Diamond kufuta lala salama

Barcelona763

Member
Mar 9, 2018
26
21
Kuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic.
“Nakumbuka kuna siku Diamond alikuja Studio akaniambia kuwa nifute vocal zake zote katika wimbo wa Kwangwaru nibakishe tu vocal za Harmonize. Nikaona nisije nikapoteza kibaru changu, nikajua tu hawa wamegomba. Ivo nilimwambia tu mafuta lakini sikufuta.”Lizer Classic

Kusikia haya maneno ya producer huyo wa WCB inanikumbusha wakati alikiba alisema diamond alimfuta katika wimbo wa lala salama kwenye sporah show. Inathibitisha kuwa diamond ikawa kweli alimfuta alikiba kwenye wimbo wake ukweli hauna pazia.

kutoelewa wazo hili ni kama hujui kusoma ndio hukuelewa.
 
Kusikia Jaya maneno ya producer huyo wa WCB inanikumbusha wakati alikiba alisema diamond alimfuta katika wimbo wa lala salama kwenye sporah show. Inathibitisha kuwa diamond ikawa kweli alimfuta alikiba kwenye wimbo wake ukweli hauna pazia.
Ganja
 
maana yake kuna siku diamond alimfata producer wao lizer akamwambia afute sauti zake kwenye nyimbo ya kwangaru ya harmonize kuna kipindi walitofautiana kidogo nasikia harmonize alikuwa anamfatilia demu wa boss wake na kuhusu lala salama ya diamond kumfuta alikiba sauti zake ni baada ya diamond kuomba awepo kwenye nyimbo ya single boy alikiba akamtolea nje akamwambia inabidi apatikane msichana na ndio akamshirikisha lady jaydee. Kama ujaelewa nisamehe 👊👊
 
Embu we mwenyewe rudia kusoma afu useme kama ume elewa ulicho kiandika
 
Kuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic.
“Nakumbuka kuna siku Diamond alikuja Studio akaniambia kuwa nifute vocal zake zote katika wimbo wa Kwangwaru nibakishe tu vocal za Harmonize. Nikaona nisije nikapoteza kibaru changu, nikajua tu hawa wamegomba. Ivo nilimwambia tu mafuta lakini sikufuta.”Lizer Classic

Kusikia haya maneno ya producer huyo wa WCB inanikumbusha wakati alikiba alisema diamond alimfuta katika wimbo wa lala salama kwenye sporah show. Inathibitisha kuwa diamond ikawa kweli alimfuta alikiba kwenye wimbo wake ukweli hauna pazia.

kutoelewa wazo hili ni kama hujui kusoma ndio hukuelewa.
Vipi mitihani ya form four umefanya vizuri? Usije ukawa umechora mazombi kule 😂😂😂
 
Kuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic.
“Nakumbuka kuna siku Diamond alikuja Studio akaniambia kuwa nifute vocal zake zote katika wimbo wa Kwangwaru nibakishe tu vocal za Harmonize. Nikaona nisije nikapoteza kibaru changu, nikajua tu hawa wamegomba. Ivo nilimwambia tu mafuta lakini sikufuta.”Lizer Classic

Kusikia haya maneno ya producer huyo wa WCB inanikumbusha wakati alikiba alisema diamond alimfuta katika wimbo wa lala salama kwenye sporah show. Inathibitisha kuwa diamond ikawa kweli alimfuta alikiba kwenye wimbo wake ukweli hauna pazia.

kutoelewa wazo hili ni kama hujui kusoma ndio hukuelewa.

Mkuu husipende kuishi kibongo bongo....wabongo zao umbeaa tu.....Hili nikundi bora lenye lebo bora ya Muziki Tanzaniaaaa
 
Uchizi unaanzaga ivi ivi mwishowe tunakuona yuleeeeeeee unaokota makopo
 
Back
Top Bottom