dodoma

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo atoa wiki 2 kwa Uongozi wa Dodoma kuifanyia ukarabati Shule ya Msingi Nkuhungu na kuhakikisha inafikisha ufaulu wa asilimia 100

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameliagiza Jiji la Dodoma chini ya Mkurugenzi wake Joseph Mafuru kuifanyia ukarabati Shule ya Msingi Nkuhungu pamoja na kuhakikisha inafikisha ufaulu wa asilimia 100 kwenye matokeo ya mitihani ya darasa la nne. Jafo ametoa kauli hiyo leo...
  2. MANG'ONYI

    JamiiForums Tanzania DUWASA mamlaka inayoshindwa kuhudumia mji wa Dodoma

    Ni wiki ya tatu sasa maji hayapatikani maeneo mengi ya mji wa Dodoma hasa Ilazo, Nzuguni na Kisasa. Waziri wa maji amemtumbua mkurugenzi wa DUWASA mhandisi Pallangyo mara tu baada ya kuapishwa lakini tatizo inaonekana ni zaidi ya huyo Mkurugenzi kwani shida ya upatikanaji wa maji iko pale pale...
  3. ManziCute

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Dodoma

    Niko Morogoro ila natafuta kazi yoyote katika mji wa Dodoma nina Elimu ya Diploma ya Business Admnistration nipo tayari kufanya kazi yoyote katika mji huwo. Mwenye connection yoyote plz anitafute 0782394214
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kati ya Arusha, Dar, Dodoma na Mwanza, wapi wanaongoza kwa kula mboga?

    Watu wamekuwa wakila mboga kwa visingio mbalimbali, wengine wakisingizia hii sio mboga, hii ni mishikaki. Wengine wanasema hii sio mboga, hii ni supu na wengine wanasema hii sio mboga ni nyama choma. Sasa katika hiyo mikubwa ni wapi mahiri zaidi kwa ulaji wa mboga?
  5. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Mahali pa kupata lunch na dinner Dodoma

    Wakuu salamu, Kama mnavyojua jiji la Dodoma linakua kwa kasi ya 4 G, linapokea wageni kila siku iitwayo leo, naomba tutaje mahali bomba panapo ongoza kutoa huduma bomba na classic za dinner na lunch. Zitakuwa mwongozo kwa wote wageni na wakazi wa Dodoma. Karibuni.
  6. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Serikali jengeni bwawa kubwa eneo kati ya Wilaya ya Chamwino, Kongwa na Mpwapwa

    Kupitia Jukwaa Tukufu, Nawasilisha ushauri na maoni yangu kupendekeza kwa serikali ya Jamhuri wa Tanzania kujenga bwawa/lambo kubwa linalotokana na uvunaji wa maji ya mvua (rainfall water catchment dam). katika eneo lolote litakalobainishwa na wataalamu kati ya wilaya za Kongwa, Chamwino na...
  7. UTAFITI WA MADINI NA MAJI

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima vya maji na tunauza Mashamba ya Miti ya mbaio

    Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO ( nchini kote) Kutoka Asasi ya PDPR Njombe, Gharama za mradi:kuchimba laki 5, kama kitakuwa ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000ukihitaji kufungiwa water pump ipo ya solar milioni 1.6 ya umeme laki 5 zote zikiwa complete pamoja na...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

  9. Mgiriki MTz

    JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kununua PC, HP niko Dodoma

    Habari zenu wakuu, Naombeni ushauri nataka kununua PC mpya aina ya HP, Lakini sina utaalamu wowote juu ya PC ipi ni nzuri zaidi. Hivyo ningependa kujua yafuatayo:- ~PC ipi ya HP itanifaa kwa kusomea na kuchezea games ~Pia ipi ni nzuri kea kutunza charge ~Display iwe kuanzia 14inches Pia naomba...
  10. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Ukweli lazima Usemwe: kwaiyo Wanawake wote wa Hitwe nyie mikoa yenu ni Dodoma, dar, Arusha na Mwanza, hakuna wa Ruvuma au Mara,

    Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu, Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi, Sijaona wa iringa au Makambako ama wa Rusumo🤦😂, Wanawake mnakwama wapi kuweni kwenye hiyo Mikoa nasi tufaidi alaaa, Sasa...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TRC na Ajali ya Dodoma: Kuna tatizo la kiutendaji

    Hii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe. Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Standard Operatinal Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu...
  12. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania Bahi, Dodoma: Treni iliyokuwa ikitoka Dar kuelekea bara imepata ajali. Majeruhi na vifo vyaripotiwa

    Nimepigiwa simu na mpwa wangu ambaye ni miongoni mwa abiria walionusurikana, kuwa treni iliyokuwa ikitoka Dar - Kigoma imepata ajali kilometa chache kutoka stesheni ya Dodoma. Inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na inadaiwa watu 3 wamepoteza maisha. Naomba wahusika wafuatilie. ======...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mkurugenzi wa Chemba atakiwa kujieleza TAMISEMI kwa kuchelewesha miradi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo amechefuliwa na kitendo cha ucheleweshwaji wa miradi katika Wilaya ya Chemba huku akimwagiza Mkurugenzi kuhakikisha anampelekea maelezo ni kwanini wasichukuliwe hatua kwa uzembe huo. Hali hiyo...
  14. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kada Maarufu wa CCM Jijini Dodoma, Egra Mamoto afariki dunia ghafla

    Mwendazake Bi Egla Mamoto alikuwa Kiongozi wa CCM Jijini Dodoma. Taarifa hii ya kushtukiza na kusikitisha zimeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo Disemba 27, 2020. Tunatoa pole kwa familia na Chama kwa msiba huu mkubwa. ---- Aliyewahi kuwa Kaimu Katibu idara ya Uhamasishaji na Chipukizi...
  15. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo atamani Halmashauri zijitegemee baada kutembelea mradi wa Government City Complex wa jijini Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe, Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo matamanio yake ni kuona Halmashauri zinajitegemea zenyewe kupitia mapato ya ndani na kwamba ifike muda ziwe zinalipa watumishi wake mishahara. “Nikiangalia hoteli...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Printer za Hp na Epson Dodoma mjini -0679 946 164

  17. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mwingine(Ilboru) afa maji akiogelea St. Gaspar Hotel dodoma

    Wimbi la wanafunzi kufa maji wakiogelea mkoan dodoma linazidi kushika kasi ambapo Jana jioni mwanafunzi mmoja wa ilboru kidato cha 5 aitwae Francis amefariki akiwa anaogelea katika hotel maarufu ya St Gasper iliyopo dodoma baada ya kunywa maji mengi na kusababisha kifo chake. Mwanafunzi huyo...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dodoma, Rais Mwinyi aapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza

    Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi. Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na...
  20. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi hupelekea watu kujenga bila ramani au kwa ramani za kukopi kutoka kwa watu wengine?

    Habarini wakuu. Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya vyumba tu ajenge au unampa mfano wa ramani uliyoipata kwenye mtandao. Hebu fikiria umetumia milioni...
Back
Top Bottom