dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT) yadai kuna watu wameficha dola

    BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina uhaba wa dola, bali baadhi ya watu wamezihifadhi wakitarajia bei itapanda, ikisisitiza hakutakuwa na ongezeko hilo kutokana na hatua za ndani na nje zinazochukuliwa katika kuimarisha upatikanaji wake. Imezitaja hatua hizo zinajumuisha uamuzi wa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Brothers waibuka washindi shindano la America's Got Talent Fantasy League, wanyakua Tsh milioni 637

    Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000. Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo. ==========For English Audience...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali 'yazilegezea' Bureau De Change kupambana na uhaba wa Dola

    Serikali kupitia BoT imelegeza taratibu za maduka ya kubadilishia fedha ili kupambana na uhaba wa fedha za kigeni. Mkurugenzi wa utafiti wa Uchumi na sera wa BoT, Lusajo Mwankemwa amesema Taifa lina akiba ya kutosha ya dola lakini sehemu ya fedha hizo hazipo kwenye sekta rasmi hivyo kuwa ngumu...
  4. JamiiForums Tanzania Ukata wa dola Tanzania, tufanye haya kuepuka

    ✅Nadhani tupunguze matumizi yasio ya lazima, kuna miradi ya miundombinu isioendana na uhalisia wa uchumi wetu na miradi inayofilisi nchi sababu malipo mengi yanafanyika Kwa dola huku vyanzo vikibaki vile vile. ✅Tuepuke kuchukua mikopo mikubwa kufanya miradi isio na tija.Mikopo mikubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

    Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

    Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola. Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi. Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku. Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

    $60 billion Ukraine $14 billion for Israel $9 billion Gaza + West bank $4.83 billion Taiwan --- Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific. Meanwhile Biden is putting veterans behind...
  8. JamiiForums Tanzania Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa dola Bilioni 9 kwa Israel na Ukraine. Wengine watishwa wasiisaidie Hamas hata senti

    Baada ya kikao cha usiku kucha baraza la seneti limekubali na kupitisha msaada mkubwa wa dola karibu bilioni 100 kwa nchi mbili marafiki ambazo ziko vitani. Sehemu ya msaada huo itakwenda Israel ambayo imeshaua karibu wapalestina 28000 na nyengine kwa Ukraine inayopigana na Urusi. ===========...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ndiyo imeshtuka, ukosefu wa dola umesababishwa na Serikali yenyewe kwa kuwabeba wachina miradi mingi

    Ukosefu wa dola sasa unaathiri biashara nyingi zinazotegemea kuagiza vipuri na malighafi zinazohitajika kuagizwa nje. Kwa miaka mingi viongozi wa serikali wamekuwa wakishinda kila kiongozi kumpata "Mchina wake" kwenye miradi mingi nchini. Wachina wamekuwa wakipewa miradi hata inayoweza...
  10. JamiiForums Tanzania Kupoteza Kesi ya Madini ya Nikeli Kunagharimu Taifa dola milioni moja kila mwezi

    Mahakama ya Benki ya Dunia imetupilia mbali sababu nyingi za Tanzania za kubatilisha tuzo ya dola milioni 119 (zaidi ya TZS 309 bilioni) kwa mchimba madini wa nikeli kutoka Australia. lakini uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Eliezer Feleshi kuendelea kutaka kufutwa kwa tuzo hiyo katika...
  11. JamiiForums Tanzania eBay kulipa Dola Milioni 59 kwa mauzo ya zana za kutengeneza dawa kinyume cha Sheria

    eBay imekubali kulipa $59m (£46.3m) kutokana na madai kuwa iliuza vifaa vinavyoweza kutengeneza dawa za kulevya. Idara ya sheria ya Marekani ilikuwa imedai kuwa maelfu ya mashine za kutengenezea vidonge na mashine za kufungia ziliuzwa kwenye tovuti, ikiwa ni pamoja na kwa watu ambao baadaye...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

    Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala. Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema isiruhusiwe kutikisa Dola na nchi kwa ujumla

    Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake. Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tunategemea CCM waje na Katibu Mkuu mwenye nguvu ya ushawishi au waendelee kuwekeza kwenye tume na dola?

    Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina la katibu mkuu linaweza likawa na ushawishi kuliko jina la makamu mwenyekiti bara Ndugu Kinana...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Dola (USD) ni fursa iliyojificha

    Uhaba wa Dola nchini utaibua mabilionea wapya kupitia "black market" bado Kuna kijana analalamika ukosefu wa ajira?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mpango wa uwongo wa Marekani wenye thamani ya dola milioni 300 wafichuliwa

    Kwa miaka mitano mfululizo, kila mwaka dola za Marekani milioni 300 zimekuwa zikitengwa, hivi karibuni msomi wa Ulaya Bw. Jan Oberg alifichua katika mahojiano kuwa Marekani imetoa mswada wa kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari ili watoe ripoti mbaya kuhusu China. Inadaiwa kwamba kile...
  17. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Mahiri Katika Maeneo ya Kimkakati ya TAWA Kuiingizia Serikali Zaidi ya Dola za Marekani Milioni 314

    UWEKEZAJI MAHIRI KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI YA TAWA KUIINGIZIA SERIKALI ZAIDI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 314 Na Beatus Maganja, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Serikali inatarajia kupata mapato yanayokadiriwa kufikia dola za Kimarekani milioni...
  18. JamiiForums Tanzania Malipo kwa Dola badala ya Shilingi yanaongezeka Mitaani, Serikali iko kimya

    Niende moja kwa moja kwenye wazo langu. Licha ya kwamba biashara ni huria lakini naamini Nchi ina taratibu zake hasa kwenye masuala ya Kifedha. Na imeshatokea mara kadhaa Serikali kuagiza malipo ya ndani ya Nchi isipokuwa kwa Watalii yafanyike kwa Shilingi ya Tanzania lakini hali ni tofauti...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe kama miaka 30 upo madarakani hatujafanikiwa, hiyo dola tutaikamatia wapi ili tupimwe?

  20. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe kama miaka 30 upo madarakani hatujafanikiwa, hiyo dola tutaikamatia wapi ili tupimwe?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…