dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

    Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi. Uwazi wangu...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ndio msimamo rasmi wa Mbowe dhidi ya Sabaya na washirika wake.

    Hii ni kauli aliyoitoa Mbowe zaidi ya mwaka mmoja uliopita dhidi ya Sabaya na washirika wake. Mbowe aliitoa kauli hii kwa ujasiri mkubwa na hadharani wakati huo Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai chini ya utawala wa Rais Magufuli. "....Siko tayari kumjadili Sabaya, mtoto mpotevu, mhuni, mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Ombi: Mwenye nakala ya hukumu ya kesi Dhidi ya Ole Sabaya aniwekee humu

    Wakuu,habari. Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama. Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Watumishi waliopambana dhidi ya UVIKO 19 hawajalipwa

    Pamoja na Serikali kutoa TSH bilioni 3 kwa ajili ya kuwalipa watumishi waliopambana dhidi ya UVIKO 19 na kuahidiwa mwezi wa Tisa mwaka huu kuwa ndani ya wiki mbili watapata pesa zao Bado hakuna mtumishi yeyote aliyepata fedha hizo au kuwekewa kwenye akaunti yake kama NAIBU WAZIRI MOLLEL...
  5. JamiiForums Tanzania Hukumu dhidi ya Sabaya haikunipendeza.

    Ndilo jani litakalovunja mgongo wa ngamia. Yule Sabaya ni prince of the nation. Mtu yeyote anayekuwa na cheo Kama kile anaitwa "prince". CCM imetisha watu imeshinda Uchaguzi na Sabaya alikuwa katika Frontline katika kutisha. Sabaya alisema,"watu wanajikamatisha,wanaenda jela,wakitoka...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kufungua kesi dhidi ya mhe. Samia (alitenda kosa kabla hajawa rais)

    Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali". Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Namna Walimu na Wanafunzi wanavyoweza kujiweka salama dhidi ya Covid-19 katika mazingira ya shuleni

    Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus. Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote za kujilinda kama vile kusimamia usafi mikono kwa wanafunzi, kudhibiti miosongamano na kuzuia...
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yaondoa mashtaka ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani

    Serikali ya Uganda imeifuta kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa chama cha upinzani Kizza Besigye, ambaye alikuwa akipambana kumuondoa madarakani rais Yoweri Museveni ambaye ametawala kwa kipindi cha miaka 35. Besigye, amegombea nafasi ya urais mara nne na alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

    Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu . Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni Nani Shujaa Wa Mtanange Wa Stars Dhidi Ya Benin - Manula Au Msuva?

    Swali hili ni La Kawaida Sana , tusilichukulie Ki Usimba Na Uyanga. Goli La huyu Mwamba Msuva Lilikuwa Fantastic ...! Lakini ile misukosuko Iliyoelekezwa Langoni Kwa Stars Sio Ya Kitoto na Manula alifanya Kazi nzuri na Ya Ziada Kufanya saves za Maana...! Hatimaye tumeibuka Washindi. Kwako Shujaa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Benin vs Tanzania (Oktoba 7): Tanzania walishindwa kutumia nafasi walizopata kipindi cha kwanza

    Tanzania walishindwa kutumia nafasi walizopata kipindi cha kwanza ama ni Substitution za mwalimu ndio ziliotuangusha
  12. JamiiForums Tanzania Je, wajua kumsikiliza mtoto wako ni silaha muhimu ya kumkinga dhidi ya ukatili na udhalilishaji?

    Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote anayoyapitia yawe mema au mabaya kwani wanaamini kuwa watachukua hatua kwa ajili yao. Mara nyingi mtoto...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nitafungua kesi dhidi ya Jeshi la Polisi

    Natarajia kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya jeshi la polisi, naitaka mahakama kuu itoe tafasiri na/ muongozo wa je Jeshi la polisi linaruhusiwa kuteka raia au kukamata raia? Na Je kukamata ni sawa sawa na kuteka? Na je utaratibu wa kuteka raia unatakiwa uweje? Yaani kabla raia hajatekwa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Lissu angekuwepo huu udhalimu dhidi ya Mbowe usingetendeka

    Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka. Lissu angewapiga maswali mazito mawakili wa serikali wasiojitambua na mashahidi wa uongo na Jamhuri ingeumbuka. Kwani watu walioacha kazi jeshi la wananchi yaani JWTz kuomba kazi ya kumlinda mtu ni kosa? Hii...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mawakili wa Serikali dhidi ya Adamoo

    Mawakili wa Serikali wanadai Adamoo alikamatwa kwa mujibu wa sheria na tena akatoa maelezo kwa kina Kingai kwa mujibu wa sheria na bila shinikizo. Hivyo wanaitaka mahakama kuyapokea maelezo hayo kama ushahidi wa kuaminika dhidi ya watuhumiwa kwenye shauri la msingi. Adamoo kaeleza mwenyewe...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wafugaji watazamwe kwa jicho la pekee dhidi ya ukatili wa wasichana

    Wafugaji ni kundi muhimu sana katika Duniani hii, bila wao hatupati nyama,maziwa,ngozi na mboleya ya samadi. Kwa Tanzania makabila ambayo ni maarufu kwa ufugaji ni Wasukuma,wamasai,wataturu nk lengo langu siyo kuwachafua wafugaji ila nataka jamii ifahamu kuwa kuna baadhi ya wafugaji hawajali...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo nyuma ya mrejesho wa kinachoendelea mahakamani kesi ya CCM dhidi ya wananchi

    Uzi huu, ni maalumu kwa kuandika mafunzo unayoyapata kutokana na kesi namba 16/2020 inayoendeshwa katika mahakama kuu kitengo cha ufisadi na uhujumu uchumi. Ninaomba tukutane hapa kufanya majumuisho ya mafunzo yakini. Kwa upande wangu:- 1. Ninaona kana kwamba polisi wanafanya kazi nzuri wakiwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya wanaume yanaendelea: Mkuu wa Wilaya aagiza wanawake wasitoe huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

    Mkuu wa Wilaya ya Ruvuma ambaye ni mwanamke mwenzetu ameagiza wanawake wa Ruvuma kabla hawajafanya mapenzi na wanaume wawakague kwanza kujiridhisha kwamba wametahiriwa, ikiwa hawajatahiriwa wasitoe huduma ya mapenzi. Hii yote ni mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi kwani utafiti unasema wanaume...
  19. JamiiForums Tanzania Ufaransa imeonesha unafiki mkubwa dhidi ya Werrason & Wenge MM

    Leo nipo upande wa Congo. Nawasalimu kwa jina la Bolingo. Nimesikitishwa mno kusitishwa kwa Show ya mwanamuziki Werrason akiwa na kundi lake la Wenge Maison Mere. Show ilikuwa ifanyike tarehe 25/09/2021 kwenye ukumbi wa Zenith, Paris. Wakati wote wa maandalizi kundi linalojiita Combattants...
  20. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha leo: Vita dhidi ya ugaidi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…