dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ado: Tanzania kuna mfumo ambapo dola ina mkono mrefu kuamua mwelekeo wa kisiasa

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu akizungumza na Wasafi TV amesema demokrasia yetu nchini, mgombea pekee hatoshi kujipanga kushinda ubunge, bali dola ndio inaamua nani atangazwe mshindi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Propaganda: Baada ya kushindwa kudanganya kifo cha Netanyahu, Iran wamekuja na nyingine ya Marekani kuwalipa Dola Bilioni 6.

    Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani. Dola Bilioni 6 zilikuwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana na wafungwa, ambapo Marekani ilitoa ruhusa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Trilioni 1.422 kwa ajili ya Tanzania ili kuimarisha ajira na kusaidia kaya zilizo hatarini

    Benki ya Dunia imejitolea kutoa kiasi cha dola milioni 550 kusaidia jitihada za upatikanaji wa ajira na usaidizi wa kijamii nchini Tanzania. Benki ya Dunia imemidhinisha ufadhili mpya wa dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania, ukilenga kutengeneza fursa za ajira na kusaidia kaya zenye uhitaji...
  5. sammosses

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa mali ya umma moja ya nguzo muhimu kuimarisha CCM - dola katika ukandamizaji haki nchini

    TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote. Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili. Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola

    Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine wamempa nguvu sana mwenyekiti kiasi kwamba sasa wanawekwa machawa na ndugu watupu na kwasababu...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kanye West atakiwa kumlipa mkandarasi wake wa zamani Tsh milioni 365.4 kwa kesi ya jumba la Malibu

    Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati wa ukarabati wa jumba lake la kifahari huko Malibu. Fundi huyo, Tony Saxon, alimshutumu rapa huyo...
  8. jooohs

    JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kuwa waaminifu. Angalia jinsi Dola 100 ilivyotaka kunitoa roho

    Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo. Kuna bro ni rafiki yangu lakini kwa sasa ni kama ndugu yangu tupo kwenye urafiki zaidi ya miaka kumi tulisha...
  9. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Dola inapoteza nguvu na tutashindwa simamia vikwazo ndani ya miaka mitano-Rubio

    Waziri wa Marekani Mark Rubio ameonya dola ya marekani kupoteza nguvu baada ya nchi nyingi kutafuta mbadala wa dola Kuna taarifa kadhaa za nchi husika kufanya biashara kwa sarafu zao badala ya dola ya Marekani Rubio anaendelea kuonya,baada ya miaka mitano marekani itashindwa kusimamia vikwazo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Umeme wa 400kV toka Uganda -Tanzania, mchakato umeiva na umeanza, kugharibu dola milioni 250 za kimarekani

    09 February 2026 UETCL mradi wa dola milioni 250 kutoka Benki ya Dunia, kupeleka umeme Tanzania waanza Kampuni ya Usambazaji wa Umeme ya Uganda Limited UETCL imeanza mchakato wa ununuzi wa laini ya umeme yenye volteji nyingi ya shilingi bilioni 937.5 inayounganisha Uganda na Tanzania...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CCM hawana Plan ya kueleweka kuendelea kushika Dola kwa ridhaa. Wana Missing systems za kutosha

    Hamjambo wote! 1. Kwenye mambo ya Intelligence(ujasusi, ushushushu, unjangu) kuna kitu inaitwa Missing System/s. 2. Kitu hii ukikosa hata MTU binafsi mambo yako yanakuwa hatarini, usalama wako unakuwa mashakani. 3. Missing System ni uwepo wa ombwe la kimkakati, mfumo muhimu ambao unapaswa...
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania kukusanya Dhahabu za Dola Bilioni 2, wajiona wamefanikiwa sana; Russia wamekusanya Dola Bilioni 402 lakini hawajauza – Tafakari

    Russian gold reserves break record The country’s bullion holdings were valued at $402.7 billion as of early February The value of Russia’s gold reserves has reached an all-time high, exceeding the $400 billion mark, according to statistics released by the country’s central bank on Friday...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU, CCM itang'oka!

    Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ametahadharisha kuwa bila kusimamia utu, Chama cha Mapinduzi (CCM) inaweza kuondoka madarakani hivyo akaonya wanachama ndani ya chama hicho wasione aibu kusimamia utu. Nape aliyewahi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Miaka 49 ya CCM: Imebaki kutegemea Dola kubaki madarakani

    Chama cha Mapinduzi kinaadhimisha miaka 49 tangu kilipoanzishwa Februari 5, 1977 baada ya kuunganishwa vyama vya TANU iliyokuwa Tanganyika na ASP iliyokuwa Zanzibar. Kwa hiyo CCM ni zilezile TANU na ASP zilizopambana wakati wa ukoloni. Ni miongoni mwa vyama vikongwe vya ukombozi barani Afrika...
  15. Slobodan Mirosovich

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa Akiba ya Dhahabu ni dalili mbaya ya kushindwa kwa dola

    Katika uchumi wa dunia akiba ya dhahabu ya nchi (National Gold Reserves) inatazamwa kama ngao ya mwisho ya uhuru wa kiuchumi. Taarifa kuwa nchi yangu Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu ili kufadhili miradi ya miundombinu imenistua sana. Ni jambo linalopaswa kutafakariwa...
  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kangi: Bunge, Mahakama, na vyombo vya Dola viwe huru

    Mbunge wa Jimbo la Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema ni vyema mihimili ya serikali iwe huru ili iweze kufanya kazi zake kwa usahihi bila kuingiliwa. Soma pia: Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong

    12 January 2026 Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong Januari 12, 2026 Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeshinda rufaa iliyowasilishwa na Benki ya Standard Chartered Hong Kong katika Mahakama ya...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Chanzo, Sababu na Athari za kuanguka kwa Dola la Kiislamu

    Swala hili lina jibu la kihistoria lenye vipindi viwili, si mtu mmoja tu. Nitakuwa wazi na sahihi. Jibu fupi Hakuna mtu mmoja aliyekuaja “kuangusha dola ya Kiislamu” yote. Dola ya Kiislamu ilianguka kwa awamu, na pigo kubwa la kwanza lilitoka kwa Wamongolia, kisha mwisho rasmi wa Ukhalifa...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Aliyemchoma Maduro kapata dola za kimarekani milion hamsini tasilimu, lakini...

    Wahenga walipata kusema penye udhia tia shekeli na walipata pia kusema.. Kikulacho ki nguoni mwako, halafu wakasema pia hakuna mkate mgumu mbele ya chai..! Rais wa Venezuela Nicholas Maduro kavamiwa na kikosi maalum cha wapiganaji kutoka Marekani na ndani ya masaa mawili hivi wakamteka yeye tu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania The law is not neutral. Rais wa dola huru anakamatwa kama kuku mataifa mengine yapo kimya.Usa who are you?

    Marekani imekiuaka sheria za kimataifa. Mkataba wa Montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa. Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
Back
Top Bottom