dodoma

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nyumba 196 Zilizojengwa na WHI Jijini Dodoma Zaikosha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria

    NYUMBA 196 ZILIZOJENGWA NA WHI JIJINI DODOMA ZAIKOSHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama amesema kamati yake imeridhishwa na viwango vya nyumba 196 zilizojengewa na Watumishi...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Serikali ijenge kaburi "fake" la Hayati Magufuli pale Nyerere Square Dodoma sehemu ya wazi ili kila mtu apate kulitembelea

    Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa. Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

    Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu. Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha...
  4. nguvumali

    JamiiForums Tanzania Maktaba ya taifa Dodoma rekebisheni kasoro hizi

    Nilifika Maktaba ya Dodoma siku saba zilizopita, ni maktaba nzuri sana kwa kuangalia jengo. Kuna kasoro ambazo lazima zirekebishwe haraka. 1. KELELE NJE YA MAKTABA Viongozi wa maktaba lazima wazingatie ukweli kuwa maktaba ni eneo lenye kuhitaji utulivu sana kama ilivyo mahakamani na...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vijana wengine waibukia hospitalini Dodoma kutaka kuuza figo

    Siku chache baada ya uongozi wa Hospitali ya Bugando Mwanza kuelezea kadhia wanayoipata kutokana na vijana kuulizia iwapo wananunua figo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa Dk Alphonce Chandika naye leo Jumatatu Machi 13, 203 ameeleza kuwepo na wimbi la vijana...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Makamu wa Rais Kamala Harris nchini Tanzania, mifumo ya ulinzi nchini isiingiliwe na Marekani

    Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa...
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023
  8. The Spirit of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Fursa za Mazao ya Bustani Dodoma

    Wakuu amani iwe kwenu. Naomba nisaidiwe kujua fursa za mazao ya bustani mkoani dodoma, yaani je uhitaji upo wa mbogamboga kama mchicha, chainizi, spinach, majani ya kunde n.k. Naomba pia kujua maeneo gani wanakodisha mashamba ya bustani, hasa panapopatikana maji kwa wingi, bei zake, barabara...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Dodoma kuwa Katikati ya nchi lakini bado haikupaswa kuwa Makao Makuu

    Nisiwe na Maneno mengi lakini kiukweli hali ya hewa ya Dodoma inaumiza sana na mtu huwezi kuwa comfortable hata kidogo. Yaani huu mji hata ulazimishe kupanda miti kiasi gani bado ni shida. Hata mwanga wa jua huku ni shida kwa jinsi unavyoumiza macho, yaani kila unayekutana naye kakunja uso na...
  10. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi latokea Dodoma, Singida

    Taarifa GST inapenda kuutangazia umma kwamba kumekuwa na matukio ya matetemeko ya ardhi katika maeneo ya wilaya ya Manyoni kwenye mpaka kati ya Mkoa wa Singida na Dodoma yakiwa na ukubwa wa 4.3 na 4.9 katika kipimo cha Richter kama yalivyoainishwa kwenye jedwali hapa chini: Tarehe ya tukio...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dodoma ni eneo la bonde la ufa, ujenzi wa majengo uzingatie tahadhari za matetemeko ya ardhi

    Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu. Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka. Pia soma -...
  12. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

    Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua. --- Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo Area D, Dodoma. Na hili ndilo geti lililoachwa wazi na walinzi kutokomea siku Lissu aliposhambuliwa

    Hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D. Hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana. Hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo kama hii hapa chini.
  14. BIG THINKER

    JamiiForums Tanzania Serikali yote itakapohamia Dodoma changamoto nyingine za Dar zitakuwa hazitatuliki, jiji la Dar litakuwa ndiyo jiji lenye changamoto nyingi Tanzania

    Mark my words Kama wewe ni mtumishi na unawaza uhamie wap kati ya dar na Dom nakushauri uhamie Dom.............. Sababu miaka ijayo hili jiji linalonasibiwa kuwa la kibiashara baada ya serikal yote kuhamia DODOMA Litabadilika na kuwa jiji la kiharifu, Changamoto zote unazoziona zinatokea na...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

    Ni ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea. Nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza. Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea njia ya bukoba kwenda Dar USSR === Ajali imetokea Kijiji cha Silwa, Kata ya Pandambili,Tarafa ya Mlali...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Utundu na ubunifu wangu ndani ya 6X6 unavyowadatisha mashangazi warembo

    Wasalaam JF Jamani mapenzi ni utundu na ubunifu, hivi vitu ni sumaku ya mahaba, na hutiririsha chemichemi ya kugandwa kimahaba. Utundu na ubunifu wangu wa kutumia vidole vyangu vyote vya mikono na miguu ndani 6by5, 6by6, nimevuna dodo la kale au ukipenda mshangazi mrembo. Si kwingine ni hapa...
  17. covid 19

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawasiliano TAMISEMI Idara ya Elimu Dodoma

    Kwa aliyepo Tamisemi au kama unaweza niunganisha na mtu wa tamisemi idara ya elimu Dodoma tafadhali naomba msaada.
  18. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura

    Shirika la Ndege la Precision Air limethibitisha kuwa ndege zake mbili zimeshindwa kufanya safari zake kama kawaida baada ya ndege moja kupata hitilafu na nyingine kulazimika kutua kwa dharura. Precision Air imethibitisha hilo kupitia Taarifa yake leo Februari 03, 2023 ikibainisha kuwa, moja ya...
  19. Keynez

    JamiiForums Tanzania Maono: Tuepuke siasa za vyama katika makao makuu ya nchi Dodoma

    Kuna wakati nakuwa sina uhakika sana na dhamira ya nchi hii kuhamia Dodoma ila ngoja nichukulie kuwa dhamira hii ni ya kweli na itadumu. Taifa la Marekani walifanya kitu kimoja unique sana wakati wa muundo wa Katiba yao. Katika majimbo yao yote 50, waliipa mji wao mkuu Washington DC utaratibu...
  20. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Usaili kada za Serikali kufanyika Dodoma ni kipengele. Mfumo ubadilishwe

    Habari za wakati huu, Hili suala la usaili kufanyika Dodoma lizingatiwe tena na tena, sikatai lengo lilikuwa ni jema ila changamoto zimekuwa ni nyingi unakuta mtu anaitwa usaili wa kuandika tarehe 25 kisha ukipita hapo wa vitendo tarehe 28 ama mahojiano 29, sasa ukiangalia kwa haraka, asie na...
Back
Top Bottom