dodoma

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dodoma: T- Shirt za CCM zimeandikwa, "Samia Rais, Mavunde Mbunge "

    Nimeona mwana-CCM mmoja amevaa t-shirt yenye maneno hayo muda si mteu hapa Dodoma mjini. Swali ni je, tuko kwenye kampeni? Pili, kwasababu uchaguzi uliopita Samia hakugombea uraisi, bali alikuwa mgombea mwenza, Sasa najiuliza, hizi t-shift zimetengenezwa lini na kwa lengo gani? Wapinzani...
  2. JamiiForums Tanzania Magodoro Dodoma rejects

    amani iwe kwenu. wakuu nauliza,hapa dodoma nitapata wapi magodoro rejects ya pale kiwandani QFL niweze kutengeneza kisofa changu gheto?. natanguliza shukrani.
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Suala la Mitihani na Usaili kufanyika siku ya Jumamosi tutalitazama

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Miaka 50 ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato leo Tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma SAMIA SULUHU HASSAN - RAIS Kwanini hajawahi kuhudhuria...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

    Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na...
  5. JamiiForums Tanzania Ajali ya Basi la Arusha Express na Lori yaua watano Dodoma

    Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma. Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi ==== Ajali imetokea mchana huu eneo la Veyula mjini Dodoma. Basi kampuni ya ARUSHA express ikitokea Arusha kwenda Mbeya, Imegongana uso...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Lndcruiser V8 Dodoma!

    Ikiwa unataka kujionea kwa wingi Landcruiser V8 tembelea jijini Dodoma, kila baada ya dakika 2 Lazima upishane na chuma jipya V8 LC300 NB: Kama biashara Toyota wameuza hapa Dom aisee
  7. JamiiForums Tanzania Treni za abiria hazina bima? Wahanga wa ajali ya Dodoma wanaweza idai serikali fidia?

    Nimesikia wahanga wa ajali ya Precision Air watalipwa fidia, pesa nyingi. Nimekumbuka ajali ya treni Dodoma miaka ishirini iliyopita. Hivi treni huwa inakata bima? Wahanga wa ajali ile wanaweza dai fidia?
  8. JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea kwa Kishindo. Bil 165 kujenga uwanja wa kisasa Dodoma. Mama Samia anaupiga mwingi

  9. JamiiForums Tanzania bedsofa 5 kwa 6 mpya dodoma kwa bei rahisi

    Habari wakuu,wale wa Dodoma ninawaletea bedsofa 5 kwa 6 mpya kwa 175000 tu. Piga simu hapa 0624008133 mipango
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Bedsofa mpya Dodoma

    Habari wakuu nauza bedsofa mpya hiyo 190000 mipango Dodoma 0624008133
  11. N

    JamiiForums Tanzania Machinga wapata neema Dodoma

    Mwaka mmoja uliopita agizo la kuwapanga Machinga lilitolewa. Mwaka mmoja baadaye soko la kisasa Dodoma limekamilika limegharimu Tsh Bilioni 9 na sasa limeanza kutumika. Lengo la soko hilo ni kuwaepusha Machinga na ajali zilizotokana na kufanya biashara pembezoni mwa barabara pia...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu ya Chamwino Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Ijumaa tarehe 28 Oktoba , 2022. #CCMImara #KaziIendelee
  13. JamiiForums Tanzania Dodoma: Taarifa ya Kufanyika Vikao vya CCM Taifa

  14. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aondoka Zanzibar kuhudhuria vikao vya Kamati Kuu ya CCM jijini Dodoma

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali, akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, ameondoka Zanzibar kuelekea Dodoma kuhudhuria vikao vya kawaida vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa vya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Barabara za Mji wa Serikali Dodoma zimeshafungwa taa za barabarani

    Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k) Leo nimepita katika huu mji na kukuta...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ajali ni nyingi kati ya Dar to Morogoro na hadi Dodoma

    Mara nyingi nasafiri kwa njia hii na hukutana ajali si chini ya mbili. Athari za ajali zinafahamika; ulemavu, kupoteza maisha na mali. Njia hii imekuwa ndogo na msongamano ni mkubwa. Kama serikali iliweza kutoa ruzuku ya bil 100 kila mwezi, kwanini isitenge bil 30 tu kila mwezi kwa njia hii
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

    Habari za wakati huu Wana JF. Kwa majina naitwa David Mathias. Nilikuja Dodoma kutafuta maisha kutokea jijini Dar na nikafikia kwa rafiki yangu niliesoma nae chuo kimoja ambaye anaishi Nkuhungu. Rafiki yangu ameleta mwanamke ghafla na kuniambia kuwa anataka aishi nae kwahiyo mimi niondoke...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Utumishi Kupeleka Interview Dodoma ni kuwanyima watoto wa masikini nafasi ya kushiriki

    Hili suala kiukweli linafikirisha sana Hii inakua ni kama upendeleo kwa wakazi wa Dodoma pekee na kuwanyima nafasi ya kushiriki watoto wa masikini wanaotokea mikoa mingine Juzi juzi niliona Waziri Jenister Muhagama akiongelea kwamba wameona ni bora kila mtu afanye usaili kwenye mkoa wake ili...
  19. JamiiForums Tanzania Anayehitaji saidia fundi, fundi seremala mwanafunzi au msaidizi wa kazi yeyote inayohitaji nguvu Dodoma anisaidie

    Habari za leo wakuu. Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari. Naweza kufanya saidia fundi au kazi yoyote ya nguvu. Nina uwezo wa kutumia cherehani kwa ufasaha kabisa Au kama unaweza kunielekeza...
  20. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea miradi ya TBA Dodoma

    Imewekwa: Thursday 22, September 2022 Septemba 17, 2022 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefanya ziara ya kutembelea miradi inayotekelezwa na TBA jijini Dodoma. Miongoni mwa miradi iliyotembelewa inajumuisha mradi wa ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…