dodoma

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha Ardhi jiji la Dodoma kimeoza

    Inasikitisha sana kitengo hiki watu wanajifanya miungu watu na hawawezi kuguswa na mtu yeyeote, sasa Mheshimiwa Rais tunakuomba sana sie wakazi wa Dodoma jiji utusaidie sana maana watu wanaporwa ardhi na kuwapa madalali wauze na hivyo kuwafanya wananchi kujisikia kuwa serikali yao haiwajali...
  2. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi samaki wabichi kwa bei ya jumla kwa jiji la Dodoma?

    Wadau wa biashara ya samaki naombeni msaada wenu. Ninataka kuanzisha bucha la samaki lakini kuna mambo kadhaa sijapata taarifa zake kamili hivyo naombeni msaada wenu. 1. Ninaweza kuwapata wapi kwa jiji la Dodoma? 2. Ni vibali (nyaraka) gani natakiwa kuwa nazo kufungua bucha hili? Ahsanteni...
  3. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naitaji Kiwanja cha makazi na biashara Dodoma

    Salaam. Jaman naitaji Kiwanja kwa matumizi ya makazi na biashara Mjini dodoma Ningependa Sana ukubwa wa kiwanja uwe Sq m 1500 to 2000. Na maeneo ambayo naitaji ni ilazo, Nkuhungu, au nje ya mji kidogo njia ya kwenda Dar au Iringa. Kwa yeyote ambae anauza au anamjua anaeuza basi anijulishe...
  4. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali: Tumeongeza uwezo wa kugundua wagonjwa wapya wa Kifua Kikuu

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi Na Englibert Kayombo WAMJW - Dodoma Serikali ya Tanzania imeazimia kutokomeza kabisa ugonjwa wa kifua kikuu kwa kuongeza uwezo wa ugunduzi wa wagonjwa wapya wa kifua kikuu na kuwaweka kwenye matibabu. Kauli hiyo imetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali...
  5. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Nafikaje kiwanda cha magodoro ya Dodoma asili?

    Habari za jumamosi wakuu, mdogo wenu nauliza jinsi ya kufika kiwanda cha magodoro ya Dodoma asili ukiwa Dodoma. Sehemu ya kuanzia safari itakuwa sabasaba stendi au chako ni chako. Natanguliza shukrani🙏
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa aagiza hospital ya Uhuru mjini Dodoma iwe imekamilika ndani ya siku 15 ili Rais Magufuli aifungue 09/12/2020

    Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake. Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya...
  7. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwezi huu kama huna pesa usije Dodoma

    Kama mnavyojua wandugu kuwa kwa sasa makao makuu rasmi imekuwa ni Dodoma, mpaka Rais yuko hapa, Waziri Mkuu na wadosi wengine wamehamia huku. Kwahiyo gharama za vitu na bidhaa zimesogea kidogo hasa kwa upande wa wale jamaa wa kula Faru John mbuzi katoliki. Yaani hapa nilipo naona kama ni...
  8. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Investing/ A growing Dodoma: I think President JPM hajaeleweka kuhusu mapato ya ardhi na nyumba

    Greetings! Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa hapo tofauti na a notable commercial city like Dar. My intention is to advise the CiC kuhusu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa Dodoma ulivyonufaisha watumishi

    Huku mtaani kulikuwa na magofu mengi yamesimama ila watu baada tu ya kulipwa hela ya uhamisho ujenzi umeendelea na wengine wamemaliza kabisa. Watumishi waliokuwa na ndoto za magari wamenunua hata ya mkononi kwa mtu. Wengine wamenunua viwanja hata kama ni vidogo. Wengine wamepauwa nyumba zao...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

    Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu. Amani iwe nanyi wadau! Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake. Leo alfajiri, Magufuli...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Abdullah Ally Hassan Mwinyi akila kiapo Bungeni Dodoma

    Ni mbunge wa Bunge la Tanzania Ni Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania & Zanzibar Msomi wa Shahada ya Uzamili Sheria aliyoipata Chuo Kikuu Cha Wales nchini Uingereza. Amehudumu akiwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa Miaka kumi kuanzia 2007 Mwanachama hai na Mtiifu wa Chama Cha...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tunachora Ramani za Majengo

    KWA MAHITAJI YA RAMANI ZA NYUMBA NA MAJENGO MBALI MBALI. Faida utazozipata kwetu ni hizi. 1: Tutakuandalia gharama zote za ujenzi wa jengo lako. 2: Tutakusaidia kufuatilia kibari cha ujenzi. Wasiliana nasi: 0765105802/0626814150. Ofisi zetu: Dodoma Mjini, Makole, Karibu na ofisi za kata.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Bashe & Nape Watinga Bungeni Dodoma kwa Kishindo

    Kumekucha Dodoma Makamanda wa CCM Wakutana Uso kwa uso Dodoma
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Enyi Wanasiasa 'mnapoichokoza' Dodoma kisha 'kisirisiri' kutaka 'kukimbilia' Berlin au Brussels na Nairobi huwa mnatarajia nini?

    Na 'Uchungu' zaidi unakuja pale ambapo GENTAMYCINE naweza Kuingia Kenya kwa njia za Panya na nikakaa huko bila 'Kukamatwa' lakini wengine 24/7 huwa 'wanatuaminisha' kuwa ni Wanasiasa 'Wajanja' lakini wakiingia mitaa ya 'Kaijia Dodo' wanakamatwa kama 'Kuku' na kurudishwa walikokumbilia baada ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

    Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli amepokea Sakramenti hiyo takatifu Kutoka kwa Padre Paul Mapalala wakati wa Misa ya Dominika ya 32 Mwaka "A"
  16. Magazetini

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hafla ya kuapishwa Dkt. John Magufuli kuendelea na Awamu ya Pili ya Urais wa JMT uwanja wa Jamhuri, Dodoma 05 Oct 2020

    Leo November 5, 2020 anaapishwa Dkt. John Magufuli kumalizia Muhula wake wa mwisho kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika October 28 mwaka huu. Wageni kadhaa wameshafika akiwemo Rais wa Uganda, Yoweri Museveni. Kuwa nami kukujuza...
  17. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali jijini Dodoma

    Huu uzi ufutwe. Nilikuwa na kijana Namuombea kazi. Alikiwa ni kijana wa Dodoma Elimu yake Undergraduate Development Economics. Masters Degree in Finance and Investment. AMEMALIZA MASOMO NA AMEPATA KAZI. Asanteni kwa ushirikiano. 🙏
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan kuapishwa kuwa Rais na Makamu wa Rais katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 5, 2020

    Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Magufuli ataapishwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 5, 2020, hafla itakayohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa. Wananchi wanaopenda kuhudhuria wanakaribishwa kufika uwanjani kabla saa 1 asubuhi. Dkt. Magufuli wa...
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Airbus 220_300 yatua Dodoma kwa mara ya kwanza

    Ndege aina ya Airbus 220_300 leo imetua katika uwanja wa ndege wa Dodoma na kupokelewa na wananchi walokuwa wakiisubiri kwa hamu. Gharama halisi ya tiketi ya ndege kwenda Dodoma sasa ni shilingi 247,000 /-. Ndege hii ina urefu wa ni mita 38.7, na kwa jumla inaweza kuketi abiria 141. Urefu wake...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Wananchi wa Dodoma Mjini wamkataa Mavunde wadai hawajamchagua

    Mavunde wa Dodoma mjini akifukuzwa na wananchi mara baada ya kuiba kura na kutangazwa mshindi.
Back
Top Bottom