AliKiba:
huyu jamaa ni mwanamuziki mzuri kwakweli. anafanya kazi kivyake na hana shobo za kijingajinga. anatoa nyimbo anapoona inafaa kufanya hivyo. anapondwa kweli humu JF na watu wanaojiita ni magreat thinkers. ukiziangalia sana sababu zenyewe za kupondwa kwake, utagundua kuwa shida ni wivu...