greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,229
Karibuni tena katika makala yetu yenye kuangazia kuhusu masuala ya Ujenzi.
Nipo kikazi katika mkoa wa Dodoma, leo nitapenda niangazie mambo kadhaa ya Ujenzi niliyo yaona Dodoma.
1. UPATIKANAJI WA MATILIO ZA VIWANDANI
2. MATILIO ZA ASILI
- DOdoma ina utajiri wa mawe na majabari ambayo huwezq kutumika kama kokoto na kifusi
-Uhadimu wa mchanga,kutokana na Dodoma kuwa kame,hii inafanya ngumu kuwa na mchanga kutoka mtoni.
3. MIPANGO MIJI
-Serikali imejitahidi katika kufuatilia sheria za ujenzi na kuhakikisha watu wakijenga kwa mpangilio...
4.USHIRIKI WA WANAWAKE
- Ukiondoa Zanzibar,,huku nako nimeshuhudia ushiriki mkubwa wa wanawake katika ujenzi.
-Mafundi na saidia fundi wa kike ni wengi
5. AINA YA UDONGO
Kwa kiwango kikubwa ,huku udongo uliopo ni tifutifu.
Ni maeneo machache sana nimeona kuna mfinyanzi.
6. MAFUNDI
-Mafundi wengi ni kutoka Dar,Mafundi wazawa ni wavivu.
-Jipange kuingia mafundi wazuri kutoka Dar.
7. HALI YA HEWA
-Huku mvua ni hadimu.Kwahiyo una uwezo wa kufanya ujenzi takribani kipindi chote cha mwaka
-Upepo unavuma sana,ukichelewa kujenga unaweza kuta mchanga wako umeisha wote kwa kupeperushwa na upepo
8. MAJI
-Upatikanaji wa maji bado ni mgumu
-Maji yanayopatikana ni ya visima na yana Asili ya chumvi
9. MTINDO WA PAA
-Mazingira na hali ya hewa ya Dodoma inaruhusu kujenga nyumba za paa za kujificha
10. KUDUMU KWA MAJENGO
-Dodoma ipo mbali na bahari,majengo hayawezi kuathiriwa na chumvi
-Dodoma ni kame,kwahyo kuna upungufu wa unyevu ambapo huwa ni chanzo kikubwa cha uharibifu wa majengo
Nakaribisha maoni...
Bado nipo Dodoma-Ihumwa

- Kuna ugumu wa upatikanaji wa matilio ukilinganisha na Mwanza,Arusha au Dar.
- Ujenzi mwingi uliokuwa ukifanyika ni wa majengo makubwa ya serikali ambao wao kwa kiasi kikubwa huagiza mzigo moja kwa moja kutoka Dar.