Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Lawrichie

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
753
2,044
''Usiniletee mambo ya darasa la Pili unaniiibia penseli alafu unanisaidia kutafuta .(UNIKOME)
Mwanaume huwa anaongeaga mara moja tu sasa ukitaka nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia hata kwenye hilo tamasha hatokuja mtu sasa tuishie hapo nakutakia tamasha njema @diamondplatnumz ''

AliKiba.PNG
 
Msanii Ali Kiba ameamua kujibu baada ya kualikwa kwenye Tamasha la Wasafi, sijui nini kimemsibu huyu msanii mpaka akaamua kuandika ujumbe huu kwenye akaunti yake ya Instagram

''Usiniletee mambo ya darasa la Pili unaniiibia penseli alafu unanisaidia kutafuta .(UNIKOME)
Mwanaume huwa anaongeaga mara moja tu sasa ukitaka nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia hata kwenye hilo tamasha hatokuja mtu sasa tuishie hapo nakutakia tamasha njema @diamondplatnumz ''
 
Ali Kiba hawezi kukubali amani na Diamond, sababu siku atayokubali peace ndio utakuwa msumali wa mwisho kwenye jeneza lake la sanaa. Kwa sasa anasikika kupitia ulinganisho na Diamond hana jipya tena kwa wananchi.

Ndio maana kila Diamond anapoomba amani yeye hataki sababu anajua bifu ndio kitu pekee kimembakiza midomoni mwa watu.

Na sasa kuna upepo wa Konde Boi ata mimi ningekuwa Kiba nisingekubali mtego wa kunimalizia, maana amani yake na Mondi ndio hitimisho lake. Big up kwa washauri wake kwenye ilo.
 
nimeamini uchawi upo..
Hahaaaa hahah nan anarogwa...kiba MUZIK kuuimba anajua sema Hana connection za kuuuza muziki wake...atalalamika Kama Aslay....au mond anatuzuga na kuondoka mmakonde ili kumpoteza KINGKIBA.....kiba naye anazingua wenzake wametoa inama.the one.kanyaga.yopenyeye ndo ile kadogoooooo
 
''Usiniletee mambo ya darasa la Pili unaniiibia penseli alafu unanisaidia kutafuta .(UNIKOME)
Mwanaume huwa anaongeaga mara moja tu sasa ukitaka nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia hata kwenye hilo tamasha hatokuja mtu sasa tuishie hapo nakutakia tamasha njema @diamondplatnumz ''

Diamond achunguzwe ameleta madhara makubwa
 
Back
Top Bottom