Tarehe 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hofu yangu ni mambo yanayoweza kujitokeza siku hiyo kuanzia saa1 jioni giza likiishaingia. Huenda kukawa na vurugu kubwa katika vituo vya kupigia kura maana kutakuwa na kunyang'anyana kura, kubadilisha matokeo...