dodoma

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa jiji la Dodoma kuondoa foleni round about darajani njia ya kwenda Mwanza mida ya jioni

    Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
  2. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Vyumba vya kulala kwa tsh 13,000/=

    Habari wasakaji wa ajira, Kuna CHIMBO LA kulala , maeneo ya Nyerere square, Karibu na msikiti wa Nungwi... Bei ni 13000/= ila vitanda viko viwili , mkiwa wawili mnachanga 6,500/=...... Location ni hiyo alama ya bluu.
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Swali la kimaadili kwa UVCCM Green Marathon Dodoma

    Bila kuwa na maneno mengi naomba kuwauliza vijana wa ccm waliopo DODOMA kwenye matukio muhimu ya chama chao na hicho kinachoitwa Green Marathon maswali yafuatayo. 1. Leo UVCCM wanainjoi na kunufaika kwa CCM kuwa chama dola je wanawaza nini Juu ya vijana wenzao wa vyama vingine hasa chadema...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wasailiwa kulala nje siku za usaili Dodoma

    Hili limekua ni tatizo kubwa sana. Mdogo wangu ameenda kwenye usaili Dodoma mpaka muda huu saa sita usiku hana mahali pakulala, yeye na wenzake wametembea nyumba zote za wageni zimejaa. Hivi hakuna utaratibu mwingine serikali inaweza kuufanya ili vijana wetu wasijazwe huko Dodoma. Inaonekana...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida itapitia maeneo gani?

    Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida. Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja? Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof. ametupiga changa la macho. Au...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dodoma: T- Shirt za CCM zimeandikwa, "Samia Rais, Mavunde Mbunge "

    Nimeona mwana-CCM mmoja amevaa t-shirt yenye maneno hayo muda si mteu hapa Dodoma mjini. Swali ni je, tuko kwenye kampeni? Pili, kwasababu uchaguzi uliopita Samia hakugombea uraisi, bali alikuwa mgombea mwenza, Sasa najiuliza, hizi t-shift zimetengenezwa lini na kwa lengo gani? Wapinzani...
  7. The Spirit of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Magodoro Dodoma rejects

    amani iwe kwenu. wakuu nauliza,hapa dodoma nitapata wapi magodoro rejects ya pale kiwandani QFL niweze kutengeneza kisofa changu gheto?. natanguliza shukrani.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Suala la Mitihani na Usaili kufanyika siku ya Jumamosi tutalitazama

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Miaka 50 ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato leo Tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma SAMIA SULUHU HASSAN - RAIS Kwanini hajawahi kuhudhuria...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

    Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na...
  10. Mzalendo39

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Basi la Arusha Express na Lori yaua watano Dodoma

    Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma. Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi ==== Ajali imetokea mchana huu eneo la Veyula mjini Dodoma. Basi kampuni ya ARUSHA express ikitokea Arusha kwenda Mbeya, Imegongana uso...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Lndcruiser V8 Dodoma!

    Ikiwa unataka kujionea kwa wingi Landcruiser V8 tembelea jijini Dodoma, kila baada ya dakika 2 Lazima upishane na chuma jipya V8 LC300 NB: Kama biashara Toyota wameuza hapa Dom aisee
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Treni za abiria hazina bima? Wahanga wa ajali ya Dodoma wanaweza idai serikali fidia?

    Nimesikia wahanga wa ajali ya Precision Air watalipwa fidia, pesa nyingi. Nimekumbuka ajali ya treni Dodoma miaka ishirini iliyopita. Hivi treni huwa inakata bima? Wahanga wa ajali ile wanaweza dai fidia?
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea kwa Kishindo. Bil 165 kujenga uwanja wa kisasa Dodoma. Mama Samia anaupiga mwingi

  14. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania bedsofa 5 kwa 6 mpya dodoma kwa bei rahisi

    Habari wakuu,wale wa Dodoma ninawaletea bedsofa 5 kwa 6 mpya kwa 175000 tu. Piga simu hapa 0624008133 mipango
  15. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bedsofa mpya Dodoma

    Habari wakuu nauza bedsofa mpya hiyo 190000 mipango Dodoma 0624008133
  16. N

    JamiiForums Tanzania Machinga wapata neema Dodoma

    Mwaka mmoja uliopita agizo la kuwapanga Machinga lilitolewa. Mwaka mmoja baadaye soko la kisasa Dodoma limekamilika limegharimu Tsh Bilioni 9 na sasa limeanza kutumika. Lengo la soko hilo ni kuwaepusha Machinga na ajali zilizotokana na kufanya biashara pembezoni mwa barabara pia...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu ya Chamwino Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Ijumaa tarehe 28 Oktoba , 2022. #CCMImara #KaziIendelee
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Taarifa ya Kufanyika Vikao vya CCM Taifa

  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aondoka Zanzibar kuhudhuria vikao vya Kamati Kuu ya CCM jijini Dodoma

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali, akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, ameondoka Zanzibar kuelekea Dodoma kuhudhuria vikao vya kawaida vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa vya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Barabara za Mji wa Serikali Dodoma zimeshafungwa taa za barabarani

    Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k) Leo nimepita katika huu mji na kukuta...
Back
Top Bottom