dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Tanga ingieni kazini dhidi ya wahusika wanaolea mhujumu na kumdharau DPP

    Amani iwe nanyi wanajukwaa Bila kupoteza muda ninaenda kwenye mada. Niliwahi kutoa uzi hapa jukwaani juu ya mtuhumishi aliyetuhumiwa na DPP kwa kesi ya uhujumu lakini ameendelea kushikilia ofisi kama afisaelimu kata. Mwalimu huyo ameenda mbali zaidi kwa kumkaimisha mtumishi mwenzake ofisi...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yakata rufaa dhidi ya Kesi iliyokuwa ikimkabili Bosi wa Golden Tulip

    Baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumfutia kesi ya uhujumu uchumi aloyekuwa bosi wa Golden Tulip, Serikali imemkatia rufaa Mahakama Kuu ikitaka kesi hiyo irejeshwe, ikidai kuwa Mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kutoa uamuzi kama huo wala kusikiliza pingamizi. Mfanyabiashara Jitesh...
  3. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, leo Julai 12, 2022

    ====== Maxence Melo: PESA ZA UVIKO SIO BWERERE, TAKUKURU IPO MACHO Tanzania imeelezwa kuwa ni miongoni mwa Nchi zinazofanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa licha ya changamoto kadhaa, ambapo ushauri umetolewa pesa za UVIKO-19 zinazotolewa na Serikali zikitakiwa kutumiwa vizuri kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Tunafanya mapitio ya vigezo vya polyclinics, nyingi ni vichochoro vya wizi dhidi ya NHIF

    Na Englibert Kayombo WAF – Dar Es Salaam. Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuwa ni vichochoro vya udanganyifu dhidi ya Mfuko wa Taifa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Huwa unazishindaje dharau na chuki dhidi yako zinapoibuka?

    Ni rahisi tena mno kuona watu wakisambaza maneno ya chuki kwa jamii juu ya watu fulani hivyo hupelekea watu hao kujidhuru kwa kushindwa na maneno ya dhihaka. Kama mwana jukwaa huwa una mbinu gani juu ya watu wanaokuletea dharau, majivuno na chuki. Let's share ideas.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ni antivirus ipi ni nzuri na inaweza kuweka ulinzi mzuri dhidi ya virus na harkers ikiwezekana?

    Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
  7. JamiiForums Tanzania Putin asaidiwe kuikomboa dunia dhidi ya nchi chache za Magharibi

    Hakuna ubishi kuwa nchi za Magharibi zimejengwa kwa rasilimali kutoka mataifa mengine na watumwa. Mahitaji yaliyosababisha nchi za magharibi kutafuta makoloni na watumwa hayajakwisha hata kidogo, ile kiu ya kuzitawala nchi nyingine bado wanayo, na iko siku moja (sio mbali) watatumia NATO...
  8. JamiiForums Tanzania ECOWAS yasitisha vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Mali

    Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wameondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha vilivyowekwa dhidi ya Mali, baada ya watawala wake wa kijeshi kupendekeza mabadiliko ya demokrasia ya miezi 24 na kuchapisha sheria mpya ya uchaguzi Umoja huo uliiwekea Mali vikwazo...
  9. JamiiForums Tanzania Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

    Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa....... 1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma 2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu 3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa 4. Ukiwa Muhuni...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waondoa pingamizi dhidi ya maombi ya kina Mdee ya zuio la muda

    Baada ya Chadema kuondoa pingamizi lao, kina Mdee nao wameamua kuondoa pingamizi ambalo walikuwa wameliweka dhidi ya kiapo kinzani cha Chadema. Sasa Mahakama itaanza kusikiliza maombi ya msingi ya ridhaa ya kufungua rasmi shauri la kupinga kina Mdee kuvuliwa uanachama. KIBATALA: Maombi ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari sana na kugundua wanaume hapa Tanzania tupo kwenye mgomo dhidi ya wanawake

    Habari za asubuhi wote mlio hai humu!!! Jana nikiwa natoka kazini nikawa natembea kwa mguu kutoka maeneo ya Posta kwenda kupanda treni kulekea Pugu kwa kutumia treni ya TAZARA (ndio zangu daily) ghafla ubongo wangu ukanasa aina mpya ya wazo, akili ikaniambia hebu angalia wapita njia na walio...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaweka pingamizi dhidi ya akina Mdee kuendelea kuwa wabunge wakati kesi ya msingi ikiendelea

    Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge. Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
  13. JamiiForums Tanzania Majambazi watatu wauawa katika mashambulizi dhidi ya Askati Dar, Juni 24, 2022

    Taarifa kutoka Jeshi la Polisi ni kuwa Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na askari wa jeshi hilo wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka eneo la Goba Jijini Dar es Salaam, leo Juni 24, 2022.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia wape muda Halima na wenzake dhidi ya husda za wana-Chadema. Mbona wanatawaliwa kidikteka kwa miaka 30 wapo kimya?

    Halima na wenzake wapewe muda kama ni rufaa au ku-file upya vyote vifanyike. Wakati huo waendelee kuwakilisha wanaChadema bungeni. Lakini Mbowe anawatawala kidikteta kwa katiba mbovu na hawalalamiki? Halafu hawa kina dada wanawamaindi namna hii? Spika Tulia tumia busara kuwalinda hawa akina dada.
  15. JamiiForums Tanzania Uingereza yatangaza vikwazo vipya vya Kibiashara dhidi ya Urusi

    Serikali imetangaza awamu mpya ya Vikwazo vya kibiashara dhidi ya #Russia ikiwa ni mwendelezo wa Vikwazo kutoka nchi nyingi Duniani kutokana na kuendelea kwa #RussiaUkraineWar Vikwazo hivyo vinajumuisha marufuku ya kusafirisha bidhaa na teknolojia mbalimbali nchini humo, usafirishaji wa mafuta...
  16. JamiiForums Tanzania Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

    Hawa jamaa leo wanataka kufanya jambo la kihistoria yaani kumwingiza Ukraine kwenye umoja wa Ulaya kama V.I.P membership wiki hii, kumbuka kuwa membership huchukua had miaka 5, hivyo Ukraine anapita directly bila mlolongo. Kwa nini wanafanya hivi? Nia kubwa ni kutaka kuingia kumchapa mrussi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Estonia (mwanachama wa NATO) yahofia kushambuliwa na Urusi muda wowote; yasema Urusi inafanya missile simulations dhidi yake (Estonia)

    Estonia imelalamika kuwa Urusi inapanga kuishambulia nchi hiyo (Estonia-nchi mwanachama wa NATO) kwa mvua za makombora. Malalamiko yamegusia kuwa Urusi iko inafanya missile simulations juu ya namna ya kuichapa makombora Estonia. Estonia imekuwa na mdomomdomo mrefu ktk kipindi hiki cha...
  18. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ligi Kuu England 2022/23: Arsenal kutufungulia pazia dhidi ya Crystal Palace. Ratiba yote ipo hapa

    Pazia la Ligi Kuu England msimu wa 2022/23 litafunguliwa Agosti 5, 2022 ambapo Crystal Palace itavaana na Arsenal kabla ya Manchester City kuanza kutetea taji hilo Agosti 7 dhidi ya West Ham Chelsea itaanza mbio zake za kuwania Ubingwa dhidi ya Everton mnamo Agosti 6 na Kocha Erik ten Hag wa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto"

    Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi unaofanyika mjini Geneva umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto", na kuzitaka nchi zote duniani kutoa kipaumbele kwa tatizo la utumikishwaji wa watoto na kuchukua hatua halisi na zenye ufanisi za kutatua tatizo hili.
  20. I

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani

    Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika. Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT. Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311. Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…