dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Marumo watangaza kiingilio bure mechi yao ya marudiano dhidi ya Yanga

    Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee. Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga. Mimi kama shabiki nguli wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Kisayansi ya Yanga SC dhidi ya Upumbavu unaoendelea Simba SC yatanifanya nianze kuwa Neutral kiushabiki

    Timu inamilikiwa na anayesifiwa Tajiri Afrika halafu ndani yake kuna Uswahili Uliotukuka huku hata nae Tajiri akiwa ni Mswahili hivyo hivyo. Timu inamilikiwa na Tajiri wa Kawaida tu GSM huku ikisimamiwa Kisayansi na Rais Injinia Hersi Said inazidi tu Kuchanja Mbuga Kimafanikio huku ikitutia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kuomba kufanya maandamano dhidi ya Spika

    Leo nimeona kupitia youtube kuwa BAWACHA wanatarajia kufanya maandamano dhidi ya Mhe. Spika kuendelea kwa kuwakumbatia Wabunge batili wa CHADEMA 19. Binafsi kama raia mwema wa Tanzania na niliyesoma Katiba yetu na kuielewa nawaunga mkono kwa asilimia 100.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Feisal Baada ya Kushindwa Kesi dhidi ya Yanga

    Post ya Feisal baada ya Maamuzi ya kamati na hadhi ya wachezaji ya TFF
  5. JamiiForums Tanzania Yanga kuanzia nyumbani dhidi ya Marumo ya Afrika Kusini

    Wananchi kukipiga na Marumo ya South tarehe 10 mwezi ujao hatua ya nusu fainal CAFCC. Mechi nne kali za Yanga mwezi huu; Singida vs Yanga tar. 4 May (NBC) Singida vs Yanga tar 7 May( Azam fa) Yanga vs Marumo tar. 10 May (CAFCC) Marumo vs Yanga tar. 17 May (CAFCC)
  6. JamiiForums Tanzania Snoop Dogg alikuwa na wivu dhidi ya Tupac

    Baada ya siku chache kupita ambapo mwana hip hop snoop dogg, kusema kwamba hakuwai kuupenda wimbo wa Tupac "hit em up" (diss track). Snoop dogg was said: I didn't like this shit like it wasn't like the shit to me like it was buying. You buying more problems girl. Like you buying problems...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Iran walipanga ugaidi dhidi ya Israel, hawa ndio wanataka waachiwe wajihami kwa nyuklia

    Taarifa zimeibuka za namna Iran iliwasaidia magaidi wa kidini kushambulia Israel kwa rockets, uchunguzi zaidi unaendelea kufanywa, hili taifa la Iran hulia lia likitaka liachiwe lijihami kwa nyuklia..... Esmail Qaani, who leads Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps’ elite Quds Force, has...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya Russia yashuka thamani dhidi ya dola ya Marekani

    Kushuka kwa bei ya mafuta na hofu kuhusu safari za mtaji kulisaidia kusukuma ruble ya Urusi hadi kiwango chake dhaifu dhidi ya dola ya Marekani katika mwaka mmoja siku ya Jumatatu, hatua ya hivi punde zaidi katika kile ambacho kimekuwa mabadiliko makubwa ya bahati ya sarafu hiyo. Ruble...
  9. JamiiForums Tanzania Dua zenu dhidi ya Marekani zinakwama wapi?

    Wazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi. Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge la Iran lapendekeza adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake

    Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache. Yakianzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, majadaliano bungeni yalipelekea kupitishwa siku ya Jumapili kwa kanuni...
  11. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Ndoto inayotisha dhidi ya ndoto inayosikitisha Simba, Yanga

    NI ndoto inayotisha. Pambano la Simba dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ni ndoto inayotisha. Simba wametoka kufungwa jumla ya mabao 6-1 katika mechi mbili walizocheza na Raja, timu nyingine kutoka jiji hilo lenye wakazi milioni tatu na zaidi nchini Morocco. Lakini kuna ndoto nyingine...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa Belarus ahaha, aomba Urusi imlinde dhidi ya kichapo

    Urusi imekua ikitumia ardhi yake, ameomba hakikisho kwa Urusi kwamba itamlinda dhidi ya kichapo, mambo yanavyokwenda ni dhahiri Urusi imeshindwa, usupapawa umewaisha, wamekwama kwenye kamji ka Bakhmut na juzi kuna mikakati ya Ukraine imevujishwa namna wanajiandaa kurejesha vilivyoporwa...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi yamhukumu baba kisa binti yake alichora katuni za kukashifu vita dhidi ya Ukraine

    Yaani binti kachora huu mchoro wa kukashifu vita na hii imetosha babake kuswekwa ndani miaka miwili..... Ujamaa ni mfumo wa hovyo sana maana ndio umesababisha Warusi wamekua wazungu mazombi tofauti na wazungu wengine.... Russia: Two-year prison sentence for child's drawing Juri Rescheto...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kisasi ni haki, Yanga dhidi ya Rivers moto utawaka

    Nakumbuka yanga waliondoshwa kwenye mashindano ya klabu bingwa na Rivers baada ya kuchapwa goli moja bila kwa mkapa na kisha kufungwa tena moja bila kule Nigeria, Yanga walipoteza mechi zote mbili ktk mazingira tofauti. Rivers walikutana na yanga iliyokuwa bado inajitafuta, ilikuwa ndio...
  15. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kuelekea robo fainal champions leage na shirikisho Simba dhidi ya mamelodi Yanga dhidi ya pyramid

    Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans.
  16. JamiiForums Tanzania Mnaofahamu: Hali ikoje dhidi ya ugonjwa wa Marburg mkoani Kagera?

    Kwa mlioko mkoani Kagera au mlio na wapendwa wenu mkoani humo mna taarifa gani mpaka sasa kuhusu ugonjwa huu, maana kumekua kimya kiasi juu ya hili? Muda si mrefu nimeona waziri mwenyewe dhamana Ummy Mwalimu anasema mpaka sasa ni watu nane tu ndio waliopata ugonjwa huo na kati yao watano ndio...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya dola ya Marekani (De-dollarization) yaelekea kugonga mwamba

    Ndoto ya kujaribu kuondoa ushawishi wa sarafu ya dola ya Marekani katika mfumo wa biashara duniani unaofanywa na Russia na China inaonekana haitazaa matunda yoyote kama inavyo chambuliwa hapa na wataalamu wa maswala ya fedha. =========== Here's why experts say Russia and China's attempts to...
  18. JamiiForums Tanzania Kamishna Jenerali Aretas James Lyimo atangaza vita mpya dhidi ya dawa za kulevya nchini. Kuanza na vijiwe vyote

    KAMISHINA Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA),Aretas James Lyimo ametaja malengo yake ambayo ameingia nayo ili kuhakikisha mamlaka hiyo inadhibiti kabisa biashara na matumizi ya dawa za kulevya nchini. Ameyasema hayo leo Aprili Mosi, 2023 mkoani Mtwara wakati...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume, hawa wanawake walindwe huko walipo dhidi ya lile kundi la pili

    Sabato njema. Sitaki porojo la kuandika maneno mengi, weka bundle wasikize mwenyewe. No. 1
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kurefushwa kwa vikwazo dhidi ya Sudan si suala la usalama

    Kwa mara nyingine tena Baraza la usalama la Umoja wa mataifa limepitisha azimio la kurefusha vikwazo dhidi ya Sudan. Azimio hilo nambari 2676 la mwaka 2023 lililotolewa na Marekani, limepitishwa kwa kura 13 za ndio na wajumbe wawili wa kudumu wa baraza hilo, yaani China na Russia, hawakuupigia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…