Vichekesho
JF-Expert Member
- Mar 28, 2024
- 546
- 1,082
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.
Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki tangu tarehe 19 na leo ni tarehe 22 bado hawajazika, wana aga tu, kesho ndiyo watazika.
Nataka mashehe wangu waje hapa waseme ni nani anaujua uislamu zaidi kati yao na hawa majamaa, ikumbukwe kuwa huyu mzee alikuwa kiongozi wa kidini tena yule mkereketwa, na Iran wana mpaka mchinjaji wa taifa anayechinja watu wanaokana uislamu na kufanya makosa mengine kinyume na sharia.