Spika Zungu aagiza Uchunguzi wa Miradi ya PPP iliyokwama

Mwanahabari Huria

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
394
Reaction score
258
MASHIRIKA YANAYOCHELEWESHA MIRADI YA PPP SASA KUWEKWA KITIMOTO BUNGENI DODOMA
===
SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni 2026 kuanzia saa saba mchana mjini Dodoma Bungeni, ambapo wadau wote wanaohusika na miradi hiyo watatakiwa kuhudhuria.

Ameongeza kuwa amemuomba Mhe. Mwanasheria Mkuu (AG) kuchunguza kama sheria za miradi ya PPP bado ni ngumu, na iwapo ni hivyo, watendaji wa PPP wakae pamoja na kuzipitia ili PPP iweze kuchangia maendeleo ya taifa.

Spika Zungu amekumbusha kuwa Bunge lililopitisha Dira ya Taifa kwa kauli moja lilikubaliana kuwa asilimia 70 ya utekelezaji wake utafanywa na sekta binafsi, hivyo sekta binafsi inahitaji mazingira mazuri ya kufanya kazi. Amesisitiza kuwa masilahi ya taifa lazima yawekwe mbele, lakini pia ni muhimu kuwa na sheria ambazo hazitawafanya wawekezaji washindwe na kuondoka.

Soma: David Kafulila: Sasa PPP Tanzania tumefikisha miradi ya TZS 11 TRL na 80% ni ya awamu ya 6

Aidha, amesema kuwa mapato ya ndani ya serikali badala ya kutumika kwenye miradi mikubwa ya maendeleo, yatumike kwa ustawi bora wa wananchi — kama kuwajengea makazi bora, kupandisha mishahara, kuboresha huduma za afya, kutoa elimu bora, na mambo mengine yanayolenga kuwasaidia wananchi.

Serikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari.

Inasikitisha sana .
David Kafulila ni maneno mengi tu hamna kitu hapo
 
MASHIRIKA YANAYOKWAMISHA MIRADI YA PPP KIKAANGONI BUNGENI DODOMA

SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni

SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni 2026 kuanzia saa saba mchana mjini Dodoma Bungeni, ambapo wadau wote wanaohusika na miradi hiyo watatakiwa kuhudhuria.

Ameongeza kuwa amemuomba Mhe. Mwanasheria Mkuu (AG) kuchunguza kama sheria za miradi ya PPP bado ni ngumu, na iwapo ni hivyo, watendaji wa PPP wakae pamoja na kuzipitia ili PPP iweze kuchangia maendeleo ya taifa.

Spika Zungu amekumbusha kuwa Bunge lililopitisha Dira ya Taifa kwa kauli moja lilikubaliana kuwa asilimia 70 ya utekelezaji wake utafanywa na sekta binafsi, hivyo sekta binafsi inahitaji mazingira mazuri ya kufanya kazi. Amesisitiza kuwa masilahi ya taifa lazima yawekwe mbele, lakini pia ni muhimu kuwa na sheria ambazo hazitawafanya wawekezaji washindwe na kuondoka.

Aidha, amesema kuwa mapato ya ndani ya serikali badala ya kutumika kwenye miradi mikubwa ya maendeleo, yatumike kwa ustawi bora wa wananchi — kama kuwajengea makazi bora, kupandisha mishahara, kuboresha huduma za afya, kutoa elimu bora, na mambo mengine yanayolenga kuwasaidia wananch

View: https://www.instagram.com/reel/DZoxaV6gqgb/?igsh=ZHJmdzNjNTNoMXMz

Hii serikali ina watu wasomi sana lakini ni kama mbuni aliye ingiza kichwa shimoni akililia mapato mengi huku mwili wake ukiwa angani ukiteseka na hali halisi.
Nani asiyejua kuwa miradi YOTE ya uwekezaji na si ya PPP inakwamishwa na KODI NA TOZO zisizohimilika.
Hatuhitaji kwenda shule kujua hili.
Serikali inadiriki hata kuiwekea kodi mitaji!!!
Kwa msingi huo nani ataleta mitaji yake ya uwekezaji Tanzania.
 
MASHIRIKA YANAYOCHELEWESHA MIRADI YA PPP SASA KUWEKWA KITIMOTO BUNGENI DODOMA

SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni

SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni 2026 kuanzia saa saba mchana mjini Dodoma Bungeni, ambapo wadau wote wanaohusika na miradi hiyo watatakiwa kuhudhuria.

Ameongeza kuwa amemuomba Mhe. Mwanasheria Mkuu (AG) kuchunguza kama sheria za miradi ya PPP bado ni ngumu, na iwapo ni hivyo, watendaji wa PPP wakae pamoja na kuzipitia ili PPP iweze kuchangia maendeleo ya taifa.

Spika Zungu amekumbusha kuwa Bunge lililopitisha Dira ya Taifa kwa kauli moja lilikubaliana kuwa asilimia 70 ya utekelezaji wake utafanywa na sekta binafsi, hivyo sekta binafsi inahitaji mazingira mazuri ya kufanya kazi. Amesisitiza kuwa masilahi ya taifa lazima yawekwe mbele, lakini pia ni muhimu kuwa na sheria ambazo hazitawafanya wawekezaji washindwe na kuondoka.

Aidha, amesema kuwa mapato ya ndani ya serikali badala ya kutumika kwenye miradi mikubwa ya maendeleo, yatumike kwa ustawi bora wa wananchi — kama kuwajengea makazi bora, kupandisha mishahara, kuboresha huduma za afya, kutoa elimu bora, na mambo mengine yanayolenga kuwasaidia wananchi.

View: https://www.instagram.com/reel/DZpSoZ5Adta/?igsh=ODYxMXRtcDd5YjVm[/URL]

PPPP>RRRR.
What do you mean?
 
MASHIRIKA YANAYOCHELEWESHA MIRADI YA PPP SASA KUWEKWA KITIMOTO BUNGENI DODOMA
===
SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni 2026 kuanzia saa saba mchana mjini Dodoma Bungeni, ambapo wadau wote wanaohusika na miradi hiyo watatakiwa kuhudhuria.

Ameongeza kuwa amemuomba Mhe. Mwanasheria Mkuu (AG) kuchunguza kama sheria za miradi ya PPP bado ni ngumu, na iwapo ni hivyo, watendaji wa PPP wakae pamoja na kuzipitia ili PPP iweze kuchangia maendeleo ya taifa.

Spika Zungu amekumbusha kuwa Bunge lililopitisha Dira ya Taifa kwa kauli moja lilikubaliana kuwa asilimia 70 ya utekelezaji wake utafanywa na sekta binafsi, hivyo sekta binafsi inahitaji mazingira mazuri ya kufanya kazi. Amesisitiza kuwa masilahi ya taifa lazima yawekwe mbele, lakini pia ni muhimu kuwa na sheria ambazo hazitawafanya wawekezaji washindwe na kuondoka.

Soma: David Kafulila: Sasa PPP Tanzania tumefikisha miradi ya TZS 11 TRL na 80% ni ya awamu ya 6

Aidha, amesema kuwa mapato ya ndani ya serikali badala ya kutumika kwenye miradi mikubwa ya maendeleo, yatumike kwa ustawi bora wa wananchi — kama kuwajengea makazi bora, kupandisha mishahara, kuboresha huduma za afya, kutoa elimu bora, na mambo mengine yanayolenga kuwasaidia wananchi.

Miradi iliyokwama ni ipi?

Pili Kwa navyowajua watu wa Bara wanaojiita Watanganyika ni watu conservative sana yaani utake pesa za private sector harafu uweke rundo la Masharti nani aweke pesa zake mje kugawana?
 
PPP ni changamoto kwa sababu;
1. Wataalamu wa serikali hawapo huru, hutegemea wanasiasa ambao wengi ni opportunists wasio na utaalamu
2. Wageni wanajua hili ni shamba LA Bibi kwa sababu iliyotajwa juu.
3. Wapiga domo na nadharia ndiyo wengi serikalini na wenye madaraka, pia hujikomba kwa wageni hivyo kufanya wataalamu wenyeji kushindwa kujadili kwa facts.
4. Ili kuondoka hapa, serikali iwezeshe sekta binafsi ya wazawa, hiyo ndiyo iingie mikataba na makampuni ya kigeni.
5. Kwa hali halisi iliyopo, watumishi wengi wa serikali hawana uwezo wa kujadili kwa tija kwenye PPP (wengine watajilipua kama machangudoa tu).
 
Back
Top Bottom