Haji Manara " Bugatti" ameandika
"Shughuli ilikuwa hapa, Dua alizosoma Nassib sio za nchi hii, hakuacha Dua hadi helicopter ilipotua, sasa wakati chuma kinakata kona kuingia kwa Mkapa,, Nassib aliwataja watoto wake wote majina,, nikasikia kina latifa na Nilan Wanatajwa kiarabu, jamaa ndio maana...