diamond

  1. Ishu ya baba wa msanii Diamond gazeti la ijumaa lililipoti 2012

    ojs entertainments We do Post entertainment newz in this blog, your welcome JUL 16 BABA WA DIAMOND MAPYA YAIBUKA SIKU chache baada ya baba mzazi wa kachala wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnum’, mzee Abdul Juma kufunguka kuwa mwanaye huyo hamthamini toka amepata...
  2. Diamond anakosea sana...

    Nimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul.. Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa Chochote Mzee Abdul alichompa hata kama ilikuwa ni malezi ya siku moja tu.. Diamond alipaswa sasa...
  3. Familia ya Diamond ilivyotawala entertainment industry ya bongo

    Pengine kwa wengine inaweza kuonekana familia ya ajabu au familia iliyokosa maadili mema ya kitanzania. Kwa lugha rahisi ni typical familia ya kiswahili. Lakini kwa watu walio kwenye industry ya burudani haswa media wanajua ukubwa wa hii familia kwa sasa. Content yao ni mali kama Almasi...
  4. A

    Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Habar wanaJF, Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu. Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange. Haya...
  5. Gazeti la Congo laongelea uhusiano wa Diamond na baba

  6. Dah! Huu wimbo wa Pepsi alioimba diamond ni balaa

    Huyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei. Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa matangazo Hili ni la pili baada ya lile la Cocacola la kuonja msisimko. Mwenye nalo la Pepsi atupie hapa
  7. Hatimaye Millard Ayo aanza kuweka taarifa kuhusu Diamond kwenye kurasa zake

    Ni kipindi kirefu sana millard ayo aliacha kupost contents za Diamond, Ishu hii iligeuka fursa kwa wenye channel za youtube maana milard alipanua wao wakaingiza, kusema kweli ilitoa fursa kwa youtube channels nyingine kupata subscribers na views wengi kwa habari za wcb Matokeo yake ni channels...
  8. Diamond kwa sasa hana Baba, ukweli mchungu

    DIAMOND KWA SASA HANA BABA, UKWELI MCHUNGU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Tahadhari: Makala hii inaweza isimfae kila mtu, kwani lugha iliyotumika humu inaweza kuwa kali na yenye kuumiza kwa baadhi ya watu. Hivyo ikiwa wewe unajijua sio mvumilivu wa lugha ngumu, maneno makali basi nakusihi ishia...
  9. H

    Harmonize amshukuru Diamond

    Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kutoa appreciation yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo. NB: Kiukweli jamaa kafanya Jambo zuri kama alichokiandika kinatoka moyoni maana watu wa Mtwara hawaaminiki...
  10. Harmonize amtumia Diamond Platinumz ujumbe wa mwaka mpya kuhusu umuhimu wa wazazi

    Wasalaam wana jamvi Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021 Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa. namnukuu anasema "Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia Wapende wote Sio wa kike anacheka wa...
  11. Ushauri kwa Diamond: Usitoe ngoma nyingine mpaka Juni 2021

    Hii ngoma yako " WAAH " ni ngoma kubwa sana. Subiri mpaka ifikishe views 1b ndo ufanye ngoma nyingine. Am sure as hell by the time inafika june WAAH itakuwa na viewers bilioni moja. " Papa Mobimba yooo, papa mobimba yooo x 2 " " darisalama ngwasuma"
  12. Diamond naona anatuwakilisha vyema sana

  13. U

    Show ya Diamond Platnumz yajaza watu 100,000 Sudan

    Hakika huyu kiumbe kashindikana. Hii ni zaidi ya ile ya kigoma
  14. B

    Kama Diamond anashindwa kumsitiri baba yake kwenye ukata utajiri wake una faida gani?

    Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake. Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo. Wanaume wengi wametelekeza watoto na...
  15. Wasafi TV inabidi mkajifunze kwa Clouds TV namna ya kurusha vipindi mubashara

    Hii media imekuja kwa kasi sana, kweli mmeweza kukamata pakubwa kwenye tasnia ya habari mawasiliano na burudani. Lakini bado mnasafari ndefu sana kufikia media zilizotangulia, msijione mnaweza kufika 10 kabla ya kuanza 1, ni vema kujifua zaidi kupata maujuzi kabla ya kuanza kufanya mambo ambayo...
  16. Kwa hali hii ya colabo za TZ na Congo naona Diamond anaenda tena kuvunja rekodi yake ya views milioni 10 kwa siku 8

    Wiki hii Tanzania imeng'ara baada ya msanii wake Diamond kuweka rekodi ya kupata views milioni 10 siku ya 8 baada ya kutoa hit song aliyomshirikisha papaa mobimba KOFI OLOMIDE. Ngoma hiyo inayoenda kwa jina la WAAH ilitoka siku ya tarehe 30 Novemba muda wa saa 6 mchana na ikapata views milioni...
  17. Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

    Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa. Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu...
  18. Hesabu hazidanganyi: Ni kwanini Diamond kadanganya kafikisha views milioni 10 ndani ya siku saba?

    Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema?? ukiingia mtandao >> huu << , utaweza kujua muda ilipopandishwa video, tunaona ya kwamba video iliwekwa tarehe 30...
  19. The 100 Most Influential Africans of 2020, Ni Hawa!, Kama JPM, Mo, Diamond, Samatta Hawapo, Then It Must Be Fake List!,ila Kuna Mtanzania 1, Gues Who?

    Wanabodi The much anticipated annual listing of the 100 Most Influential Africans of 2020 published by the continent’s premier pan-African publication, London-based New African magazine imetangazwa leo. List hiyo iliyogawanywa katika mafungu manne, four categories of Leaders; Pathfinders...
  20. Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

    Diamond haina haja ya kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakakosa ubora na ubunifu. Hiyo ni kutengeneza vitu vitakavyo ishi muda mfupi sana. Na ukweli unaujua kuwa watu wanapenda na ku support hivyo vitu vingi unavyovitengeza na kuvianzisha hata kama havina ubora. Si kwa sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…