dini

  1. JamiiForums Tanzania Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

    Nimeona wameongeza combi nyingi sana kwenye kwenye elimu ya advance jambo zuri ila lina ubaya wake pia Niende kwenye mada nchi yetu sio ya kidini yaani haifungamani na dini yeyote ile sasa serikali kwanini imeweke masomo ya dini ya kiislam na kikristo kwenye mtaahala ni kurudisha...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

    1. Mzize - Mchezaji wa Yanga Ukristo kwenda uislam 2. P Funk - Producer Ukristo kwenda uislam 3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira Uislam kwenda Ukristo 4. Barnaba - Msanii wa Muziki Ukristo kwenda uislam 5. Mwijaku - journalist infuencer Ukristo kwenda uislam 6. Young killer -...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni Mungu ndio anatuadhibu kwa kuruhusu Manabii feki kuzidi kutudanganya kwa kuwa tunawatafuta wao na dini zao zaidi ya tunavyomtafuta yeye?

    Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu. Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda wowote wanaweza kuwa wahanga wa hasira ya Mungu. Kwa kweli tumewageukia wao kutokana na tabu zetu...
  4. JamiiForums Tanzania Dini haziruhusu kuwa tajiri

    Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

    Je ni busara kutumia handle ya wizara ya afya kutoa ujumbbe wa kidini? WAZAZI NA WALEZI WASIMAMIENI WATOTO KUSOMA DINI Na. WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewaasa wazazi na walezi nchini kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ya Dini ikiwemo kuwasomesha Qur’an sambamba na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Rushwa katika Taasisi za Dini hutokea wakati wa Uchaguzi wa Viongozi

    Rushwa katika Taasisi za Kidini ipo hasa katika Uchaguzi wa Viongozi. Wanaoenda kugombea ni watu wanaotoka katika Jamii ambayo inaelekeza kwamba huwezi kuchaguliwa bila kutoa Hongo, hivyo analazimika kutoa hela ili achaguliwe. Wakati huo huo Mgombea mwenza naye hupata taarifa kuwa Mwenzako...
  7. JamiiForums Tanzania Labda ni dini zetu ndio zinazotuchanganya na kupotosha kuhusu Mungu

    Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu. Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani yao zaidi huku wakituambia bila wao hatutamfikia Mungu basi hawako tayari kukupa nafasi ya kuweza...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi waokoa watoto 251 na kukuta miili 16 iliyozikwa kwa siri katika dhehebu tata Zimbabwe

    Dhehebu lenye mlengo wa dini ya kikristo laua watu huko zimbabwe , Wengine 251 waokolewa Haya madhehebu yanamaliza watu ukiachana na wale wa kenya waliokufa mia mbili na kitu. --- Watoto waliookolewa "walikuwa wakitumiwa kufanya shughuli mbalimbali kwa manufaa ya kiongozi wa dhehebu", taarifa...
  9. JamiiForums Tanzania Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

    Mungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana. Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu. Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu? Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Myles Munroe: Dini siyo suluhu ya matatizo ya binadamu

    Huyu ni Dkt. Myles Munroe Anaelezea madudu yaliyofanywa na dini. Ukristu na Uislam. Watu wenye dini ndio waovu kuliko viumbe wote dunian https://youtu.be/rJvQ-eGOhkw?si=L9GSvl1Hhn1GfmXi
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake muolewe. Wanawake waliofanya mambo makubwa katika Biblia walikuwa ni wake za watu

    Ni Ibris ndio anakudanganya eti ukiwa siglemama ndio utafanikiwa, utakuwa huru na utajitawala. Wale ambao kama mimi wameruhusu akili zao ziathiliwe na Biblia watajua wanawake wenye ushawishi, matajiri na wanawake wa maana wenye adabu walikuwa ni wake za watu, sio Masingle mama au wanakejeli...
  12. JamiiForums Tanzania Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

    Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja. Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kwanini unaamini dini unayoiamini

    Swali la MSINGI; IN THE FIRST PLACE, KWANINI UNAAMINI KATIKA DINI UNAYOIAMINI? Kabla hujaendelea kusoma be honest with yourself na ujijibu🙏 Ok tuendelee. Kila mtu kwa mujibu wa imani yake amekua akijenga HOJA NZITO kueleza “UKWELI” na u HALALI wa Mungu wake huku akinukuu maandiko ya dini...
  14. JamiiForums Tanzania Tukutie Maji l (Nibadili Dini)

    Jana Mida ya Saa 8. Nilitoka Nje ya sehemu Yangu ya kibiashara(Ninapotafutia Ridhiki) Kuna Watu walikua wanacheza Draft wanachangamsha Akili, Miongoni mwao alikuepo mzee mmoja ambae ni kiongozi ktk msikiti fulani. Mara Nyingi huwa nafanya Baadhi ya Mambo ktk huo msiki ikinipendeza kufanya, na...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Mtanzania aliyefungwa miaka 10 Iran kisa kafuata huko mambo ya dini

    Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake. https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa?

    Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa? Mfano mwanandoa akaamua kubadili dini na kuwa Muislam, na akaamua kufuata sunna ya Kiislam akaongeza mke wa pili, hii imekaaje kaaje?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wazo lenye akili: Bashe ajiuzuru ni kwa kuendesha ofisi ya umma kwa misingi ya dini

    Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu? Hili taifa ni secular. Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani? Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje? Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini likifika suala la kuzungumzia imani za dini zina makosa fulani watu ufahamu unapungua

    Tuna fahamu asili za dini zipotoka kuna vitu vilikuwa havipo ila tuna lazimishwa kuvitambua vitu vyao ambavyo sisi huku havipo. Mfano chakula kama tende, kitimoto, ngamia na n.k. NChi ya saudia dini ilipotokea ni jangwa na nguruwe kuishi jangwani ni ngumu zaidi ya ngamia. Kama hizi dini mbili...
  19. JamiiForums Tanzania Chama cha haki na kilichokubalika kwa Mungu, mtu, au taasisi kupitia dini akipinge, ni kujichosha tu! CHADEMA ina kibali bwana!

    Chadema inayo mambo madogo madogo ya kujirekebisha hasa kupitia wafuasi wake ambao hujikuta wakitoa maneno yaliyokosa hekima, busara, wala mwelekeo huo wa kukubalika Niliandika uzi uliotambulikana kuwa, Chadema ni chama cha wahuni? Katika maelezo yangu nilitahadharisha kauli za wafuasi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini ndiyo chanzo cha uvunjifu wa maadili kwenye nyumba za ibada

    Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana. Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni muda wa sifa. Wimbo uliokuwa unaimbwa umeniacha mdomo wazi. Cha kushangaza waumini wanaimba vizuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…