dini

  1. comrade_kipepe

    Dini zote zimeletwa tu, lakini ya hawa wenzetu sijui imeletwa vipi?

    Yani eti inasambaa taarifa mtandaoni kua trump anataka kuwashughulikia boko haram ambalo ni jambo zuri kuwashughulikia magaidi lakini kuna waislam eti wanasema 'mbona alikua hawasaidii wakristo wa Palestinea! Eti 'muoga huyo anaogopa waislam Watu wanaoua na kuchoma makanisa na kubaka watoto...
  2. Lexus SUV

    Umeshawahi ishi na rafiki au ndugu mlokole mpenda dini ki ghetto ghetto pindi mkijitafuta?

    Heri ya sikukuu za mwisho wananchi wa jamhuri ya muungano wa jamiiforums😳😳😳😳😳😳😳😳😳. Povu ruksa.. Je, umewahi kuishi na rafiki au ndugu mcha Mungu hatari… Wale wa maombi , full package? 😅 Asubuhi anakuamsha kwa maombi, mchana mnapambanaji na maisha, Usiku wakati wa kulala anakulaza na sala...
  3. Eli Cohen

    Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
  4. M

    Azam tv acheni udini!king'amuzi chenu mmejaza Channel nyingi za dini moja kwanini

    Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la king'amuzi tv kujaza channel nyingi za dini upande mmoja linanikera Azam tv mmejaza channel nyingi sana za...
  5. The Watchman

    Simbachawene: Serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa dini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari...
  6. Fbn

    Uislamu sio tatizo ila tatizo umeingia na madhehebu kujifichia kwenye dini

    Ndugu zangu waislamu hawana kosa ila wanashindwa kuelewa kuwa dini yao ina madhehebu. Madhehebu ni kwamba watu watakuwa wakitumia imani moja ila sheria,katiba na ufikiri mkawa tofauti. Tumeona kwenye ukristo sasa mpaka wengine wanauza maji na udongo kwa kisingizio ni wakristo wakijiita dhehebu...
  7. Luca Paguro

    Hata ChatGPT inakataa kwamba watu hawamchukii Samia kisa dini

    Wote mnajua jinsi ChatGPT inavyojaribu kuwa neutral kwenye mijadala. Lakini cha ajabu imemkataa Samia waziwazi, na kudai dini sio sababu ya Samia kuchukiwa SWALI: Mimi ni Rais Samia, Watanzania wengi hawanipendi. Nahisi wananichukia kwa sababu mimi ni Muislam, Mzanzibari na ni mwanamke...
  8. Huihui2

    Pope Leo XIV: Dini ziepuke kutumia imani kuhalalisha vurugu

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao. Leo, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka nchini Marekani, ameyasema hayo kupitia ujumbe wa kurasa nne...
  9. Q

    Wameua Uhuru wa Vyombo vya Habari, wameua Vyama vya Siasa, wanataka kuua Madhehebu ya Dini na taasisi za Elimu.Tukatae

    Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma. Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
  10. Sir Matics Leokas

    Dini, Siasa, na Jinsi Zinavyodhibiti Dunia

    Dini na siasa ni mifumo yenye nguvu kubwa katika kuongoza maisha ya watu. Vyote viwili vinaongoza fikra, maamuzi, na maadili ya jamii kwa njia ambazo hazionekani moja kwa moja. Siasa hutumia dini kujenga utii na uhalali. Wanasiasa wengi huonekana kwenye ibada ili kupata ushawishi wa kiroho na...
  11. DuaZaMama

    Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yalianza miaka 3 nyuma

    Ni aibu kubwa na unafiki Kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yameanza miaka mitatu nyuma, hii ni chuki ya udini.
  12. comrade_kipepe

    Nipo mbioni kufungua dini yangu (imani mpya ya kuabudu)

    Kitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600. Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa kweli (sio Mungu kiziwi asieshughulika na matatizo ya watu) UTamuabudu Mungu wa asili yako (sio...
  13. useyourcommonsensetothink

    PostGE2025 Kama hamnipendi kwa sababu ya dini, si mniache nimalize mda wangu

    Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions...
  14. hamis77

    Rasmi nimehamishia ibada nyumbani sababu ya unafiki wa viongozi wa dini

    Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga. Maandiko yanasema👇👇 “Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9) “Jifundisheni...
  15. H

    PostGE2025 Serikali iachane na kukumbatia dini kama silaha ya msaada itaiponza

    Serikali ya Tanzania kukumbatia dini hasa viongozi wa kikristo na kiislam kutaiponza kwani hawa ndiyo chachu ya anguko la HAKI kwa kufanya kinyume na wanayoyahubiri wamekuwa wezi,vibaraaka,mafisadi,wango,matajiri,nk kwa maslahi yao na viongozi mafisadi. Hawana hekima na busara za kutumika...
  16. Mohamed Said

    Kitendawili cha BAKWATA na Serikali BAKWATA na Waislam 1968 - 2024

    Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika. Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya Bibi Titi Mohamed na Julius Nyerere kuhusu EAMWS. Haukupita muda mrefu Baraza la Wazee wa TANU...
  17. ERTUGRUL BEY

    Hii ndiyo huenda ikawa sababu ya mgongano wa viongozi wa dini

    My people, Haya yanayoendelea sasa ni kiporo cha mambo ya nyuma ila bahati mbaya kiporo hiki kinapashwa na ubwabwa wa leo,ndio maana tunaona huu msuguano ambao unaendelea hivi Sasa Ukiangalia historia huko nyuma TEC imekuwa ikilaumiwa kama kizingiti cha baadhi ya mambo ya Waislamu au haki zao...
  18. The Watchman

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Kazi ya Viongozi wa Dini ni kuombea mvua. Mengine tunajipendekeza tu!

    Kazi ya Viongozi wa Dini ni kuombea mvua. Mengine tunajipendekeza tu! Taifa haliumwi: Uponyaji wa nini
  19. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  20. H

    Watanzania wakiitaka kupata HAKI ya kweli wasiwategemee wanasiasa na viongozi wa dini

    Wanasiasa wote duniani ni wachumia tumbo wapo kwaajili ya matumbo yao na famila zao na ndiyo wasaliti wakubwa kwa jamii zao. Viongozi wa dini na waumini wao ndiyo wasaliti wakubwa wa wananchi kwani wamesaliti UAFRIKAWAO na ASILI ZAO na kufuata imani,mila na desturi za WAKOLONI ambao ni warabu...
Back
Top Bottom