Rais wa Belarus ahaha, aomba Urusi imlinde dhidi ya kichapo

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,671
48,444
Urusi imekua ikitumia ardhi yake, ameomba hakikisho kwa Urusi kwamba itamlinda dhidi ya kichapo, mambo yanavyokwenda ni dhahiri Urusi imeshindwa, usupapawa umewaisha, wamekwama kwenye kamji ka Bakhmut na juzi kuna mikakati ya Ukraine imevujishwa namna wanajiandaa kurejesha vilivyoporwa.

===========

The Belarusian leader called for Russia to defend Belarus "as its own territory." Belarus hosts a contingent of thousands of Russian troops.

Belarusian leader Alexander Lukashenko has called for Russia to defend Belarus in the event of an attack, state news agency Belta reported on Monday.

Lukashenko made the statement following a meeting with Russian Defense Minister Sergei Shoigu in the Belarusian capital Minsk, Belta said.
The Belarusian strongman said that Minsk required "full security guarantees" from Moscow.

Belta cited Lukashenko as saying that he had discussed the issues with Russian President Vladimir Putin, who had agreed that security guarantees for Minsk needed to be formalized.

"In general, it sounded at the talks [with Putin] that in the case of aggression against Belarus, the Russian Federation would protect Belarus as its own territory," Lukashenko said.

"These are the kind of security [guarantees] we need," he stressed.

He also thanked Moscow for keeping thousands of Russian troops on Belarusian territory.

Belarus currently hosts a contingent of Russian forces, and also served as a staging ground for Moscow's invasion of Ukraine in the early days of the war. Lukashenko said that Belarus has no intention of committing troops to Russia's invasion, but will respond to any incursions onto its territory or attempts to spark unrest.

 
Urusi imekua ikitumia ardhi yake, ameomba hakikisho kwa Urusi kwamba itamlinda dhidi ya kichapo, mambo yanavyokwenda ni dhahiri Urusi imeshindwa...

For Swahili audiences... here we go.

Kiongozi wa Belarusi alitoa wito kwa Urusi kutetea Belarus "kama eneo lake." Belarus ni mwenyeji wa maelfu ya askari wa Urusi. Kiongozi wa Belarus Alexander Lukashenko ametoa wito kwa Urusi kuilinda Belarus iwapo itatokea shambulio, shirika la habari la serikali Belta liliripoti Jumatatu. Lukashenko alitoa kauli hiyo kufuatia mkutano na Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergei Shoigu katika mji mkuu wa Belarus Minsk, Belta ilisema.

Mwanajeshi huyo mwenye nguvu wa Belarus alisema kuwa Minsk ilihitaji "dhamana kamili ya usalama" kutoka Moscow. Belta alimnukuu Lukasjenko akisema kuwa alijadili masuala hayo na Rais wa Urusi Vladimir Putin, ambaye alikubali kwamba dhamana ya usalama ya Minsk inahitaji kurasimishwa.

"Kwa ujumla, ilionekana kwenye mazungumzo [na Putin] kwamba katika kesi ya uchokozi dhidi ya Belarusi, Shirikisho la Urusi lingelinda Belarusi kama eneo lake," Lukasjenko alisema.

Belarus kwa sasa ni mwenyeji wa kikosi cha wanajeshi wa Urusi, na pia ilitumika kama uwanja wa uvamizi wa Moscow nchini Ukraine katika siku za mwanzo za vita.

Lukashenko alisema kuwa Belarus haina nia ya kuweka wanajeshi katika uvamizi wa Urusi, lakini itajibu uvamizi wowote kwenye eneo lake au majaribio ya kuzua machafuko.
 
Waambie Belarus ni member wa CSTO, Lakini ni trusted ally wa Urusi na ni ngumu Urusi kumwacha rafiki yake apigwe.

Unaizungumzia Bakhmut iliyopigwa bado asilimia 20 ikombolewa
 
Waambie Belarus ni member wa CSTO, Lakini ni trusted ally wa Urusi na ni ngumu Urusi kumwacha rafiki yake apigwe.

Unaizungumzia Bakhmut iliyopigwa bado asilimia 20 ikombolewa

Mrusi kwa sasa hana jeuri ya kumtetea yeyote, kalemazwa, amesaliwa na hayo manyuklia yake tu, hata JWTZ wakijitutumua wanampa kichapo huyo Mrusi.

Kashindwa kufumua Bakhmut kamji ka Ukraine, mwanzoni alijifanya mwenye uwezo wa kuiparamia Ukraine yote.
 
Hiyo ni kawaida sana Belalus kuomba ulinzi kwa Urusi dhidi ya mataifa yenye hila yanayomzunguka..... hata nchi za Ulaya zote zimeomba na kupewa hakikisho la Usalama kwa USA dhidi ya dubwana Urusi...lasivyo tusingeshasahau hata ramani zao zimekaaje...
 
Mrusi kwa sasa hana jeuri ya kumtetea yeyote, kalemazwa...amesaliwa na hayo manyuklia yake tu, hata JWTZ wakijitutumua wanampa kichapo huyo Mrusi.
Kashindwa kufumua Bakhmut kamji ka Ukraine, mwanzoni alijifanya mwenye uwezo wa kuiparamia Ukraine yote.
Ndio unavyojidanganya kwa kuanzisha vinyuzi vyako uchwara

Waambie NATO wasogeze majeshi Yao basi waipige.

Pale Western Bakhmut wajiandae na kupigwa na FOB(Father of all Bomb) ya uzani wa 3000, 5000 na 9000
 
Ndio unavyojidanganya kwa kuanzisha vinyuzi vyako uchwara

Waambie NATO wasogeze majeshi Yao basi waipige.

Pale Western Bakhmut wajiandae na kupigwa na FOB(Father of all Bomb) ya uzani wa 3000, 5000 na 9000

Hawajapata sababu zozote za kusogesha majeshi yao pale maana huyu Urusi keshalemazwa hadi saizi yake imeshuka, alikua anategemewa na waarabu wenu ila hana lolote tena, useless yaani sikujua ni taifa dhaifu kiasi hiki dah
 
Waambie Belarus ni member wa CSTO, Lakini ni trusted ally wa Urusi na ni ngumu Urusi kumwacha rafiki yake apigwe.

Unaizungumzia Bakhmut iliyopigwa bado asilimia 20 ikombolewa
ikombolewe ? hv unavuta bangi?
 
Back
Top Bottom