dodoma

  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Dar es Salaam akitokea Jijini Dodoma

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani amewasili Jijini Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na amepokelewa na Waziri Mkuu Mhesh Kassimu Majaliwa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali. Mama Samia atazungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam jioni ya leo katika...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde aishukuru Serikali kwa utekelezaji wa Miradi ya Elimu jijini Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo kwa shule za msingi nne za Dodoma Jiji ambazo ni Shule ya Msingi Kisasa,Medeli,Kizota na Mlimwa C. Mradi huu ambao...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Dar es Salaam vs Wazee wa Dodoma - wapi wanajua siasa?

    Nimeupenda huu utaratibu wa viongozi wakuu wa nchi kuongea na wazee hasa wa Dar es Salaam. Ni vema wazee wa Dodoma nanyi mkachangamka maana ndio mko makao makuu, najua hapo yupo Malecela, Ndugai, Kimbisa, Mavunde nk...nk. Hapa mzizima pamesheheni wazee na kesho bila shaka tutawaona akina Hemed...
  4. JamiiForums Tanzania Juliana Shonza: Maji bado ni kilio kikubwa licha ya miradi kuwepo

    Mbunge Juliana Shonza suala la maji limeendelea kuwa kilio kikubwa cha wananchi licha ya Wizara ya Maji kupelekewa fedha nyingi huku vilio vikitoka kwenye maeneo yale yale ambayo Serikali tayari imepeleka miradi mikubwa Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Maji na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Dodoma Mjini, Mavunde akabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde Leo amekabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuboresha huduma ya usafirishaji Jijini Dodoma. "Nimekabidhi sare hizo leo kwa madereva taksi 30 zenye thamani ya Tsh 1,500,000 katika eneo la Uwanja wa Ndege kwa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango leo Mei 04, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Nchemba. Viongozi hao walifanya mazungumzo hayo kufuatia ziara iliyofanywa na Dkt Mwigulu ofisini kwa Dkt Mpango Ikulu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Spika Ndugai asaidiwe kisaikolojia au aachwe?

    Dunia kuna vituko sana, Moja ya vituko vinapatikana Bungeni vikiongozwa na Job Ndugai. Huyu Ndugai anajulikana kama mheshimiwa Spika. Leo Ndugai ametumia dakika nyingi Bungeni akitaka kutetea legacy yake na kujifananisha na Spika Marehamu Samwel Sitta, Ndugai anaumia na kukwazika sana kwanini...
  8. JamiiForums Tanzania Dodoma: Spika Ndugai awapa mbinu CHADEMA ili awafukuze akina Halima Mdee

    Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa kikao kilichofanya maamuzi ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa chama hicho. "Aandike barua...
  9. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Dodoma Mkonze

    Sokoni leo na land point tunakiwanja Mkonze ambacho kipo kalibu kabsa na huduma zote za kijamii kama maji, umeme, n.k bei na bei yake ni Milion 8 tu ukubwa wake ni SQM 1456 wasiliana nasi kwa 0753 236 012
  10. JamiiForums Tanzania Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi na sio Dodoma

    Kama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana! Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wazo la biashara, nifanye biashara gani ninaishi jijini Dodoma nina mtaji wa 380000/=naombeni ushauri

    Habar wana JF Mimi ni graduator wa chuo kimojawapo jijini Mbeya mwaka wa jana, kutokana na tatizo la ajira niliamua kutafuta mtaji kwa kufanya kazi vibarua na nimefanikiwa kukusanya kiasi cha tshs 380000. Hivyo naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itanipa...
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mzee Mangula ulichomfanyia Dkt. Kikwete, Mungu anakuona

    Hakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi, hakuipata. Kilichotokea ni kuitwa Mizengo Pinda, tena bila ya Mangula kugeuka nyuma akisema kuna mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Nilichokiona leo Dodoma hakina afya kwa mustakabali mzima wa ustawi Taifa letu, tujirekebishe kwa maslahi mapana ya Taifa

    Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!" Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania DODOMA: Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wakiwasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Dodoma

  15. JamiiForums Tanzania TBC waweke hadharani Risiti ya Malipo waliyolipwa kwa kuonesha moja kwa moja Mkutano Mkuu wa CCM huko Dodoma

    Hili likifanyika litaondoa manung'uniko ya Wananchi kuhusiana na Mali hii ya Umma kutumika kama Chombo cha CCM. Enzi za Chama kimoja kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi si tu kwamba zimekwisha, bali hali hiyo ikiachwa iendelee inaliaibisha Taifa zima na kufedhehesha demokrasia.
  16. JamiiForums Tanzania Matukio katika Picha: Mkutano Mkuu Maalum wa CCM - Aprili 30, 2021

    Matukio mbalimbali katika picha kutoka Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, DODOMA
  17. JamiiForums Tanzania PICHA: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwasili kwenye mkutano Mkuu wa CCM unaendelea huko Dodoma

    Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge wa kuteuliwa wa JMT Ndg. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi . Katika Mkutano huu unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya...
  18. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

    Kamati Kuu (KK) ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imefanya kikao leo tarehe 28/04/2021 katika ukumbi wa Kamati hiyo uliopo ndani ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Ikumbukwe kwamba kikao hicho ni moja ya vikao vinavyofanyika kuelekea Mkutano Mkuu Maalum siku ya...
  19. C

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (NEC) | 29.04.2021

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kimefanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama, White House Jijini Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Mjumbe wa NEC Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

    Habarini za muda wana jamvii kama kichwaa cha habari kinavo jieleza hapo juu kuna tofauti gani wa ubora wa Elimu unaotolewa chuo kikuu cha kilimo morogoro SUA na ile inayotolewa chuo kikuu cha Dodoma UDOM & UDSM hususan katika zile course za kilimo? Binafsi nina wanangu wanasoma course zinazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…