dna

  1. uran

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kupima Vinasaba (DNA) Kirahisi

    Hii inafanya kazi kwa Watoto wa kiume umri kuanzia miaka 9 na kuendeleea... Chukua simu yako yenye face recognition, iwe Apple, Xiaomi n.k Mchukue mtoto wako set face yake kwenye simu yako. Lock [emoji357] simu then wakati wakufungua tumia face yako wewe isipofungua jua Asilimia za huyo mtoto...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo za COVID-19 haziathiri DNA kwa namna yoyote

    Kumekuwa na mining'ono kuhusu chanjo za COVID-19 kuathiri DNA. Lakini je, hili lina ukweli wowote? Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), hakuna chanjo ya COVID-19 inayoathiri au kuingiliana na DNA kwa namna yoyote ile UNICEF inaeleza kuwa chanjo hufunza seli...
  3. Kirchhoff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kosa kumuuliza Mwenzi kuhusu uhalali wa watoto wako?

    Hivi karibuni na labda tokea zamani kumekuwapo na wimbi la wazazi wa kike kubainika kuwa waliwabambikizia wazazi wakiume watoto wasio wao. Jambo hilo limekuwa likileta mtafaruku katika ndoa na familia nyingi pale inapobainika kuwa mtoto si wa baba mwenyenyumba. Hii ni kwa sababu hakika ni...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa Dunia ya Sasa DNA ni muhimu. Msipuuze!

    KWA DUNIA YA SASA "DNA" NI MUHIMU. MSIPUUZE! Na, Robert Heriel. Unajua kuna watu wanafikiri kizamani Sana, watu hawa hawakubali kuwa Dunia inabadilika. Watu hawa huitwa CONSERVATIVE, yaani wasiobadilika, au wasiokubali mabadiliko. Dunia ya Sasa ni tofauti na yazamani Kwa mambo mengi...
  5. safuher

    JamiiForums Tanzania Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

    Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako. Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika. Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa CCM, Mutungi, Polisi and allies: Chadema genome has already been incorporated into Tanzanians' DNA

    Press ya Mnyika imesema kuwa Mtungi na CCM wana mpango wa kuifuta Chadema. Mtungi, CCM, Polisi et al, fahamu kuwa Chembehai (DNA) ya CHADEMA imeshaunganishwa (INCORPORATED) na chembehai za watanzania. Hivyo hilo mnalotaka kulifanya mnajisumbua sana sana mtaleta matatizo na sintofahamu, in the...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

    Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa. Sasa je, tungepima za Yesu...
  8. Weza

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

    Habarini wapendwa Doctors na wakemia, Napenda kujua je inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae babaake ameshafariki ili kujua ni kweli aliekufa ni baba halisi pindi mtoto anapoletwa na mama ambae anadai alizaa na marehemu alipokua hai. Je, ni ndugu yupi anaweza kufanya hivyo vipimo? Je, ni bei...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hai: Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA aachiwa huru kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi baada ya DNA kuonesha Mtoto aliyezaliwa sio wake

    Mahakama ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imemwachia huru diwani wa zamani wa Masama Mashariki (CHADEMA), John Munisi, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Marire. Akisoma hukumu hiyo Leo, Hakimu Mkazi wa Wilaya...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kauli za wanawake wakiwa na hasira zatajwa kuwa sababu ya wanaume kupima DNA

    Mwanasheria wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Abeid Kafunda ametaja baadhi ya mambo yanayochangia wazazi wanaume kutaka kujua uhalali wa mtoto au watoto kwa kutumia kipimo cha vinasaba (DNA). Kafunda alilieleza HabariLEO ofisini kwake jijini Dar es Salaam kuwa mambo hayo kuwa ni...
  11. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Hii njia Unaweza kuidharau lakini ndio pekee ya kuwa na uhakika mtoto ni wako bila DNA

    Mzuka wanajamvi! Ni hivi unamchukua waifu ama demu wako mnaenda mbali ama maporini huko uliposhaanda na kujenga nyumba. Una hakikisha umenunua msosi wa nguvu na mahitaji yote yatakayowatosheleza miezi miwili. Pia huko mnapoenda unahakikisha kuna fensi na geti kali. Kabla hamjaingia humo...
  12. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Vipimo vya DNA vyaleta kilio kwa 'Wabeba boksi' wanaotaka kuleta familia zao ulaya

    Mzuka wanajamvi Katika sheria ya haki za binadamu zinaruhusu muamiaji katika nchi zingine uwe mkimbizi wa kisiasa ama unafanya kazi ama kuishi kiuhalali katika nchi nyingine kupeleka familia yake ambao uliiiaacha kwenye nchi yako. Unaruhusiwa kumleta mke na watoto chini ya mia 16 wako wa...
  13. demigod

    JamiiForums Tanzania Ni mapema kiasi gani unaweza mpima mtoto DNA?

    Habari wataalamu wa Masuala ya Afya. Ulizo langu ni kuwa, Je inawezekana kumpima mtoto DNA siku moja baada ya kuzaliwa? Binafsi sio mtaalamu wa masuala ya Afya nimeona ni vyema kutafuta jawabu lenye uhakika wa kitaalamu zaidi. Kama haiwezekani, basi ni muda upi unakuwa ni sahihi kiafya kumpima...
  14. Buza Kwa Mpalange

    JamiiForums Tanzania Maiti ya kichanga yafikisha siku 40 mochwari kusubiri DNA

    Mgogoro kati ya uongozi wa kituo cha afya Nguvu Kazi kilichopo Nyeburu, Chanika mkoani Dar es Salaam na wazazi umesababisha maiti ya mtoto mchanga kukaa mochwari kwa siku 40. Mgogoro huo ulianza baada ya mama wa mtoto huyo Maisha Ally kujifungua Septemba 7 kituoni hapo na kupewa taarifa kuwa...
  15. Rahma Salum

    JamiiForums Tanzania Je, wajua gharama za upimaji wa vinasaba (DNA) nchini Tanzania?

    Gharama za upimaji wa vinasaba kwa Tanzania ni shilingi laki 1 kwa sampuli ya mtu mmoja. Hii inamaanisha kuwa kwa sampuli za watu 3, yaani baba, mama na mtoto gharama itakuwa jumla ya shilingi laki 3.
  16. Rahma Salum

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Mamlaka kwenye mchakato wa upimaji wa Vinasaba vya Binadamu (DNA)

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, misingi ya Sheria ya Usimamizi wa Vinasaba namba 8 ya mwaka 2009 inaeleza umuhimu wa kushirikisha upande wa tatu Upande huo huweza kuwa Jeshi la Polisi, Mahakama, Mwanasheria au Ustawi wa Jamii Mamlaka hizo huandika...
  17. Rahma Salum

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu Mjamzito kupimwa Vinasaba vya Binadamu (DNA)?

    Sheria ya Usimamizi wa Vinasaba vya Binadamu ya Mwaka 2009, Sheria namba 8 kuanzia ibara ya 45 hadi 47 inaeleza taratibu za upimaji wa vinasaba kwa mama mjamzito, kijusi na mimba iliyotungwa nje (extracorporeal embryos). Vipimo vya vinasaba kwa mama mjamzito havitakiwi kufanyika ila pale tu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DNA Proves that Black people are only Original Human beings

    For years, Black people have been seen and treated as less humans and in some cases were even called monkeys, but recent DNA study proves that Black people are actually the only ones with 100% human DNA. A Harvard researcher has declared that Africans are the only race that has 100 percent...
  19. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Globalist Plot to Mandate COVID-19 Vaccine Exposes Shocking Satanic Conspiracy

    #KWA UKWELI HUU,WAKAZI WA DUNIA LAZIMA TUUNGANE KUPINGA CHANJO YA COVID-19 KWA NGUVU ZETU ZOTE. Here’s the main reason why the NWO globalist cabal is dead set on mandating a universal COVID-19 vaccination program: No, it has nothing to do with vaccine-induced immunity being the only way to...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is it True that Women retain the DNA of every Men they slept with?

    If you’ve spent virtually any time on the interwebs, and particularly lurked in the social media areas of this marvel of human ingenuity, you’ll no doubt at one point or another come across the fact that many women have living male cells hanging out in their bodies, including in their brains...
Back
Top Bottom