Kwa mahesabu ya Biblia mpaka sasa Dunia ina miaka 6000. Kwa maana hiyo, tukianza na dini kongwe inaonyesha kuwa kuna miaka 1000 watu waliishi bila dini. Hawakuwa na hizi dini ila walimuabudu Mungu na shetani. Miaka 1000 baadaye hatimaye dini ya kwanza ikaanzishwa, hii ilianzishwa mwaka 5000...