Wakati wa kuhamishia Afrika iwe Makao Makuu ya dini zote duniani umefika

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,310
12,607
Mungu kupitia COVID-19 ameonyesha kuwa makao makuu yake yako Africa. Inawezekana ameyahamishia Africa kutoka huko yalikokuwa awali au yalikokuwa yako Africa muda ila dunia ilipotoshwa na wajanja.

Hata Mimi nilikuwa nikishangaa na kumshangaa Mungu muumba, kwanini makao makuu ya dini yawepo kwenye mataifa ambayo watu wake wanapigana mabomu kila siku kugombea ardhi? Kwanini makao makuu yawe kwenye mataifa yaliyowafanya watu watumwa, mataifa ambayo viongozi wa dini wanakula kondoo hata wadogo, wanaogombea mafuta kila siku, wanaokubali ushoga, waliojilockdown eti kwasababu ya corona na kufunga nyumba zote za ibada lakini walioathiliwa Sana na COVID-19?.

Sio Mimi tu bali hata wewe, sisi na wao wamethibitisha kupitia COVID-19 kuwa makao makuu ya Mungu na mataifa matakatifu yako wapi japa duniani.

Pia wamegundua kuwa huenda wao wanaabudu kitu kingine kabisa sio Mungu muumba.

Africa ina sababu ya kujiamini Sasa kuliko muda mwingine wowote katika historia yake kuwa wanae Mungu yule wa ukweli na kutumainiwa. Ambaye bila yeye tungeshamalizwa na wenzetu weupe kupitia HIV, Malaria, TB, vyakula, misaada, nk ili tufe wooote ili wao warudi na wakae hapa Africa ambapo ndipo yalipo makao makuu ya Mungu na utajiri wote wa dunia.
 
Umeongea points za maana.
Ni wazungu wachache sana wanaowapenda waafrika ila asilimia kubwa hawatupendi kabisa.

Na hata wanaotupenda ni kwa hila tu, nyuma ya pazia kunakuwa na nia ovu juu ya Africa.

Hata suala la imani ya kweli imebakia Africa. Mheshimu sana mtu anayeshikiria imani wakati huo huo ni masikini wa kutupwa. Kitu ambacho wenzetu hawawezi!

Ni neema ya Mungu tu iko juu yetu. Lasivyo tungeshapukutika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaacha lini kupokea misaada kutoka kwa watu wasiowapenda ?
 
Ngoja tukamtag papa huko twita huu ujumbe tuone reaction yake

Halafu msikiti mkuu sawa na ule wa maka ujengwe kibiti

Kanisa kuu la romani lijingwe Bukoba au Moshi

Anglikana lijengwe kigoma

Tuanze kuwa na watakatifu kama

Mtakatifu Wanjara au Bhoke
Mtakatifu Mwaenda n.k kama ilivyo kwa watakatifu wengine huko ulaya

Au vipi
 
Mungu kupitia COVID-19 ameonyesha kuwa makao makuu yake yako Africa. Inawezekana ameyahamishia Africa kutoka huko yalikokuwa awali au yalikokuwa yako Africa muda ila dunia ilipotoshwa na wajanja.

Hata Mimi nilikuwa nikishangaa na kumshangaa Mungu muumba, kwanini makao makuu ya dini yawepo kwenye mataifa ambayo watu wake wanapigana mabomu kila siku kugombea ardhi? Kwanini makao makuu yawe kwenye mataifa yaliyowafanya watu watumwa, mataifa ambayo viongozi wa dini wanakula kondoo hata wadogo, wanaogombea mafuta kila siku, wanaokubali ushoga, waliojilockdown eti kwasababu ya corona na kufunga nyumba zote za ibada lakini walioathiliwa Sana na COVID-19?.

Sio Mimi tu bali hata wewe, sisi na wao wamethibitisha kupitia COVID-19 kuwa makao makuu ya Mungu na mataifa matakatifu yako wapi japa duniani.

Pia wamegundua kuwa huenda wao wanaabudu kitu kingine kabisa sio Mungu muumba.

Africa ina sababu ya kujiamini Sasa kuliko muda mwingine wowote katika historia yake kuwa wanae Mungu yule wa ukweli na kutumainiwa. Ambaye bila yeye tungeshamalizwa na wenzetu weupe kupitia HIV, Malaria, TB, vyakula, misaada, nk ili tufe wooote ili wao warudi na wakae hapa Africa ambapo ndipo yalipo makao makuu ya Mungu na utajiri wote wa dunia.
Dini walizotuletea si kweli, ni maujanja mf. Utatu mtakatifu, ufufuko, hatukuhoji tulipokea tu kama mazuzu. Ni wakati wa kushtuka na kufuata Mungu wetu ambae hajagawanyika
 
Mitume wote ni wazungu na waarabu, malaika anatambuliwa kuwa mweupe, shetani anatumbuliwa kama mweusi.. 😂😂
 
Mtaacha lini kupokea misaada kutoka kwa watu wasiowapenda ?
Msaada unadumaza, na hiyo sio misaada bali wanarudisha kiduuuchu wa kile walichotupora kwa nguvu na kinyemela kwa miaka mingi. Kaka mtu kavuna tani na nati za madini, ndovu, magogo, wanyama, watumwa, nk kwa miaka na miaka halafu unachekelea kimsaada Cha....
 
Mungu kupitia COVID-19 ameonyesha kuwa makao makuu yake yako Africa. Inawezekana ameyahamishia Africa kutoka huko yalikokuwa awali au yalikokuwa yako Africa muda ila dunia ilipotoshwa na wajanja.

Hata Mimi nilikuwa nikishangaa na kumshangaa Mungu muumba, kwanini makao makuu ya dini yawepo kwenye mataifa ambayo watu wake wanapigana mabomu kila siku kugombea ardhi? Kwanini makao makuu yawe kwenye mataifa yaliyowafanya watu watumwa, mataifa ambayo viongozi wa dini wanakula kondoo hata wadogo, wanaogombea mafuta kila siku, wanaokubali ushoga, waliojilockdown eti kwasababu ya corona na kufunga nyumba zote za ibada lakini walioathiliwa Sana na COVID-19?.

Sio Mimi tu bali hata wewe, sisi na wao wamethibitisha kupitia COVID-19 kuwa makao makuu ya Mungu na mataifa matakatifu yako wapi japa duniani.

Pia wamegundua kuwa huenda wao wanaabudu kitu kingine kabisa sio Mungu muumba.

Africa ina sababu ya kujiamini Sasa kuliko muda mwingine wowote katika historia yake kuwa wanae Mungu yule wa ukweli na kutumainiwa. Ambaye bila yeye tungeshamalizwa na wenzetu weupe kupitia HIV, Malaria, TB, vyakula, misaada, nk ili tufe wooote ili wao warudi na wakae hapa Africa ambapo ndipo yalipo makao makuu ya Mungu na utajiri wote wa dunia.
Ni wazi kabisa kuwa hujasoma vitabu vya dini, hasa agano LA kale. Nenda kasome. Kuna vita na mauaji mengi sana yalifanyika tena kWa support ya Mungu mwenyewe.
Kina Suleimani,Daudi, na wafalme wengine walikuwa wanamuuliza Mungu kwanza he niende kupigana utawatia adui mikononi mwangu?
Anaambiwa ndio, na akiend anaua wanaume wore anachukua wanawake na watoto na mji anauchoma moto.

Watu walikuwa wanavamia mji na kuua wanaume wote, pengine na watoto wote na wanawake.
Hat yule dogo alikata kichwa cha Goliati akaondoka nacho, kuna ukatili unaozidi huo? Yote haya yalikuwa ni maagizo na matakwa ya Mungu ili kupeleka ujumbe kWa watu wake.
Waafrika baba yao alilaaniwa kwa sababu hakuwa na heshima
Kwa hio labda muendelee kuabudu mizimu lakini hwuezi kuihamisha Al -Aqsa ije ikae Dodoma au Somalia
 
Ngoja tukamtag papa huko twita huu ujumbe tuone reaction yake

Halafu msikiti mkuu sawa na ule wa maka ujengwe kibiti

Kanisa kuu la romani lijingwe Bukoba au Moshi

Anglikana lijengwe kigoma

Tuanze kuwa na watakatifu kama

Mtakatifu Wanjara au Bhoke
Mtakatifu Mwaenda n.k kama ilivyo kwa watakatifu wengine huko ulaya

Au vipi
Watakatifu tayari tuko nao lakini ama wao hawawatambui au sisi wenyewe hatuwathamini. Mfano, mtu Kama Mandela, Nyerere, Nkruma, JPM, Rumanyika, nk utamkosaje matakatifu humo? Africa ilikuwepo ipo na itakuwepo tulisgindwa tu kuwatangaza wakoloni walituwahi.
 
Je kunatofauti kati ya mwenye heri na mtakatifu?
 
Dini walizotuletea si kweli, ni maujanja mf. Utatu mtakatifu, ufufuko, hatukuhoji tulipokea tu kama mazuzu. Ni wakati wa kushtuka na kufuata Mungu wetu ambae hajagawanyika
Wewe una akili aisei!!!, Walituletea dini zinaotuambia "usiibe" lakini wakoloni walikuwa wanatuibia na kupeleka kwao. Wakoloni walikuwa wanasali kwenye makanisa yao hayohayo yanamohubiri usiibe. Wakishamaliza kusali wanakwenda kutafuta watumwa, dhahabu , meno ya tembo, mbao, nk kupeleka kwao.

Walikuwa wanahubiri kingine na kufanya kingine.
 
Ni wazi kabisa kuwa hujasima vitabu vya dini, has a agano LA kale. Nenda kasome. Kuna vita na mauaji mengi sana yalifanyika tena kWa support ya Mungu mwenyewe.
Watu walikuwa wanavamia mji na kuua wanaume wrote, pengine na watoti wore na wanawake.
Hat yule dogo alikata kichwa cha Goliati akaondoka nachi, kuna ukatili unaozidi huo? Yote haya yalikuwa ni maagizo n matakwa ya Mungu ili kupeleka ujumbe kW watu wake.
Waafrika baba yao alilaaniwa kwa sababu hakuwa n heshima
Kwa hio labda muendelee kuabudu mizimu lakini huezi kuihamisha All Aqsa ije ikae Dodoma au Somalia
Tunataka Kaaba au al-Kaʿbah al-Musharrafah iwekwe hapo chato halafu pamba road iwe ndio Jericho road

Huku hapo sarenda bridge ndio liwe eneo la kihistoria safina ya nuhu ilikotua baadw ya garika halafu yale majengo pacha paitwe sehemu kulikokuwana mnarawa babeli
 
Ni wazi kabisa kuwa hujasoma vitabu vya dini, hasa agano LA kale. Nenda kasome. Kuna vita na mauaji mengi sana yalifanyika tena kWa support ya Mungu mwenyewe.
Watu walikuwa wanavamia mji na kuua wanaume wote, pengine na watoto wote na wanawake.
Hat yule dogo alikata kichwa cha Goliati akaondoka nacho, kuna ukatili unaozidi huo? Yote haya yalikuwa ni maagizo na matakwa ya Mungu ili kupeleka ujumbe kWa watu wake.
Waafrika baba yao alilaaniwa kwa sababu hakuwa na heshima
Kwa hio labda muendelee kuabudu mizimu lakini hwuezi kuihamisha Al -Aqsa ije ikae Dodoma au Somalia
Wewe uko hoi kabisa bin taaban, unaongea kitabu kilichoandikwa na akina Nani?
 
Back
Top Bottom