ni wengi sana. Matajiri jiandaeni

    Moja ya faida kubwa ya kamata kamata ni kutia watu hofu. Kamata kamata siku zote uishia kwa wenye fedha siyo maskini pekee. Hakuna mtu ataaingika na kiumbe asiyetoa chochote lazima uwepo mchanganyiko wa wenye fedha na wasio na fedha. Dola ikianza kukamata kamata watu tambua wafanyabishara wapo...
  14. JamiiForums Tanzania Wakatoliki Wenzangu wa Tanzania tuchangishane upesi tupate Dola 35,000 tukamkomboe Frateri aliyetekwa nchini Nigeria

    Kwa mujibu wa Matangazo ya BBC Dira ya Dunia ya Leo Jioni walionteka Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) Melchiory Dominic (Raia) wa Tanzania na Mwenzake Raia wa Burkina Faso wanahitaji Kikombozi (Ransom ) cha Dola za Kimarekani 70,000 kwa Wote Wawili (yaani Dola 35,000) kwa kila Mmoja ili wawaachie...
  15. JamiiForums Tanzania Uhaba wa Dola nchini: Badala ya kutupiana lawama tutafute mwarobaini. Tuishauri serikali

    Umofia kwenu. Mengi yamesemwa kuhusiana na hili sakata la upungufu wa dola nchini. Kimsingi Dola ya Marekani ndiyo inatumika kama fedha ya kununua bidhaa za kimataifa. Mojawapo ya bidhaa hizo ni pamoja na mafuta ghafi ambayo yanashikilia sehemu muhimu ya mfumuko wa bei nchini. Nasema yapo...
  16. JamiiForums Tanzania Uhaba wa Mafuta na Dola, nashauri Rais atumie fursa ya Mkutano wa Afrika na Urusi

    Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini. Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
  17. JamiiForums Tanzania U.S Federal Reserve wakiadopt expansion monetary policy uhaba wa dola uliopo dunian utaondoka

    Baada ya corona kuisha kulikua na inflation kubwa dunian marekani kupitia federal reserver waliamua ku-implement contraction monetary policy kwa kuongeza interest rate ili kupunguza fedha kwenye mzunguko na hatimaye kupunguza inflation Madhara ya contraction monetary policy Kuongeza riba ya...
  18. JamiiForums Tanzania Waagiza mafuta wasema bila Dola watashindwa kuagiza mafuta

    Katika kuendelea kuhakikisha bidhaa ya mafuta ya petroli inapatikana kwa uhakika maeneo yote nchini, Chama cha Waagizaji na Wasambazaji Mafuta Tanzania (TAOMAC) wamekutana na Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba katika ofisi ndogo za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam tarehe 4 Agosti...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba yuko wapi anguko la Dola?

    Daktari wa Uchumi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alijitapa bungeni kuwa Dola zipo za kutosha na hakuna tatizo la Dola na kwamba yeye ni Mbobevu wa Uchumi watanzania wasiwe na mashaka naye wanaweza kujadili mambo ya uganga wa kienyeji tu. Leo Dola zimepotea Waziri yuko Kimya.
  20. JamiiForums Tanzania Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…