dini

  1. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nipo mbioni kufungua dini yangu (imani mpya ya kuabudu)

    Kitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600. Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa kweli (sio Mungu kiziwi asieshughulika na matatizo ya watu) UTamuabudu Mungu wa asili yako (sio...
  2. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama hamnipendi kwa sababu ya dini, si mniache nimalize mda wangu

    Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions...
  3. hamis77

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimehamishia ibada nyumbani sababu ya unafiki wa viongozi wa dini

    Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga. Maandiko yanasema👇👇 “Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9) “Jifundisheni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali iachane na kukumbatia dini kama silaha ya msaada itaiponza

    Serikali ya Tanzania kukumbatia dini hasa viongozi wa kikristo na kiislam kutaiponza kwani hawa ndiyo chachu ya anguko la HAKI kwa kufanya kinyume na wanayoyahubiri wamekuwa wezi,vibaraaka,mafisadi,wango,matajiri,nk kwa maslahi yao na viongozi mafisadi. Hawana hekima na busara za kutumika...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha BAKWATA na Serikali BAKWATA na Waislam 1968 - 2024

    Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika. Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya Bibi Titi Mohamed na Julius Nyerere kuhusu EAMWS. Haukupita muda mrefu Baraza la Wazee wa TANU...
  6. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo huenda ikawa sababu ya mgongano wa viongozi wa dini

    My people, Haya yanayoendelea sasa ni kiporo cha mambo ya nyuma ila bahati mbaya kiporo hiki kinapashwa na ubwabwa wa leo,ndio maana tunaona huu msuguano ambao unaendelea hivi Sasa Ukiangalia historia huko nyuma TEC imekuwa ikilaumiwa kama kizingiti cha baadhi ya mambo ya Waislamu au haki zao...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Kazi ya Viongozi wa Dini ni kuombea mvua. Mengine tunajipendekeza tu!

    Kazi ya Viongozi wa Dini ni kuombea mvua. Mengine tunajipendekeza tu! Taifa haliumwi: Uponyaji wa nini
  8. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wakiitaka kupata HAKI ya kweli wasiwategemee wanasiasa na viongozi wa dini

    Wanasiasa wote duniani ni wachumia tumbo wapo kwaajili ya matumbo yao na famila zao na ndiyo wasaliti wakubwa kwa jamii zao. Viongozi wa dini na waumini wao ndiyo wasaliti wakubwa wa wananchi kwani wamesaliti UAFRIKAWAO na ASILI ZAO na kufuata imani,mila na desturi za WAKOLONI ambao ni warabu...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makundi ya Kidini Barani Afrika

  11. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Tusiruhusu Kamwe Kugombanishwa Kwa Tofauti Za Dini Zetu

    My people, Katika kipindi hiki muhimu cha kihistoria, napenda kutoa pongezi za dhati kwa Watanzania wote kwa kuonyesha umoja, mshikamano na uthabiti katika kukataa udini. Kwa mara nyingine, mmethibitisha kuwa tuna nguvu kubwa katika kuwa kitu kimoja, bila kujali dini, kabila au itikadi zetu...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa maadili ni ishara kuwa taasisi ya dini imeanguka

    Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utashuhidia lugha chafu zisizo na staha pamoja na matusi mazito ya nguoni. Hii ni ishara ya kuwa ushawishi wa taasisi zetu za dini kwa jamii umeshuka sana na upo ICU. Ina maana watoto hawana mafunzo ya chuo(madrasa) au mafundisho na hivyo hawaoni kutenda...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kinacho tafakarisha ni kuwa mtu wa kwanza kutufukishia hizi dini alikuja kwa njia ya kutunyonya na kututumikisha ila sasa leo tunavyo zishadadia 😔

    Leo tupo tayari kuua kwa sababu ya dini hizi ila babu yako alilazimishwa tena kwa mabavu na damu ili afate hio dini uliyo nayo sasa hivi sio kwamba ibadirishe maisha yake for good ila aendane sawa na master wake. WE CAN DO BETTER.
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z sio kizazi cha wafia dini

    Kuna kitu lazima mamlaka zijifunze leo na hata kesho kea manufaa ya Dada na ya baadae Gen Z sio kizazi cha wafia dini.. In fact hawako serious kabisa na dini.. Wana tafsiri za kushangaza kuhusu dini, na wameshuhudia mambo mabovu na ya kutisha kwenye dini kuliko kwenye sehemu ambazo si za dini...
  15. This is...

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini hasa wa kiislam hii inawahusu

    Tafadhali sikilizeni hii. Na huu ndio uhalisia wa maisha mtaani Tanzania yote. Nb: Viongozi wa Kiislam jitafakarini sana. Kama ni bahasha na uchawa basi mnajidhalilisha.
  16. gijos

    JamiiForums Tanzania Tanzania: waislamu tukemee upuuzi wa kuitumia dini kuwashambulia viongozi wa kanisa katoliki TEC

    Kumetokea wimbi hatari la vikundi vya watu wachache wanaojiita waislamu au viongozi wa waislamu, lakini wanachofanya hakina uhusiano wowote na Uislamu. Vikundi hivi vinatumiwa na watawala na mitandao ya kisiasa kueneza chuki, kutukana na kushambulia Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) kwa sababu...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kuhalalisha mauaji ya aina yoyote, suala la mauaji si suala la dini ya mwenzetu kama wanavyodai hao masheikh ubwabwa. Ni suala la kila mmoja

    Nimeona clip ya masheikh ubwabwa wamepandwa na jazba wakitaka watu wasiandamane na wale watakaoandamana watawakata vichwa! Sijaona polisi wakitoa tamko kulaani au kukamata watu wanaotishia kuua watanzania ambalo kimsingi ni kosa la jinai. Wamesema wanatuma wenzao 3500 kwenye misikiti ili...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Rais, Bunge, Mahakama, Polisi, jeshi na viongozi wa dini wote wametusaliti. Bora tujipambanie wenyewe

    Ni dhahiri watanzania kwa sasa ni yatima ni wapweke hawana msaizidizi wa kuwasemea wala kuwasaidia ni bora tujipambanie wenyewe maana sisi ndio wakazi wa nchi hii ni yetu hii wengine hao wanajiandalia makazi nje ya nchi hivyo hata wakiharibu hawajali
  19. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano huwa hayazimwi kwa vitisho vya aina yoyote ile, siyo jeshi wala dini!

    Naona walioko hapo juu mnaendelea kufanya kosa lile lile la kabla 29.10.2025. Kabla ya hayo maandamano mlitumia vyeo vyenu vya Uamiri Jeshi Mkuu, Ukuu wa Mikoa, U-IGP nk kuwatishia waandamanaji, kwamba wakiandamana watakiona cha moto. Mkaanzisha na kupitisha maandamano ya Polisi na Wanajeshi...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Nimeupenda utulivu wa wakatoliki na hiyo ndiyo dini ya haki ya mwenyezi mungu

    Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
Back
Top Bottom