Nipo Dodoma: Itabidi tugawanyike makundi ili waende wachache ili kupunguza mihemko kutoka kule! Dodoma kumefurika!

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.

Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.

Lissu anakubalika aisee!
 
Niko hapa migoli nakuja huko Dom town........kesho ni sikukuu!
Uongo unakusaidia Nini?
FB_IMG_1596804632886.jpg
 
Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.

Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.

Lissu anakubalika aisee!
Lissu The Great
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom