The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ametahadharisha kuwa bila kusimamia utu, Chama cha Mapinduzi (CCM) inaweza kuondoka madarakani hivyo akaonya wanachama ndani ya chama hicho wasione aibu kusimamia utu.
Nape aliyewahi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...
Chama cha Mapinduzi kinaadhimisha miaka 49 tangu kilipoanzishwa Februari 5, 1977 baada ya kuunganishwa vyama vya TANU iliyokuwa Tanganyika na ASP iliyokuwa Zanzibar. Kwa hiyo CCM ni zilezile TANU na ASP zilizopambana wakati wa ukoloni.
Ni miongoni mwa vyama vikongwe vya ukombozi barani Afrika...
Katika uchumi wa dunia akiba ya dhahabu ya nchi (National Gold Reserves) inatazamwa kama ngao ya mwisho ya uhuru wa kiuchumi. Taarifa kuwa nchi yangu Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu ili kufadhili miradi ya miundombinu imenistua sana.
Ni jambo linalopaswa kutafakariwa...
Mbunge wa Jimbo la Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema ni vyema mihimili ya serikali iwe huru ili iweze kufanya kazi zake kwa usahihi bila kuingiliwa.
Soma pia: Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua...
12 January 2026
Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong
Januari 12, 2026
Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeshinda rufaa iliyowasilishwa na Benki ya Standard Chartered Hong Kong katika Mahakama ya...
Swala hili lina jibu la kihistoria lenye vipindi viwili, si mtu mmoja tu. Nitakuwa wazi na sahihi.
Jibu fupi
Hakuna mtu mmoja aliyekuaja “kuangusha dola ya Kiislamu” yote.
Dola ya Kiislamu ilianguka kwa awamu, na pigo kubwa la kwanza lilitoka kwa Wamongolia, kisha mwisho rasmi wa Ukhalifa...
Wahenga walipata kusema penye udhia tia shekeli na walipata pia kusema.. Kikulacho ki nguoni mwako, halafu wakasema pia hakuna mkate mgumu mbele ya chai..!
Rais wa Venezuela Nicholas Maduro kavamiwa na kikosi maalum cha wapiganaji kutoka Marekani na ndani ya masaa mawili hivi wakamteka yeye tu...
Marekani imekiuaka sheria za kimataifa.
Mkataba wa Montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa.
Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
Kampuni ya Raddy Energy Solution Limited ya Tanzania imeingia makubaliano ya kununua mitambo minne ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia wa jumla ya megawati 177 kutoka kampuni ya Siemens Energy ya Uswidi (Sweden) kwa thamani ya dola za Marekani milioni 320.
Ununuzi wa mitambo hiyo...
Fikiria Sheria za uchaguzi ziwe Bora kuliko za sasa, wasimamizi wa uchaguzi wawe huru na wawajibike Kwa makosa ya kiuchaguzi watakayoyafanya.
Wazia jeshi la polisi lisizuie au kuingilia shughuli za kisiasa za vyama pinzani kwa CCM wakati wa uchaguzi.
Itokee kuwe na tume huru ya uchaguzi...
HOTUBA YA MWISHO YA MWANAHARAKATI ALIYETEKWA MBELE YA WATEKAJI; DUNIA HUSAHAU HARAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kabla sijasimulia haya yote mimi Mtibeli nikakumbuka wakati Fulani nilipokuwa Msanii wa muziki. Najua utajiuliza ni lini TaikonMaster aliwahi kuwa mwanamuziki. Lakini...
TAARIFA KWA UMMA
Hali ya Usalama jijini Dar es Salaam ni nzuri na wananchi wanaendelea na kazi halali mbalimbali. Hata hivyo tarehe 07 Desemba, 2025 usiku eneo la Tegeta Kinondoni alikamatwa Geofrey Mwambe kwa tuhuma za jinai ambazo zinachunguzwa. Hatua zaidi za kisheria zinakamilishwa...
Nilikuwa najiuliza tu huu ufisadi wa kununua Rolls Royce na Mercedes Benz G Wagon kwa vigogo wetu nchini pamoja na hizi Rasimali za nchi tulizonacho zinavyotumika ndiyo sivyo.
Kwanini ulinzi wa kuilinda Dola, usitumike kulinda Rasilimali za Nchi na kuzuia ufisadi na mafisadi. Nafikiri Kuna haja...
Rais Samia alisema akiwa anawahutubia wazee wa Dar. Kuwa tar 29 oktoba kuna watu walipanga kuangusha dola. Ndio maana nguvu kubwa ikatumika kuua watu wasio na hatia.
Nani anataka kuchukua kiti cha urais kupitia Gen z?
Je , haya yanayonukia sio mapinduzi kama ya Cuba ili kuondo mafisadi...
Amani ya Bwana iwe juu yenu watanzania.
Maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu (MO29) yameweka hadharani mambo yanayofanywa na serikali ya CCM.
1.Utekaji
2.Mauaji
3.Uchakachuaji wa uchaguzi.
'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana na hakuna tunachowadai 'Gen Z'.
Salaam!
Ilitabiriwa tangu 2020 kwamba uchaguzi wa mwisho secular ni ule wa Lowassa vs Magu.
Baada y hapo, kuanzia 2021 Hadi 2030 ni mkono wa chuma tu na kukimbizana.
Move background ni kuanzisha Dola ya Kushi. Kushi Empire, hii yaja na mabadiliko ya viongozi Afrika nzima.
Kiongozi wa mpango...
Hamjambo!
1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi.
2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles Darwin au Bwana Lameck. Kwa Wahenga wanasema Mwenye nguvu mpishe.
3. Nguvu ndogo haiwezi kuondoa nguvu...
Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa.
Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
Sorry to say this! Lakini kina vitu vinatia kinyaa kuvisikiliza
Inakera sana kuona mtu mzima kwa kutumia rasilimali za taifa na kodi za wananchi anawakusanya watu wazima na vyombo vya habari ili kuongea uongo
Inawezekana vipi kijana aliyekuwa kapigika kimaisha 'anayesongesha' mitandaoni ghafla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.