dodoma

  1. Dodoma: Baraza kuu la TAG lamtunuku Rais Magufuli tuzo kwa namna alivyoongoza Taifa kukabiliana na Korona

    Punde Rais Magufuli atakuwa hapa Miyuji mjini Dodoma na kunatarajiwa kuwa na mazungumzo baina yake na baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini. Nini kutaenda kuzunguzwa? Kaa nami nitakujuza. ======= 10:20 AM: Kwa...
  2. Huduma ya kutotolesha mayai ya kuku kwa kutumia Incubator. (Dodoma)

    Wakuu nimekula mayai ya kienyeji nimetosheka, sasa nahitaji niyabadili kuwa vifaranga ili nifuge kuku. Naomba anaetoa huduma tajwa hapo juu kwa Dodoma anijulishe nimletee mayai anitotoleshee. Ahsante.
  3. Kuna tatizo Halmashauri ya Jiji la Dodoma la watumishi wengi kulipwa mshahara bila kufanya kazi

    Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Watumishi wengi wanakaa nyumbani bila kwenda Kazini au wanaenda kuripoti asubuhi na kuingia mitaani kufanya shughuli zao binafsi. Nampongeza JPM kwa kutokutoa vibali vya kuajiri watumishi wapya...
  4. Msimu Huu Baada ya Majanga ya Corona, Covid -19 unatumia kiasi gani kwa Siku?

    Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
  5. Sales and Marketing Assistant at Pyxus International - Dodoma

    Sales and Marketing Assistant Company: Pyxus International, of which Pyxus Agriculture Tanzania Limited (PAT) is a subsidiary, is a global agricultural company united behind a common purpose – to transform people’s lives so that together we can grow a better world. With 145 years’ experience...
  6. House4Sale Nyumba inauzwa ipo Tanga mjini

    Nyumba inauzwa ipo tanga mjini maeneo ya usagara ipo karibu na barabara. Ina vyumba sita (6) Sebule Choo ndani Fremu moja ya biashara Maji + Umeme Total Square meter (660)..Bei ni milioni sabini na tano {75,000,000} pia mazungumzo yapo.Kwa mteja Serious nicheki kupitia namba 0763316426 pia...
  7. M

    Rais Magufuli kukabidhi uenyekiti wa SADC jijini Dodoma. Je, ni kitu gani ameifanyia SADC cha kukumbukwa na nchi wanachama?

    Rais Magufuli anatarajia kukabidhi Uenyekiti wa SADC. Yapi maoni yako kwa kipindi alichohudumu katika nafasi hii. Je, atakumbukwa kwa mazuri yapi aliyoyafanya katika jumuia hii ya SADC ambayo yameleta tija kwa nchi wanachama? N.B. Mimi nilikuwa nimeshasahau Kama Rais wetu ndiye Mwenyekiti wa...
  8. J

    GE2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

    Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa...
  9. GE2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

    Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais. === Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ikumbukwe Tundu Lissu mara ya mwisho kuondoka katika mkoa huu ni baada...
  10. J

    Lissu karibu Dodoma lakini.....

    Mh.Mgombea wa urais Chadema Karibu Dodoma lkn ukishafika Dodoma Fanya yafuatayo maana ndio mji uliokuletra madhara 1.Ukikanyaga tu ardhi ya Dodoma omba Mungu juu ya ardhi na Anga la Dodoma hata kwa dakika tano ndio uendelee na mambo mengine 2.Usiongeelee chochote juu ya kupigwa kwako risasi...
  11. Nipo Dodoma: Itabidi tugawanyike makundi ili waende wachache ili kupunguza mihemko kutoka kule! Dodoma kumefurika!

    Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma. Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua...
  12. RPC Muroto ni wajibu wako kumlinda Mgombea Urais Lissu atakapokuja Dodoma kuchukua fomu ofisi za Tume ya uchaguzi

    Nimeona nikukumbushe mapema kuhusu jambo hili kutokana na umuhimu wake . Lissu alishambuliwa mchana Dodoma , hatuna haja ya kukumbusha yaliyojili , bali itoshe tu kusema kwamba hakuna juhudi zozote zilizofanyika ili kuwabaini washambuliaji , bali sarakasi na danadana tu ndio zilizotamba , TUKIO...
  13. Q

    GE2020 Mgombea Urais kupitia SAU, Muttamwega Mgaywa na mgombea mwenza wamewasili Ofisi za NEC peku kuchukua fomu

    #Uchaguzi2020 Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Muttamwega Mgaywa na mgombea mwenza Satia Musa, walipowasili hii leo Agosti 7, 2020, kwenye ofisi za NEC wakiwa peku bila Viatu kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa TZ. Mwenyekiti...
  14. Ninatafuta nyumba ya kupanga Dodoma Mjini

    Ninawasalimieni. Ninatafuta nyumba ya kupanga Dodoma Mjini, sifa ni hizi zifuatazo: 1. Bajeti 250,000/= mpaka 300,000/= 2. Muda wa kulipa ni miezi mitatu au chini yake. 3. Mahali-:Area A, Area C, Area D, Makole, Meriwa. Yuke yuko na access na hiyo kitu, karibu inbox!
  15. GE2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC

    Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo pamoja na mgombea mwenza Profesa Omar Hamad leo Agosti 7, 2020, wamechukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ofisi za NEC Jijini Dodoma. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst)...
  16. M

    GE2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

    WanaJF Dodoma Inazizima.Ndivyo tunavyoweza kusema kwa Sasa. Mapokezi kabambe yanamsubiri mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Antipass Lissu ambaye atachukua rasmi fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kesho siku ya Nane Nane. Inatarajiwa mgombea huyo kusindikizwa na umati mkubwa wa...
  17. Mheshimiwa Tundu Lissu hivi kule Dodoma 'uliposhambuliwa' hukuweza 'Kumkariri' hata 'Muuaji' Mmoja pekee?

    "Namshukuru sana Rais aliponiamini na kuniteua kuwa Mkuu wa DSM, mpaka leo hii nakabidhi ofisi kwa RC mpya,...nitaamka hata saa tisa za usiku katika mapambano ya kumlinda Rais,..sio vizuri kumchezea Dkt. Magufuli mkahisi Makonda hatamtetea kwa kuwa hayuko kwenye kiti cha ukuu wa mkoa,..ingekuwa...
  18. UHITAJI WA FUNDI WA COMPUTER DODOMA MJINI

    Ninawasalimka ndugu wajumbe. Ninatafuta mtaalamu wa Kompyuta kwa Dodoma. Komyuta yangu imekuwa na changamoto inapowashwa hai-display chochote. Kama yuko fundi humu kwa upande wa Dodoma tunaweza kuwasiliana PM, ikiwa kuna mtu anamfahamu fundi mikini nitashukuru kupata mwongozo tafadhali!
  19. M

    Usafiri wa Dodoma kwenda Kigoma

    Napenda kufahamu mabasi mazuri ya kutoka Dodoma asubuhi kwenda Kigoma. Nawasilisha.
  20. Kwa haya matukio mfululizo kumhusu Tundu Lissu, bado wananchi tushindwe kutengua kitendawili ya nani alihusika na kumpiga risasi mjini Dodoma?

    Tundu Lissu ni mzalendo wa Tanzania, ambaye takribani miaka 3 iliyopita, baadhi ya wananchi ambao Polisi wameendelea kutuaminisha watanzania kama ni "watu wasiojulikana" walihusika na tukio baya kabisa lililofanywa na watu hao la kutaka kumwua Tundu Lissu, kwa kumminia risasi mfululizo kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…