dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mpelelezi Mkuu Kenya: Tulilazimishwa kutengeneza kesi ya Tsh. Bil 140.3 dhidi ya Naibu Rais Gachagua

    Maafisa wa upelelezi katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) walilazimika kumfungulia mashtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusiana na kesi ya ufisadi wa Tsh. Bilioni 140.3, afisa mkuu wa polisi amefichua. Pia imeelezwa wakati wa kumkamata Gachagua na kufikishwa kortini Julai 26, 2021...
  2. JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu wa kuweka mizigo (betting) hembu njoeni tuzijadili hizi point alizopewa Yanga sc dhidi ya Geita Gold leo hii.

    Mazee hapa kuna kamtego nini nikitia kamilioni nikimpa yanga si nitanemeka, alafu kama kuna kitu kinaniambia acha ujinga 😂😂
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kampeni dhidi ya Covid -19 tiketi 10,000 kugawiwa bure

    Kwa wale watakao ridhia kwa hiari chanjo ya Covid-19 kuelekea 2 November 2022 kuangalia mechi ya Young Africans vs Club Africain, tiketi 10,000 za bure wametengewa. Hii ni maalum kuongeza ufahamu dhidi ya magonjwa kama Covid-19 na Ebola kwa kampeni kuwalenga watu wengi kuongeza ufahamu na...
  4. JamiiForums Tanzania Hicho kikundi chenu dhidi ya January Makamba hamtafika popote

    1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba 2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba 3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na...
  5. JamiiForums Tanzania Adidas yavunja mkataba na Kanye West baada ya kuonesha chuki dhidi ya Wayahudi

    Kampuni kubwa ya mavazi ya Adidas imevunja mahusiano ya kibiashara na rapa Ye, anayejulikana kama Kanye West, na kusema "Haivumilii chuki dhidi ya Wayahudi na matamshi yoyote ya chuki". Ushirikiano wa Adidas ya Yeezy na Mr West uliingia kwenye mgogoro baada ya Ye kuonesha muundo wa fulana ya...
  6. JamiiForums Tanzania TAKUKURU yakamilisha upelelezi dhidi ya Sabaya, kesi kutajwa tena leo

    Wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ikitarajiwa kutajwa leo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema upelelezi umeshakamilika. Mwananchi lilimtafuta Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikesi kujua mwenendo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya watalii Arusha Airport: Ni malalamiko ya kimaslahi ya madereva waliolalamikiwa na wageni, ila sio malalamiko ya wageni dhidi ya mamlaka

    Na mimi ngoja nisipepese macho. Wala nisifiche jina kwani ukweli haufichwi. Nijuavyo mimi kama niliyekuwepo kiwanja hapo na niliyeshiriki wakati malalamiko yanatolewa na wageni, ni kweli kikundi kipo kama kulivyo na kikundi cha wakata majani, madreva, na cha vijana wa kazi. Ila kikundi hiki cha...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Museveni ana ajenda gani ya siri dhidi ya nchi za EAC?

    Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, leo October 19,2022 amerejea tena kauli yake ya kuwahamiza Vijana wa Afrika Mashariki kuunga mkono hoja yake ya kutaka Nchi za Afrika Mashariki ziungane na kuwa Taifa moja...
  9. JamiiForums Tanzania Kama tujuavyo Iran ni mnyonge wa Israel, sasa Israel wanaweza kutoa msaada wa suluhu dhidi ya drones

    Israel walikua wamekaa pembeni hawataki kuingia kwenye huu ugomvi, ila baada ya kuona Iran anajikweza kwa drones zake alizotoa kama msaada kwa Urusi ili zitumike kuua watu wa Ukraine, ameanza kutoa matamko na tujuavyo yeye haitakua shida kwake kudungua hizo drones. ================== Israel...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI Kenya aanza uchunguzi dhidi ya Kitengo Maalumu cha Upelelezi kinachodaiwa kuteka na kuua watu

    Ni baada ya Rais William Ruto hivi karibuni kusema Maafisa wa (SSU) wanahusika na mauaji na kupotea kwa watu katika mazingira ya kutatanisha. Wamewekwa chini ya ulinzi na kuhojiwa kwa saa 48 wakituhumiwa na kupotea kwa Zulfiqar Ahmad Khan na Mohamed Zaid Sami Kidwai, wafanyabiashara wa Kihindi...
  11. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake

    UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI? Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu ikiwamo kusababisha kifo ikiwa haujatibiwa Ebola kwa mara ya kwanza ilionekana mwaka 1976 katika...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dunia inaenda kuungana dhidi ya Urusi

    Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla. Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia. Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna mwana CCM atagombea Urais mwaka 2025 dhidi ya Samia Suluhu?

    CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM? Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushindi walioupata Simba dhidi ya De Agosto umewanyongoza Simba na kuwakata ngebe

    Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea. Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Pauline Gekul: Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa

    Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa : Mhe. Gekul Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul ameipongeza timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 (Serengeti Girls) kwa ushindi wa magoli mawili kwa Moja dhidi ya Ufaransa. Mechi hiyo ya Kundi D...
  16. JamiiForums Tanzania Wapiganaji 11 wa Urusi wauawa kwenye mafunzo

    Wakiwa kwenye mafunzo ya ulengaji shabaha, kwa ambavyo wamechanganyikiwa walianza kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe. ===≈= At least 11 Russian soldiers were killed Saturday in a shooting incident that underlined the challenges posed by Russian President Vladimir Putin's hasty mobilization...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi waanza uchunguzi dhidi ya Kalynda E-Commerce

    Uchunguzi huo utafanywa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Uchunguzi na Fedha ili hatua stahiki za kisheria ziweze kuchukuliwa. Msemaji wa Jeshi hilo, David Misime ametoa tahadhari na kusema "Ni lazima kila mmoja wetu atambue kuna...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

    Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara mmoja ambae hakumtaja japo yupo anaehisiwa. Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze...
  19. JamiiForums Tanzania Uingereza kuipelekea Ukraine Makombora ya kujikinga dhidi ya mabomu ya Urusi yanayoshambulia uraiani

    Anga yote ya Ukraine hivi karibuni italindwa, ili tuendelee vizuri kwenye frontline bila kuwaza wananchi uswazi. ======== Britain on Thursday said it would supply Ukraine with air defense missiles to defend itself against Russian assaults and will for the first time provide rockets capable of...
  20. JamiiForums Tanzania Hebu tumjue vizuri Jenerali aliyetoa mapigo mkakati dhidi ya Ukraine

    Sergei Surovikin: Mfahamu jenerali mpya wa Urusi maarufu kwa ukatili wake Rais wa Urusi Vladmir Putin alimpatia kazi mmojawapo ya watu wake maarufu katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine wikendi hii. Jenerali wa jeshi la nchi kavu Sergei Surovikin aliteuliwa siku ya Jumamosi kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…