Nyumba inauzwa ipo tanga mjini maeneo ya usagara ipo karibu na barabara.
Ina vyumba sita (6)
Sebule
Choo ndani
Fremu moja ya biashara
Maji + Umeme
Total Square meter (660)..Bei ni milioni sabini na tano {75,000,000} pia mazungumzo yapo.Kwa mteja Serious nicheki kupitia namba 0763316426 pia...