Nini sababu ya dini ya Kikristo kuwa na madhehebu mengi ukilinganisha na dini nyingine?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,947
10,813
Ni nini hasa kinafanya dini ya Kikristo kua na mgawanyiko mkubwa wa madhehebu kuliko dini ya Kiislam na dini nyingine "yaani madhehebu ni mengi kuliko kawaida" komenti bila kukosoa dhehebu lolote
 
Ni nini hasa kinafanya dini ya Kikristo kua na mgawanyiko mkubwa wa madhehebu kuliko dini ya Kiislam na dini nyingine "yaani madhehebu ni mengi kuliko kawaida" komenti bila kukosoa dhehebu lolote
waislam wenyewe pia wana madhehebu pia
sababu ni ile ile, shetani hapendi umoja. hivo anatumia watu wake kuanzisha vitu vinavyoonekana kama ukristo ili kuvuruga ukristo halisi
mfano ukatolik ulianzishwa mwaka 321 baada ya Kristo, lakini ukiliangalia vizuri hakuna misingi ya ukristo
 
Ni nini hasa kinafanya dini ya Kikristo kua na mgawanyiko mkubwa wa madhehebu kuliko dini ya Kiislam na dini nyingine "yaani madhehebu ni mengi kuliko kawaida" komenti bila kukosoa dhehebu lolote
Njaa kali sana Chifu, ila ishi ktk Biblia kama ilivyotabiri;
Mathayo 24. 7:16-21, Isaya 8:19-20, 1 Yohana 4:1-5, Daniel 7, 14, Ufunuo 12, 14. 22:18-19.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Hiyo ni kutimiza lile andiko la enendeni ulimwenguni mwote mkahubiri injili. Watenda kazi wa injili wanatakiwa wasambae, sio kurundikana sehemu moja. Walipojazwa roho mtakatifu wakiwa yerusalem waliambiwa wasitoke humo mpaka wajazwe ndio wasambae. Pamoja na kuwa na madhebu mengi ukristo ni mmoja
 
Ni nini hasa kinafanya dini ya Kikristo kua na mgawanyiko mkubwa wa madhehebu kuliko dini ya Kiislam na dini nyingine "yaani madhehebu ni mengi kuliko kawaida" komenti bila kukosoa dhehebu lolote
Neno dhehebu asili yake ni neno la kiarabu "dhahaba" lenye maana "alikwenda", na madh-hab maana yake ni mwenendo. Hivyo madhehbu ni mienendo ya wanazuoni wa imani fulani katika taratibu zao za ibada hasa kanuni au sheria maalum kwa ufahamu na mitazamo yao kutokana na maandiko ya vitabu vyao vya imani.
 
Back
Top Bottom